China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

Sijakataa bwashee ,China ni taifa kubwa tena lenye uchumi mkubwa duniani kuliko nchi zote sijasema atashindwa Bali nazungumzia changamoto ngumu atakazokumbana nazo
Kinachoweza kumfanya China ashinde ni kwa sababu Taiwan ni kisiwa hawana mipaka na Nchi za jirani japo kuvusha silaha nk
 
China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa cha japani ambacho ni karibu sana na Taiwan ,yani kiufupi Taiwani wamejiweka sawa.
Changamoto nyingine ni kwamba kisiwa hicho kipo umbali wa km 175 kutoka China, hivyo China akitaka kukivamia itabidi awe na meli kubwa zenye uwezo wa kubeba vifaa na zana za vita ,na hiz meli zitakua zinatembea taratibu hii itakua rahisi kushambuliwa na morden ant-ship messile ,pia Taiwan wameshatega mabomu ya kwenye maji kuzunguka kisiwa kizima ,mabomu haya yaliyotengenezewa UK yana uwezo wa kuharibu hadi submarine za kisasa.
Changamoto nyingine kuna kakisiwa kadogo ka Taiwan ambacho kiko umbali wa km 70 toka China haka kakisiwa kamejazwa wanajeshi na zana za kivita na ulinzi mkali hivyo kabla China hajafika Taiwan kwenyewe itamgharimu sana hapa.
Changamoto nyingine ni geography ya hichi kisiwa cha Taiwan aisee mji na mji kumetengwa na misitu mikubwa na mabonde mengi hii nayo. changamoto.
Changamoto nyingine ni jinsi ya kufanya uvamizi wa kushtukiza,unjua kwenye vita ukitaka ushindi wa asubuhi kamata anga la mpinzani aisee kwa Taiwan siyo rahisi maana anga lake linaendeshwa kisasa ,sawa na anga la France au German ,siyo choka mbaya Ukraine wasio na hata rada za maana,
Lingine ni kuwa hichi kisiwa sio choka mbaya kama Ukraine wao wamenunua ndege za kisasa,technology zilizoenda shule ,ni wataalamu wa udukuz,wakisaidiwa na japani na US.
Changamoto ya mwisho ni kwamba kisiwa hichi kimeingia makubaliano na US ya kulindana hivyo hapa US anaingia direct, siyo kule kwa zelesky anatumiwa kifaa kimojakimoja tena kwa tabu.
Sitegemei kama China wataivamia Taiwan ,itaishia kupiga mikwara tuu.
Mama anatinga huko next week ngoja tuone ,yajayo yanafurahisha
Mkuu jua China sio chato!!
 
Kisomi wapi matango pori hayo ,eti marekani ana wanajeshi 20, tena Taiwan ,ni mjinga tuu ataamin ,Tanzania hakuna base ila wanajeshi wa marekani monduli wako zaid ya 20
China ni Mchumba tuu kwa Taiwan na keshachekewa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220729-105806.png
    Screenshot_20220729-105806.png
    100 KB · Views: 8
Nadhani vijana wengi tuna ongelea uwezo wa nchi kwenye vita kwa ushabiki na siyo kwa data. China ni ya 3 duniani kwa uwezo wa kivita. Top 5 ni
1. Marekani
2. Russia
3. China
4. Japan
5. India

Marekani amemzidi China kwenye vifaa kama Ndege, Airline Carrier, Budget ya Jeshi (ambayo siitegemei sana maana Marekani vitu vyao ni bei sana kwa hiyo wanatumia hela nyingi sana.) Ila china pia anavitu vingi kamzidi Marekani, hasa kwenye makombora na watu.

Mfano;
  1. Ndege za Jeshi - Marekani (13,247) - China (3,285)
  2. Ndege za Attack (fighet Jets) - Marekani (1,957 kati ya 13,247) - China (1,200 kati ya 3,285)
  3. Helicopters - Marekani (5,463) - China (912)
  4. Helicopters za Attack - Marekani (910 kati ya 5,463) - China (281 kati ya 912)
  5. Tanks - Marekani (6,612) - China (5,250)
  6. Submarines - Marekani (68) - China (79)
  7. Aircraft Carrier - Marekani (11) - China (3) Wameongeza nyingine moja mwezi wa 6
  8. Armored Vehicles - Marekani (45,193) - China (35,000)
  9. Self- Propelled Artillery - Marekani (1,498) - China (4,120)
  10. Towed Artillery - Marekani (1,339) - China (1,734)
  11. Mobile Rocket - Marekani (1,366) - China (3,160)
  12. Idadi ya Watu (Jumla) - Marekani (334,998,398) - China (1,397,897,720)
  13. Nguvu kazi watu - Marekani (147,399,295) - China (754,864,769)
  14. Idadi ya watu walio fit kupambana - Marekani (122,274,415) - China (619,268,690)
Kama unanyoona. Mtanange ukitokea kati ya Marekani na China, nadhani uwezo wa nchi moja kutoboa ni asilimia 50% kwa 50%. Na nchi zote mbili, zitashuka kiuchumi vibaya mno.

Kama ni kubet, hela yangu naweka kwa Mchina.

Kwa maelezo zaidi tembelea Comparison of United States and China Military Strengths (2022)
Overall US ndiye ayaongoza dunia kwa tecnology.
 
Overall US ndiye ayaongoza dunia kwa tecnology.
Yes. Lakini jua pia, ikitokea vita, China ataweza tengeneza silaha nyingi zaidi na kwa muda mfupi na gharama ndogo kuliko US.

Ukiangalia man power ya China, na aina yao ya uongozi, wanaweza badilisha viwanda vingi na watu wengi kutengeza silaha na kujiunga na Jeshi.

Nadhani wateweza gonga copy mpaka za HIMARS za US [emoji12]. Tena kwa idadi kubwa na haraka zaidi.

Ndiyo maana nasema hela yangu na weka kwa mchina.
 
Hizo Mbwembwe na propaganda za USA, Taiwani itapigwa tu..Jana Biden kapewa onyo na Rais wa China
kwamba asichezee moto.
Well said, we fikiria kuna watu wengine they can't even read between the lines si hilo to vile vile ni argumentative by default!!

Mtu ana ambiwa kwamba Rais Biden na Rais Xi mazungumzo yao kwa njia ya simu yamechukuwa takribani saa mbili na nusu hivi - halafu Xi bila ya kumungunya maneno kamwambia Biden kwamba hasijaribu kuchezea moto linapo kuja swala la Taiwan, Xi alikuwa dead serious - ni wazi Biden alipata massage kwamba Wachina/Xi onyo lake hatanii hata kidogo.

Mtu anakuja na hoja hapa kwamba eti kwa kuwa US wana military base Taiwan kwa hiyo Uchina itaogopa, hivi hawa watu wanaijuwa vizuri Uchina au?? Sio kwamba Uchina hajawahi kupambana na USA face to face, waliwahi kupambana kwenye vita ya Korea mwanzoni mwa miaka ya hamsini, USA forces under Field Marshal McCathy command walikaribiana kabisa kuuteka mji wa Pyongyang; lakini,je,jeshi la Mao lilipo ingilia kati kulitokea nini? Jeshi la USA lilipata kipigo kikali likaridishwa nyuma mpaka 38 parallel yaani latitudo ya 38 kaskazini baada ya umoja wa mataifa kuwasihi wasitishe mapigano, Marshal McCathy alipata kiwewe na hasira na kuomba kibari kwa Rais Harry Truman ili aipige Uchina kwa mabom ya Nuclear ili kulipiza kisasi, Truman alipo mkatalia, basi McCathy kahamua kumfanyia insubordination Rais Truman mpaka Rais kufikia hatua ya kumfukuza kazi.
 
Nadhani vijana wengi tuna ongelea uwezo wa nchi kwenye vita kwa ushabiki na siyo kwa data. China ni ya 3 duniani kwa uwezo wa kivita. Top 5 ni
1. Marekani
2. Russia
3. China
4. Japan
5. India

Marekani amemzidi China kwenye vifaa kama Ndege, Airline Carrier, Budget ya Jeshi (ambayo siitegemei sana maana Marekani vitu vyao ni bei sana kwa hiyo wanatumia hela nyingi sana.) Ila china pia anavitu vingi kamzidi Marekani, hasa kwenye makombora na watu.

Mfano;
  1. Ndege za Jeshi - Marekani (13,247) - China (3,285)
  2. Ndege za Attack (fighet Jets) - Marekani (1,957 kati ya 13,247) - China (1,200 kati ya 3,285)
  3. Helicopters - Marekani (5,463) - China (912)
  4. Helicopters za Attack - Marekani (910 kati ya 5,463) - China (281 kati ya 912)
  5. Tanks - Marekani (6,612) - China (5,250)
  6. Submarines - Marekani (68) - China (79)
  7. Aircraft Carrier - Marekani (11) - China (3) Wameongeza nyingine moja mwezi wa 6
  8. Armored Vehicles - Marekani (45,193) - China (35,000)
  9. Self- Propelled Artillery - Marekani (1,498) - China (4,120)
  10. Towed Artillery - Marekani (1,339) - China (1,734)
  11. Mobile Rocket - Marekani (1,366) - China (3,160)
  12. Idadi ya Watu (Jumla) - Marekani (334,998,398) - China (1,397,897,720)
  13. Nguvu kazi watu - Marekani (147,399,295) - China (754,864,769)
  14. Idadi ya watu walio fit kupambana - Marekani (122,274,415) - China (619,268,690)
Kama unanyoona. Mtanange ukitokea kati ya Marekani na China, nadhani uwezo wa nchi moja kutoboa ni asilimia 50% kwa 50%. Na nchi zote mbili, zitashuka kiuchumi vibaya mno.

Kama ni kubet, hela yangu naweka kwa Mchina.

Kwa maelezo zaidi tembelea Comparison of United States and China Military Strengths (2022)
Hilo jina CHINA linatosha kujua nani wa ukweli ,nenda hata dukan kununua spea ukimwambia bidhaa fekfek atakuambia nikupe mchina?wazee wa makorokoro
 
Watu wengine can't read between the lines and are argumentative by default!! We unaambiwa na Biden na Xi mazungumzo yao kwa njia ya simu yamechukwa takribani saa mbili na nusu - halafu Xi bila ya kumungunya maneno kamwambia Biden kwamba hasijaribu kuchezea moto linapo kuja swala la Taiwan, Xi alikuwa dead serious - Biden alipata massage kwamba Wachina/Xi hatanii hata kidogo.

Mtu anakuja na hoja hapa eti US wana military base Taiwan kwa hiyo Uchina itaogopa, hivi hawa watu wanaijuwa vizuri Uchina au?? Sio kwamba Uchina hajawahi kupambana na USA face to face waliwahi kwenye vita ya Korea mwanzoni mwa miaka ya hamsini, USA forces under Field Marshal McCathy command walikaribiana sana kuuteka mji wa Pyongyang,lakini jeshi la Mao lilipo ingilia kati kulitokea nini? Jeshi la lilichachafwa vikali likarudishwa nyuma mpaka 38 parallel yaani latitudo ya 38 kaskazini baada ya umoja wa mataifa kuwasihi wasitishe mapigano, Marshal McCathy alipata kiwewe na hasira na kuomba kibari kwa Rais Harry Truman ili aipige Uchina kwa mabom ya Nuclear kulipiza kisasi, Truman alipo mkatalia, basi McCathy kahamua kumfanyia insubordination kwa Truman mpaka akamtumua kazi.
Ulikuwepo?
 
Back
Top Bottom