Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Sasa kama hawajashika dola kwanini huwa unawaponda humu JF?Nimesema serikali umeona nimetaja chama chochote hapo? Au chadema ilishashika dola tukaona ilichofanya ili tuponde au tupongeze? Haya mambo kuyajadili ni kuweka mahaba na mihemko kando... Tukienda hivi hatutafika nakuambia.