China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

Na sababu pekee Marekani inaitetea Taiwan ni ili kuibana China na kuinyima access ya bahari ili kuidhibiti kiuchumi. Hakuna lingine.
Marekani akipigana vita, huwa anahakikisha uwanja wa vita usiwe katika eneo lake, anataka akupigie kwako. Marekani anatafuta ushawishi kwenye hiki kisiwa, pamoja na sababu nyingine nyingi ni ili pia kujiimarisha kiusalama dhidi ya China
 
Hizo base za US China anazilipua zote kama alivofanyaga Iran afu zinatumwa hypersonic tu uone kama uyo Marekani hakimbii. Unaichukulia poa sana China.
Kule mashariki, mtu anayeweza walau kupumua mbele yq US ktk eneo la Military ni Russia. China mwenyewe huwezi kumuweka meza moja na Mrusi eneo la Vita.

China ni wa kawaida tu mbele ya wababe kama US, India n.k
 

Kuna vitu ambavyo sijui mkiongea mnatoa waap yaaan US hawa hawa kabisaaa waambiewe Pelosi asiende nao watii hawa hawa kabisa??
 
Hongkong UK inajutia maamuzi yake 1997
 
China haijawahi pigana modern war,
 
Kwamba China ina biggest navy in the world uwongo uliotukuka,mpe ban huyu
 
Kule mashariki, mtu anayeweza walau kupumua mbele yq US ktk eneo la Military ni Russia. China mwenyewe huwezi kumuweka meza moja na Mrusi eneo la Vita.

China ni wa kawaida tu mbele ya wababe kama US, India n.k

Sio kupumua tu US hamuwezi Russia, wachina wanamkalisha US vizuri kabisaa
 
chambuzi la masuala ya kijeshi likichambua jeshi la china huku lenyewe likiwa buza kwa mama kibonge likivizia mihogo ya kukaanga.
 
Nadhani vijana wengi tuna ongelea uwezo wa nchi kwenye vita kwa ushabiki na siyo kwa data. China ni ya 3 duniani kwa uwezo wa kivita. Top 5 ni
1. Marekani
2. Russia
3. China
4. Japan
5. India

Marekani amemzidi China kwenye vifaa kama Ndege, Airline Carrier, Budget ya Jeshi (ambayo siitegemei sana maana Marekani vitu vyao ni bei sana kwa hiyo wanatumia hela nyingi sana.) Ila china pia anavitu vingi kamzidi Marekani, hasa kwenye makombora na watu.

Mfano;
  1. Ndege za Jeshi - Marekani (13,247) - China (3,285)
  2. Ndege za Attack (fighet Jets) - Marekani (1,957 kati ya 13,247) - China (1,200 kati ya 3,285)
  3. Helicopters - Marekani (5,463) - China (912)
  4. Helicopters za Attack - Marekani (910 kati ya 5,463) - China (281 kati ya 912)
  5. Tanks - Marekani (6,612) - China (5,250)
  6. Submarines - Marekani (68) - China (79)
  7. Aircraft Carrier - Marekani (11) - China (3) Wameongeza nyingine moja mwezi wa 6
  8. Armored Vehicles - Marekani (45,193) - China (35,000)
  9. Self- Propelled Artillery - Marekani (1,498) - China (4,120)
  10. Towed Artillery - Marekani (1,339) - China (1,734)
  11. Mobile Rocket - Marekani (1,366) - China (3,160)
  12. Idadi ya Watu (Jumla) - Marekani (334,998,398) - China (1,397,897,720)
  13. Nguvu kazi watu - Marekani (147,399,295) - China (754,864,769)
  14. Idadi ya watu walio fit kupambana - Marekani (122,274,415) - China (619,268,690)
Kama unanyoona. Mtanange ukitokea kati ya Marekani na China, nadhani uwezo wa nchi moja kutoboa ni asilimia 50% kwa 50%. Na nchi zote mbili, zitashuka kiuchumi vibaya mno.

Kama ni kubet, hela yangu naweka kwa Mchina.

Kwa maelezo zaidi tembelea Comparison of United States and China Military Strengths (2022)
 
Aiseee, unasema kat ya china ni nani ana Navy bora?
 
Hizo Mbwembwe na propaganda za USA, Taiwani itapigwa tu..Jana Biden kapewa onyo na Rais wa China
kwamba asichezee moto.
Ndio apigwe sasa, Taiwan sio Ukraine 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220729-110041.png
    95.4 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…