China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

[emoji3][emoji3][emoji3]
 
tupe mrejesho mkuu

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Sio kila vita unatakiwa kupigana, sometimes unashinda kwa kutopugana,

China atashinda vita hii kwa kuondoa umuhim wa Taiwan kwenye technolojia, pale atakapokuja na technolojia yake mwenyewe ambayo inampiku taiwan kwenye fabrications of electronics equipment ndipo atakapoishinda vita hii na kuirudisha taiwan kwenye himaya yake,

Marekan na ulaya wanajua hilo ndo maana wanamprovoke uchina ili aingie kichwa kichwa aanzishe vita. Marekan na ulaya wanajua vita hiyo itamrudisha nyuma uchina kwenye technolojia na wao wataenda mbele zaidi ili china aendelee kuitegemea marekan na ulaya katika technolojia za kisasa (cutting edge tecnologies)

So hii vita si hard war ya mabomu, risasi wala ndege, ni soft war ya kuhakikisha china anakuwa na technolojia bora kuizidi marekan na ulaya.

Vita hiyo ishaanza na ulaya na marekan wanaelekea kushindwa, ndo maana wanamprovoke china ili wale kichwa. Kwa jana/juzi kutoingia kwenye vita hiyo ya mabom na risasi then china atashinda otherwise ataendelea kusubiria sana kuwa superpower.
 
Biti tuu hilo mama anaenda na hawamfany kitu,China alipigwa biti moja tu ole wake aisaidie Russia mpaka leo mkia makalion ,tuone biti lake,US anawaona kama walevi wa madaraka tuu. Mtu ukikaa sana madarakani unapungukiwa akili
embu cha ushabiki maandazi wewe.
EU IKIONGOZWA NA VON DERLEYEN ILIMUOMBA NARUDIA TENA ILIMUOMBA CHINA ASIJIHUSISHE NA VITA YA RUSSIA.
na km china ingejihusisha dong feng zikatua ukraine mngekuta watu wamegeuka jivu
 
Indeed [emoji106][emoji106][emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…