Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #21
Nafikiri hii mifumo ukomunisti na ubepari inahitaji mixture iliweze kuwin vizuri ni kama nyama kwenye sambusa.Pale bingwa wa ubepari anapoomba pooh kupitia vikwazo.
Miaka yote niliamini USA ni champion wa free markert economy na ni leader wa Free world kwa sasa naanza kupata mashaka.
Ni kama vile USA inakuwa Socialist/neo-communist na China ni purely capitalist.
Ni ngumu kusema uwe mkomunisti 100% au mbepari 100%