MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
NI NDOTO ZA WAISLAMU WENGI WASTAARABU KWENDA KUISHI MAREKANI. HAO UNAOZUNGUMZIA NI MAGAIDI NA VIBAKA WASIOJITAMBUA.Sina huo mda hata ukijibiwa hutaamini maana una ushabiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI NDOTO ZA WAISLAMU WENGI WASTAARABU KWENDA KUISHI MAREKANI. HAO UNAOZUNGUMZIA NI MAGAIDI NA VIBAKA WASIOJITAMBUA.Sina huo mda hata ukijibiwa hutaamini maana una ushabiki
Hiyo vita na Nato itaanza lini na nani wa kuianzisha au na wewe unaropoka tu ukishalewa vodka.Kiazi nyingine hii unaisi vita inapiganwa Kwa mihemko nchi yoyote itakayoatarusha usalama WA Rusia itapigwa Tu alafu labda nikwambie Tu ule muungano WA NATO ni kwaajili ya nchi NNE Tu Marekani, France, uingereza na kidogo Germany awoo wengine ni kama chambo usitegemee vita vikizuka Marekani ataaribu uchumi wake Kwa kuipigania Poland au Latvia au Lithuania iloo sahau watatoa silaha Tu Ila kwenda front sahau
Bibi katua vip bwashee uko poaKesho ndio kesho itakuwa ni tarehe 2 mwezi wa 8, tunasubiri ili tuone hicho kibibi kitatua na kuitia aibu Uchina au wataifyekelea mbali hiyo ndege ya huyo kibibi!
Uchina msijitie aibu kama ndege ya huyo kibibi ikikatiza imalizeni jumla
Nalog off Z
Bwashee uhalighan mama keshatua VP mbona kimya mnamwachaje aisee?Hizo Mbwembwe na propaganda za USA, Taiwani itapigwa tu..Jana Biden kapewa onyo na Rais wa China
kwamba asichezee moto.
PaaaaahWako wapi wale pro-america?
It's official, Marekani imeiogopa China.
Nancy Pelosi haendi Taiwan. Cheki tweet yake. Atapenda Singapore, Malaysia, South Korea na Japan tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vurugu ilionyesha China siku ngapi hizi si za kitoto.
Sasa sijui wana waakikishia vipi usalama wakati vitisho vya China vimewafanya wabadili njia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2309663
Uchina wamefungishaBibi katua vip bwashee uko poa
Kama nakumbuka vizuri amekuwa akihimizwa sana aicondemn Russia na aipige vikwazo lakini alikataa na sources zipo waziwazi, sasa hilo la kusema alipigwa biti kuwa ole wake aisaidie Russia na kafyata naona imekaa kiuongo zaidiBiti tuu hilo mama anaenda na hawamfany kitu,China alipigwa biti moja tu ole wake aisaidie Russia mpaka leo mkia makalion ,tuone biti lake,US anawaona kama walevi wa madaraka tuu. Mtu ukikaa sana madarakani unapungukiwa akili
Mmmh!! Mmh!.Well said, we fikiria kuna watu wengine they can't even read between the lines si hilo to vile vile ni argumentative by default!!
Mtu ana ambiwa kwamba Rais Biden na Rais Xi mazungumzo yao kwa njia ya simu yamechukuwa takribani saa mbili na nusu hivi - halafu Xi bila ya kumungunya maneno kamwambia Biden kwamba hasijaribu kuchezea moto linapo kuja swala la Taiwan, Xi alikuwa dead serious - ni wazi Biden alipata massage kwamba Wachina/Xi onyo lake hatanii hata kidogo.
Mtu anakuja na hoja hapa kwamba eti kwa kuwa US wana military base Taiwan kwa hiyo Uchina itaogopa, hivi hawa watu wanaijuwa vizuri Uchina au?? Sio kwamba Uchina hajawahi kupambana na USA face to face, waliwahi kupambana kwenye vita ya Korea mwanzoni mwa miaka ya hamsini, USA forces under Field Marshal McCathy command walikaribiana kabisa kuuteka mji wa Pyongyang; lakini,je,jeshi la Mao lilipo ingilia kati kulitokea nini? Jeshi la USA lilipata kipigo kikali likaridishwa nyuma mpaka 38 parallel yaani latitudo ya 38 kaskazini baada ya umoja wa mataifa kuwasihi wasitishe mapigano, Marshal McCathy alipata kiwewe na hasira na kuomba kibari kwa Rais Harry Truman ili aipige Uchina kwa mabom ya Nuclear ili kulipiza kisasi, Truman alipo mkatalia, basi McCathy kahamua kumfanyia insubordination Rais Truman mpaka Rais kufikia hatua ya kumfukuza kazi.
Mkuu tupe updates basi vipi hilo onyo limeendaje na Taiwan imepigwa?Hizo Mbwembwe na propaganda za USA, Taiwani itapigwa tu..Jana Biden kapewa onyo na Rais wa China
kwamba asichezee moto.
Yaaan!! 🙁China bado yaihesabia Taiwan kuwa ni moja ya majimbo yake na yaweza kuivamia siku moja ili kutimilisha hiyo kauli yao.
Pia China hawajachelewa yaweza kuichukua Taiwan kwa bila kutumia nguvu ya kijeshi kwa kushindilia ushirikiano wa kuchumi kama ambavyo imefanya majuzi pale Xi alipotembelea kisiwa cha Hong Kong tena kwa njia ya reli.
Lakini pia China yaweza kuivamia Taiwan wakati wowote ikitaka na marekani isifanye lolote kwa kuzingatia kuwa hivi karibu ndege za kivita za China zimekua zikifaya doria la anga zima la eneo hilo bila shida.
Na kama ikitokea China kuvamia Taiwan basi kisiwa hicho hakitakuwa na uwezo wa kujilinda na jeshi lake litamezwa mara moja. China ni nchi pekee duniani ukiondoa marekani ambayo ina matumizi makubwa ya fedha kwenye jeshi na ikitokea yaivamia Taiwan basi utashuhudia China ikitumia nguvu zake kwenye jeshi la maji, anga, ardhini, makombora ya kisasa, ndege za kisasa za kivita (ambazo hizijawahi kutumika) na pia mashambulizi ya mitandao au "Cyber-attacks".
Hata hivyo, bado Taiwan na jeshi lake la watu 80,000 kulinganisha na China yenye jeshi la watu zaidi ya milioni mbili, wanaweza kupunguza makali ya mashambulizi kwa kiasi fulani kwa kuzuia askari wa miamvuli na wanamaji (amphibious forces) na kuanzisha mashambulizi kama yale ya Vietnam yaani kulala kikambare na kushambulia kwa kustukiza huku wakingojea msaada wa kijeshi kutoka nje kwa Marekani na washirika wake hususan Korea Kusini na Japan.
Taiwan yapokea silaha nyingi inouziwa na Marekani hivyo inaweza kuwa na akiba ya kutosha kwa kujihami pale mwanzo wa vita.
Lakini bila shaka kama kawaida ya wamarekani kwenye masuala ya diplomasia na sera ya nje yaani "foreign policy", bado yaitambua sera ya China isemayo "One- China policy" yaani Marekani kuitambua China na serikali yake moja tu yenye makao makuu Beijing na ina ushirikiano nayo China na sio Taiwan.
Ndio kusema kuwamba Marekani imekuwa ikitoa kauli tata za kindumilakuwili kuhusu kuingia vitani kuisadia Taiwan endapo itavamiwa na China lakini hapohapo washauri wa serikali wakisema hilo halitakuwa jambo sahihi.
Hata hiyo ziara ya huyo bibi mchokozi Nancy Pelosi ambayo anaanzia Singapore na kuishia Japan sidhani kama atathubutu kutua Taipei kwani wachina wameishasema Marekani isicheze na moto.
Mwisho nikuulize hivi wadhani hayo yote ulosema ya Taiwan kujiandaa hayajaonwa na satellite za mchina?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hizo Mbwembwe na propaganda za USA, Taiwani itapigwa tu..Jana Biden kapewa onyo na Rais wa China
kwamba asichezee moto.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sidhanii kama UCHINA na UCHINA watachapana
Pia sidhanii kama PELOSI ataenda huko UCHINA
Ila ambalo ninauhakika nalo nikwamba kama itatokea SMO kama ile ya UKRAINE basi hako ka CHINA mtoto katatwangwa haswaa na UCHINA mkubwa na shostito zake hawatakua nazaidi ya VIKWAZO
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nilifikiri unakuja na bandiko la kuonyesha uhalali wa umiliki wa hicho kisiwa. Wewe unakuna na blabla ya utaalamu wa kivita wa tandale. China kaishaweka biti hataki spika wa marekani akanyage taiwan. Sasa kama USA ni mbabe na amehaweka kambi akanyake basi huyo spika tuone, naona kibabu kimeshapiga simj ya kuomba poo maana iabu nyingine inakwenda kuikumba USA
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wako wapi wale pro-america?
It's official, Marekani imeiogopa China.
Nancy Pelosi haendi Taiwan. Cheki tweet yake. Atapenda Singapore, Malaysia, South Korea na Japan tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Vurugu ilionyesha China siku ngapi hizi si za kitoto.
Sasa sijui wana waakikishia vipi usalama wakati vitisho vya China vimewafanya wabadili njia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2309663