China inaonekana kuibuka na ushindi dhidi ya janga la Corona

mi naona ni vita ya tatu ya dunia ila sasa haijumuishi silaha za moto
imejikita sana kwenye matumizi ya silaha za kibaiolojia
tukumbuke lengo la vita ni kuua
 
umeridhika kabisa kuwa huu ndiyo ushahidi wa kubeba hoja yako!!! Muda ni mwamuzi mzuri, narudia.
 
Mpangumbe,
Taarifa ni kuwa wamewaua watu wote wenye maambukizi na ndiyo maana wanawafukuza waandishi wa NYT/waandishi wa habari toka USA kutoka nchini humo ili wafiche kinachoendelea katika kuukabiri ugonjwa huo
Waandishi wa NYT waliandika habari za kizandiki dhidi ya serikali ya China katika kushughulikia tatizo ala ugonjwa wa corona....walipotakiwa kuomba radhi wakakataa...ndiyo maana China imewafurusha.
 
HUKU KWETU TUNAPASWA KUFAHAMU KWAMBA, KWA SASA KUPOKEA WAGENI KUTOKA WANHU CHINA NI BORA, KULIKO KUPOKEA WAGENI KUTOKEA NCHI ZA BARA ULAYA.

VIDOLA WANAVYOTOA WAINGIAPO VINAWEZA KUTUMIKA MARA ELFU 10 YAKE KWA WABONGO KUKABILIANA NA CORONA.

EEE MOLA WETU TUOKOE NA JANGA HILI.
 
Inapendeza....I wish I could be in China this time... Huku ni mapresha na mafake news ya kishenzi tu.
Walipitia haya miezi mitatu iliyopita, sasa ni wakati wetu, tuombe isichukue muda mrefu. Hata hiyo habari ya DW inadai Magharibi bado inazuia shughuli mbalimbali, shirika kubwa la habari hawakumbuki kuwa China ilianza kushambuliwa na kuchukua hatua hizi hizi, miezi mitatu iliyopita? Inapodhihirika kuwa maambukizi mapya hamna au yamepungua sana , ndio jamii hurudi tena katika pilika zake za kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii taarifa ni propaganda tupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeridhika kabisa kuwa huu ndiyo ushahidi wa kubeba hoja yako!!! Muda ni mwamuzi mzuri, narudia.

Kama serikali ya China imepata ushindi na sasa inatuma madaktari na misaada nje ya nchi kusaidia wengine mbona hospitali zimejaa na hospitali huko Wuhan hazipokei wagonjwa, hiyo huruma ya kupeleka resources kwa wengine iko wapi wakati wewe mwenyewe unazihitaji nchini mwako?

 
China imeanza kuwa safe mzigo umeingia kwetu wale watoto sijui wanajiskiaje tulivyowapiga ban kurudi na mzigo umeletwa na wengine na wao hadi leo wapo salama ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…