Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Market size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.
Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.
View attachment 2990276
I just imposed a series of tariffs on goods made in China:
25% on steel and aluminum,
50% on semiconductors,
100% on EVs,
And 50% on solar panels.
China is determined to dominate these industries.
I'm determined to ensure America leads the world in them.
Trump naye amesema akipita atapiga ban kabisa EVs za China zinazo tengenezewa China na Mexico zisikanyange U.S
Ila China akitoboa hapa litakuwa pigo kubwa kwa U.S
Tusubiri tuone kitakacho tokeaMarket size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.
HatariHuku Tanganyika , viongozi wanapambana kuhakikisha hakuna kiongozi anayepewa sifa nyingi kuzidi Samia Hassan.
Sijui kwanini hili bara lina majitu ya hovyo hovyo duniani with zero focus.
Hii inaitwa ProtectionismMchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.
Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.
View attachment 2990276
I just imposed a series of tariffs on goods made in China:
25% on steel and aluminum,
50% on semiconductors,
100% on EVs,
And 50% on solar panels.
China is determined to dominate these industries.
I'm determined to ensure America leads the world in them.
Trump naye amesema akipita atapiga ban kabisa EVs za China zinazo tengenezewa China na Mexico zisikanyange U.S
Ila China akitoboa hapa litakuwa pigo kubwa kwa U.S
Hii inaitwa Protectionism, ni moja ya mbinu za Biashara kulinda viwanda vya ndaniHayo mambo ya vikwazo tayari yameshaonesha hayafanyi kazi ipasavyo kwa dunia ya sasa hususani kwa mataifa kama Russia na China yenyewe.
Ulaya hususan UK wanatumia sana hivyo vitu hususan EV cars from China.Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.
Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.
View attachment 2990276
I just imposed a series of tariffs on goods made in China:
25% on steel and aluminum,
50% on semiconductors,
100% on EVs,
And 50% on solar panels.
China is determined to dominate these industries.
I'm determined to ensure America leads the world in them.
Trump naye amesema akipita atapiga ban kabisa EVs za China zinazo tengenezewa China na Mexico zisikanyange U.S
Ila China akitoboa hapa litakuwa pigo kubwa kwa U.S
Wanalinda viwanda vyao vya ndani kwa kuhofia fair competition kwa nini wasiruhusu tu soko kuamua ?Hii inaitwa Protectionism
Ulaya nao ni kama wana mlia timing tu mchina sio punde atapigwa furushi as long as U.S kaanza kuvuta nyuzi tegemea na E.U kuvuta nyuzi licha ya kwamba BYD wapo katika hatua za kufungua kiwanda huko huko Europe.Ulaya hususan UK wanatumia sana hivyo vitu hususan EV cars from China.
Anajichosha bure,Ulaya tayari vishaingia na kusambaa.
Sema vikwazo vina komaza na kutanua sana akili na vinajenga washirika imara kama vikitumiwa kama funzoHayo mambo ya vikwazo tayari yameshaonesha hayafanyi kazi ipasavyo kwa dunia ya sasa hususani kwa mataifa kama Russia na China yenyewe.
By the way binafsi huona protectionism hupaswa kutumiwa zaidi na wale wanao fagilia sera za kikomunisti ila kwa wabepari wanao fagilia soko binafsi huona kinyume.Hii inaitwa Protectionism, ni moja ya mbinu za Biashara kulinda viwanda vya ndani
Umeongea ki rahisi sana, je ni nchi Gani Africa in import hizo bidhaa? Kuna nchi Africa inaagiza hata EVs? Hata Moja tu?Market size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.
Serikali ya marekani nayo inatoa subsidies yakutosha kwa makampuni yakeMkuu usiogope kwenye uchumi ukimpiga mtu ngumi ya jicho yeye atakupiga ya sikio."ukiuliza umeonaje naye anakuambia umesikije".
China anao uwezo wa kulipiza kwa kuwekea kodi kwa ukubwa huo huo baadhi ya bdhaa zitokazo marekani.
Kikubwa ni kwamba mareķani kazidiwa kwenye balance of trade na payment hivyo analazimisha kupunuza imports.
Hizi pia kuna njia mbili ya kukabiliana nazo punguza bei ili kupunguza makali ya kodi zilizowekwa. Pili serikali inatoa subsidy kwa expot companies