China imeufunga huu mwaka kwa kishindo kikubwa imekuwa nightmare kwa watengeneza silaha wa Marekani na dalali wao Pentagon

China imeufunga huu mwaka kwa kishindo kikubwa imekuwa nightmare kwa watengeneza silaha wa Marekani na dalali wao Pentagon

Kuhusu AWACS, Marekani hawana drone AWACS na sioni kama inawezekana.
China ndio kwaza wanafanya testing ya AWACS yao ya kwanza, nyingine zote walikuwa wananunua airframes Urusi. US kwenye submarine hunting, AWACS na reconn wako vizuri.
Marekani hawana drone AWACS so it means wamepigwa gap na China katika hilo

Na sio tu wamefanya testing ni successful testing hiyo ni green light kuwa inaingia mzigoni
 
Pia Marekani ina total displacement kubwa kuliko China. Ila China ina meli nyingi kuliko Marekani, maana yake China ina meli ndogo nyingi. Alafu Marekani ina presence kila bahari kuu duniani kasoro kusini mwa Afrika
China hana haja ya kuwa na presence kila bahari kuu yeye anaangalia China seas na Pacific. Marekani ana maadui wengi analazimika kufanya hivyo

Upande wa active sea going ships China imeipiga gap Marekani pakubwa

Mameli mengi ya Marekani mabovu yako docks yanasubiri marekebisho yamepata kutu ma kuoza na imekuwa changamoto kwa Marekani kwa sababu ship building industry yao imepwaya sana na budget ni kubwa sana yanaoza docks

Imefikia hatua Marekani anategemea Japan na South Korea ili wazirekebishe meli zake
 
Nimesema naona maana ya kuwa sina uhakika ndio maaana nikahitaji ufafanuzi zaidi maana utaalamu wa hivi vitu wala chembe yake sina utaalamu navyo zaidi ya kuangalia maumbo yake tu ndugu, nafikiri sikufafanua vyema.
Ukisema uangalie maumbo utasema hivyo lakini kuna specifications na features nyingi sana za ndani zinatofautiana kwa mbali
 
Mwisho wa mwaka huu haujawa mzuri kwa Pentagon na defense contractors wake, kwa ujumla unaweza kuwaita U.S MIC (U.S Military Industrial Complex)

Mapema mwezi Novemba kwenye Zhuhai Air show China walionyesha toleo jipya na la pili la 5th generation fighter jet J-35 ambayo imekuja kuichallange F-35.
View attachment 3188426

J-35

Hatimaye kwenye race ya 6th generation fighter, China limekuwa taifa la kwanza duniani kufanya successfully first flight. PLAAF (People's Liberation Army Air Force) imefanya majaribio ya ndege 2 za 6th Gen
View attachment 3188394
Chengdu 6th Gen design with 3 Engines

View attachment 3188396
Shenyang 6th Gen design with 2 engines

Kama haitoshi siku moja baadaye Desemba 27 China ikaipa tena salamu Pentagon kwa kuzindua the world's largest amphibious assault ship type 076 "Sichuan." The largest and most advanced amphibious ship in the world.

View attachment 3188407
  • Hii itakuwa carrier kwa stealth attack drones na helicopter. Ya kwanza duniani kuwa na Electromagnetic Aircraft Launch System (EMALS) na Landing Helicopter Dock (LHD)
  • Ina electromagnetic catapult system kuwezesha kurusha na kutua kwa unmanned combat aerial vehicles (UCAVs) na hata manned aircraft.

  • Sichuan also performs its direct landing functions a large amount of equipment and troops are placed inside.

Kwa sasa ukizungumzia the largest navy fleets in the world upande wa Majeshi ya Navy duniani, jeshi la Navy la China ndio jeshi kubwa zaidi. China now possesses the world’s largest maritime fighting force, and it is growing further.

Kwa kuongezea tena siku hiyohiyo ya Desemba 27 China ikazindua "KJ 3000" next-generation stealth detecting AWACS (Airborne Warning and Control System)

View attachment 3188412

KJ 3000
  • Ina radar za kisasa za mfumo wa AESA (Active Electronically Scanned Array), antennas

  • Kikubwa zaidi ina long range stealth detection.

Hapa stealth jets za Mmarekani kama F-22 na F-35 zitakuwa detected kirahisi.

Pia China ikazindua stealth attack drone GJ-11. Hizi ni Unmanned Combat Aerial Vehicle (UCAV) zitakazokuwa zinabebwa kwenye the world's largest amphibious ship type 076 Sichuan. Inafahamika kwa kuwa na stealth capabilities na ground strikes.
View attachment 3188419
GJ-11

Halafu kuna chombo inaitwa WZ-9 Divine Eagle UAV hii pia ni an unmanned AWACS, na ina uwezo wa kwenda high-altitude ina maana inaweza kupaa mbali zaidi kuliko ground radars, hii ni kwa ajili ya anti-stealth missions.
View attachment 3188422
WZ-9 Divine Eagle

Wakati yote hayo yakiendelea China, kwa upande wa Marekani mpango wa kuunda 6th generation airplane fighter unaofahamika kama NGAD (The Next Generation Air Dominance) umesimamishwa kwa muda kutokana na cost overruns and outdated designs.

Ikumbukwe China inatumia 1.6% tu ya GDP yake kwenye defense budget huku Marekani ikitumia 3.6%

China is openly challenging the U.S to an arms race
WEWE BWEGE SANA NA ANALYSIS YAKO ISIYO NA KICHWA WALA MIGUU NAONA UMEINGIA KWENYE PAYROLL YA PRC USIJE KUSAHAU KUWA SIKIO HALIJAWAHI ZIDI KICHWA KUMBUKUKA HUU USEMI HAO MBWA ZAKO WACHINA KILA KITU WAMECOPY HAPA DUNIANI NINI WANAWEZA KULETA KIPYA KUWA MAKINI WASIJE KUKETEA MBOO ZA KUPASTE ZIKAKURARUA MAKALIO YAKO
 
Unawadanganya wasiojua J-20 inatumia WS-15 engine zinazotengenezwa na Shenyang kampuni ya China

F-35 mpaka leo engine zina hitilafu na hakuna marekebisho ya engine yamefanywa
Nimekuuliza ni J-20 gani iliyo kwenye PLAAF inatumia WS-15 engine. Ni squadron gani?

Jeshi la anga la China halijawahi kuiona WS-15 wala haliijui. Ni engine ya kampuni, haijawa certified kutumika na J-20.
 
Hii bado ni ndogo hata kwa toleo la China lililopita la type 075, za China zina uwezo wa kubeba zaidi ya hii na ni modern za Marekani hazijadizainiwa kubeba drones
America class inabeba ndege na helicopters 20 hadi 25. Type 075 inabeba ngapi?
 
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa zinatumia engine iliyotengenezwa China?
Hata WS-10 ni ya China na ina poor performance. Ikaja WS-10B bado. Sasa WS-15 ndio kwanza Shenyang wanaiunda unasemaje inatumika. Wapi?

Injini imeruka mara ya kwanza mwaka jana leo unadai inatumika. Hujui Wachina kati ya vitu wapo nyuma ni jet engines. Nina imani WS-15 hata 2027 bado hutoiona kwenye squadron yoyote.
 
Poor performance yake ni ipi?
 
WEWE BWEGE SANA NA ANALYSIS YAKO ISIYO NA KICHWA WALA MIGUU NAONA UMEINGIA KWENYE PAYROLL YA PRC USIJE KUSAHAU KUWA SIKIO HALIJAWAHI ZIDI KICHWA KUMBUKUKA HUU USEMI HAO MBWA ZAKO WACHINA KILA KITU WAMECOPY HAPA DUNIANI NINI WANAWEZA KULETA KIPYA KUWA MAKINI WASIJE KUKETEA MBOO ZA KUPASTE ZIKAKURARUA MAKALIO YAKO
Unaelewa maana ya copy and paste?

Kwa mfano gari la kwanza duniani kubuniwa (invention) lilitengenezwa na Benz Patent Motor Car mwaka 1886.

Kwa hiyo unataka kusema makampuni yote duniani ya kutengeneza magari yamecopy na kupaste kutoka kwa Benz Patent Motor Car?

Au yamefanya innovation kutoka kwenye invention iliyofanywa na Benz?
 
America class inabeba ndege na helicopters 20 hadi 25. Type 075 inabeba ngapi?
Hilo nalo ni swali maana kinachoamua uwezo wa kubeba ni ukubwa wa flight deck

Inaweza kubeba ndege na helicopters zaidi ya 30, armored fighting vehicles hadi 60 na crew 1100, troops 800 hadi 1600, landing craft hadi 4
 
Hata WS-10 ni ya China na ina poor performance. Ikaja WS-10B bado. Sasa WS-15 ndio kwanza Shenyang wanaiunda unasemaje inatumika. Wapi?

Injini imeruka mara ya kwanza mwaka jana leo unadai inatumika. Hujui Wachina kati ya vitu wapo nyuma ni jet engines. Nina imani WS-15 hata 2027 bado hutoiona kwenye squadron yoyote.
Poor perfomance iliyoko kwenye engine ya F-35 kumbuka ina miaka zaidi ya 10 na bado defense contractor aliyepewa kazi ya kuirekebisha mpaka leo ameshindwa unafikiri shida iko wapi hasa?
 
Blah blah kibao mchina hajawai kuwa serious na kazi zake.hizo ndege zinaweza kushindwa kutoa matairi zikitaka kutua.
 
Blah blah kibao mchina hajawai kuwa serious na kazi zake.hizo ndege zinaweza kushindwa kutoa matairi zikitaka kutua.
Unafikiri hizo ndege zimetengenezwa na Boeing chinja chinja zenye shida ya landing gear
 
Back
Top Bottom