China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

Kesho ndio kesho itakuwa ni tarehe 2 mwezi wa 8, tunasubiri ili tuone hicho kibibi kitatua na kuitia aibu Uchina au wataifyekelea mbali hiyo ndege ya huyo kibibi!
Uchina msijitie aibu kama ndege ya huyo kibibi ikikatiza imalizeni jumla
Nalog off  Z
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nilifikiri unakuja na bandiko la kuonyesha uhalali wa umiliki wa hicho kisiwa. Wewe unakuna na blabla ya utaalamu wa kivita wa tandale. China kaishaweka biti hataki spika wa marekani akanyage taiwan. Sasa kama USA ni mbabe na amehaweka kambi akanyake basi huyo spika tuone, naona kibabu kimeshapiga simj ya kuomba poo maana iabu nyingine inakwenda kuikumba USA
tupe mrejesho mkuu

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Sio kila vita unatakiwa kupigana, sometimes unashinda kwa kutopugana,

China atashinda vita hii kwa kuondoa umuhim wa Taiwan kwenye technolojia, pale atakapokuja na technolojia yake mwenyewe ambayo inampiku taiwan kwenye fabrications of electronics equipment ndipo atakapoishinda vita hii na kuirudisha taiwan kwenye himaya yake,

Marekan na ulaya wanajua hilo ndo maana wanamprovoke uchina ili aingie kichwa kichwa aanzishe vita. Marekan na ulaya wanajua vita hiyo itamrudisha nyuma uchina kwenye technolojia na wao wataenda mbele zaidi ili china aendelee kuitegemea marekan na ulaya katika technolojia za kisasa (cutting edge tecnologies)

So hii vita si hard war ya mabomu, risasi wala ndege, ni soft war ya kuhakikisha china anakuwa na technolojia bora kuizidi marekan na ulaya.

Vita hiyo ishaanza na ulaya na marekan wanaelekea kushindwa, ndo maana wanamprovoke china ili wale kichwa. Kwa jana/juzi kutoingia kwenye vita hiyo ya mabom na risasi then china atashinda otherwise ataendelea kusubiria sana kuwa superpower.
 
Biti tuu hilo mama anaenda na hawamfany kitu,China alipigwa biti moja tu ole wake aisaidie Russia mpaka leo mkia makalion ,tuone biti lake,US anawaona kama walevi wa madaraka tuu. Mtu ukikaa sana madarakani unapungukiwa akili
embu cha ushabiki maandazi wewe.
EU IKIONGOZWA NA VON DERLEYEN ILIMUOMBA NARUDIA TENA ILIMUOMBA CHINA ASIJIHUSISHE NA VITA YA RUSSIA.
na km china ingejihusisha dong feng zikatua ukraine mngekuta watu wamegeuka jivu
 
Napingana na wewe kabisa.
Wapi umepata hiyo habari kuwa kuna kambi ya jeshi ya Marekani Taiwan na kuwa kuna wanajeshi wa Marekani 20,000?

Hakuna kambi ya jeshi ya Marekani Taiwan. Kuna wanajeshi 31 tu wa Marekani Taiwan. Waliongezeka mwaka jana toka 20.

Na sababu ya Marekani kutaka Taiwan isiwe sehemu ya China ni hili iweze kuweka base pale.

Na sababu pekee Marekani inaitetea Taiwan ni ili kuibana China na kuinyima access ya bahari ili kuidhibiti kiuchumi. Hakuna lingine.

Ukiangalia kwenye ramani, hapo Taiwan ndiyo sehemu pekee iliyobaki ambayo China ina control na kupitisha mizigo yake. Maana upande mwingine ni South Korea na Japan, upande mwingine ni Philippines na visiwa vyake. Taiwan ipo katikati.

Pia ndiyo sababu hiyohiyo Marekani inataka Hong Kong ijitenge Na China. Kwa kuwa ikitoka ina maana Guangzhou litakuwa hatarini kushuka sana kiuchumi.

Hakuna sijui kuitafutia uhuru Taiwan wala nini. Ni propaganda za kipuuzi tu.

Wabongo tutumie muda japo kuidogo kufungua ramani ili uweze kuelewa haya mambo. View attachment 2307744
Indeed [emoji106][emoji106][emoji817]
 
Back
Top Bottom