Sasa kama hawajashika dola kwanini huwa unawaponda humu JF?Nimesema serikali umeona nimetaja chama chochote hapo? Au chadema ilishashika dola tukaona ilichofanya ili tuponde au tupongeze? Haya mambo kuyajadili ni kuweka mahaba na mihemko kando... Tukienda hivi hatutafika nakuambia.
Mh? Cuba tena. Kwakuwa wasosharisti ndio unahisi wanaweza kutengenezaChina tatizo linapungua,hatua za kujikinga zimesaidia na wengi wanatoka hospital,anti viral medicine za Cuba zimechangia pia
Sipondi chama kama chama....Naponda mawazo ya baadhi ya member... Si cdm tu hata ccm na chama kingine chochote.Sasa kama hawajashika dola kwanini huwa unawaponda humu JF?
Chinese doctors are using Cuban antiviral to treat coronavirus ...Mh? Cuba tena. Kwakuwa wasosharisti ndio unahisi wanaweza kutengeneza
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa naona michango yako,sijawahi kuona unakuwa upande mmoja na CDM katika jambo lolote!Pia sijawahi kuona unamkosoa JPM kwa jambo lolote!Mara nyingi umekuwa mkosoaji wa wapinzani kuliko watawala ambao ndio wenye dola na probably wao ndio wana nafasi kubwa ya kufanya makosa maana wana madaraka ya kuongoza nchi!Sipondi chama kama chama....Naponda mawazo ya baadhi ya member... Si cdm tu hata ccm na chama kingine chochote.
Maybe unaonaga tu za aina hiyo... Sikulamu.Huwa naona michango yako,sijawahi kuona unakuwa upande mmoja na CDM katika jambo lolote!Pia sijawahi kuona unamkosoa JPM kwa jambo lolote!Mara nyingi umekuwa mkosoaji wa wapinzani kuliko watawala ambao ndio wenye dola na probably wao ndio wana nafasi kubwa ya kufanya makosa maana wana madaraka ya kuongoza nchi!
Kawaida ya mafua yakikushika hayarudi mara ya pili labda baada ya miezi kadhaaWakati nchi nyingi zikiingiwa na taharuki kutokana na kuenea kwa virusi vya corona nchini China katika jimbo la Guizhou Kusini-Magharibi mwa nchi hiyo wanafunzi wameanza kurejea mashuleni kama kawaida pasi na vilinda pua na midomo (mask)
Taarifa hii ni kwa Mujibu wa kituo cha habari cha Taifa la Uchina (CCTV)
Azam TV.
Je tatizo limepatiwa ufumbuzi?
Ndo maana nawashangaa watu wanaohangaika na corona tz,Yani huu mdudu ataishi wapi na joto hiliKipindi cha joto kinakaribia ulaya na huko asia...virusi navyo vitaisha vyote....
Next winter we need to be very careful!! Hivi vidudu ni vishenzi sana!!
Bado Serikali ya China iwaambie wananchi wake waache kula wadudu ambao ni Host wa virusi hatari kama Popo mathalanJe tatizo limepatiwa ufumbuzi?
Mimi ccm damu damuHujui hata unaloliongea....Mimi si member wa chama chochote kile... Nyie mnaponda kila kitu ndo maana sifungamani nanyi... Hata serikali ikienda wrong naipondea pia.
Mkuu Yaaani source uliyotumia ni CCTV?
Ulitegemea watasema Hali itakuwa Mbaya?
Hao ni kama TBC tu ni pro government....
Never trust chochote watakachosema. Ni Fourth Arm Of Chinese Government. PROPAGANDA.
Ukieka taarifa kuhusu Corona kupitia source Nyingine kwa hisani yako naomba Unitag!
Hapana ww si ccmMimi ccm damu damu