Mwisho wa mwaka huu haujawa mzuri kwa Pentagon na defense contractors wake, kwa ujumla unaweza kuwaita U.S MIC (U.S Military Industrial Complex)
Mapema mwezi Novemba kwenye Zhuhai Air show China walionyesha toleo jipya na la pili la 5th generation fighter jet J-35 ambayo imekuja kuichallange F-35.
View attachment 3188426
J-35
Hatimaye kwenye race ya 6th generation fighter, China limekuwa taifa la kwanza duniani kufanya successfully first flight. PLAAF (People's Liberation Army Air Force) imefanya majaribio ya ndege 2 za 6th Gen
View attachment 3188394
Chengdu 6th Gen design with 3 Engines
View attachment 3188396
Shenyang 6th Gen design with 2 engines
Kama haitoshi siku moja baadaye Desemba 27 China ikaipa tena salamu Pentagon kwa kuzindua the world's largest amphibious assault ship type 076 "Sichuan." The largest and most advanced amphibious ship in the world.
View attachment 3188407
- Ina electromagnetic catapult system kuwezesha kurusha na kutua kwa unmanned combat aerial vehicles (UCAVs) na hata manned aircraft.
Kwa sasa ukizungumzia the largest navy fleets in the world upande wa Majeshi ya Navy duniani, jeshi la Navy la China ndio jeshi kubwa zaidi. China now possesses the world’s largest maritime fighting force, and it is growing further.
Kwa kuongezea tena siku hiyohiyo ya Desemba 27 China ikazindua "KJ 3000" next-generation stealth detecting AWACS (Airborne Warning and Control System)
View attachment 3188412
KJ 3000
Hapa stealth jets za Mmarekani kama F-22 na F-35 zitakuwa detected kirahisi.
Pia China ikazindua stealth attack drone GJ-11. Hizi ni Unmanned Combat Aerial Vehicle (UCAV) zitakazokuwa zinabebwa kwenye the world's largest amphibious ship type 076 Sichuan. Inafahamika kwa kuwa na stealth capabilities na ground strikes.
View attachment 3188419
GJ-11
Halafu kuna chombo inaitwa WZ-9 Divine Eagle UAV hii pia ni an unmanned AWACS, na ina uwezo wa kwenda high-altitude ina maana inaweza kupaa mbali zaidi kuliko ground radars, hii ni kwa ajili ya anti-stealth missions.
View attachment 3188422
WZ-9 Divine Eagle
Wakati yote hayo yakiendelea China, kwa upande wa Marekani mpango wa kuunda 6th generation airplane fighter unaofahamika kama NGAD (The Next Generation Air Dominance) umesimamishwa kwa muda kutokana na cost overruns and outdated designs.
Ikumbukwe China inatumia 1.6% tu ya GDP yake kwenye defense budget huku Marekani ikitumia 3.6%
China is openly challenging the U.S to an arms race