Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #21
Nafikiri hii mifumo ukomunisti na ubepari inahitaji mixture iliweze kuwin vizuri ni kama nyama kwenye sambusa.Pale bingwa wa ubepari anapoomba pooh kupitia vikwazo.
Miaka yote niliamini USA ni champion wa free markert economy na ni leader wa Free world kwa sasa naanza kupata mashaka.
Ni kama vile USA inakuwa Socialist/neo-communist na China ni purely capitalist.
Maswali mazuri.Umeongea ki rahisi sana, je ni nchi Gani Africa in import hizo bidhaa? Kuna nchi Africa inaagiza hata EVs? Hata Moja tu?
Walishafungua kiwanda HungaryUlaya nao ni kama wana mlia timing tu mchina sio punde atapigwa furushi as long as U.S kaanza kuvuta nyuzi tegemea na E.U kuvuta nyuzi licha ya kwamba BYD wapo katika hatua za kufungua kiwanda huko huko Europe.
Nafikiri ni suala la maslahi tu.Kumbe free market iliyokuwa championed na US zilikuwa sanaa tu kwa kuwa yeye ndo alikuwa mzalishaji mkubwa ili a control soko la bidhaa na huduma kwa maslahi yake! Leo macho madogo kapindua meza US anapigania protectionism😀😀. Kwa kweli kama kuna mtu bado anawaamini wamarekani na sera zao basi anastahili kupimwa akili. Mzungu kawa exposed time hii
Kwa Europe ni ngumu kaka.Ulaya nao ni kama wana mlia timing tu mchina sio punde atapigwa furushi as long as U.S kaanza kuvuta nyuzi tegemea na E.U kuvuta nyuzi licha ya kwamba BYD wapo katika hatua za kufungua kiwanda huko huko Europe.
Purchasing powerMarket size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.
Kwa nini ? Nimecheka ulivyosema fimbo na vibokoInabidi Africa bala la Giza litawaliwe Upya na fimbo na viboko
Basi nipo outdated nowadays duuh!Walishafungua kiwanda Hungary
Tuchukulie mfano kwenye EVs unaonaje uhai wa makampuni yao ya magari katika soko la ushindani na makampuni ya China. Je, EU wataacha hivi hivi lipite ?Kwa Europe ni ngumu kaka.
Maana mwaka huu viongozi wa Ulaya wengi wamemiminika Beijing na wengine wamekubali kujiunga BRI ikiwemo Italy.
Ulaya washakubali mapigo kiufupi.
Chery wana mpango wa kufungua kiwanda Spain piaBasi nipo outdated nowadays duuh!
Hii itawasaidia kupunguza makali
Waafrica hawaendi Mpaka Fimbo na Viboko Na Viongozi Wao ndo Mambumbumbu Kabisa Mtu akishapata Hela anawaza kuongeza Mke TuuKwa nini ? Nimecheka ulivyosema fimbo na viboko
Umeangalia market size tu ,jaribu kuangalia power na influence yake worldwide.Market size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.
Hatua nzuri wanafanya hii itawasaidia kupunguza vikwazo vingi hapo itabaki sasa ushindani tu wa sokoniChery wana mpango wa kufungua kiwanda Spain pia
Na Mchina huwezi shindana naye sokoni lazima akupige gapHatua nzuri wanafanya hii itawasaidia kupunguza vikwazo vingi hapo itabaki sasa ushindani tu wa sokoni
HatariWWaafrica hawaendi Mpaka Fimbo na Viboko Na Viongozi Wao ndo Mambumbumbu Kabisa Mtu akishapata Hela anawaza kuongeza Mke Tuu
Kazi ipo soko limevamiwa.Na Mchina huwezi shindana naye sokoni lazima akupige gap
Ushindani umekuwa mkubwa na marekani ni kama ushindani unamuelemea hivi ukifuatiza toka matokeo ya trade war wakati wa trump masuala ya Huawei na matokeo yake sasa.Sasa hivi Wachina wala hawatishwi na protectionism na ban za Marekani hazijawahi kuwashusha kiuchumi
Ni kama Marekani wanajisumbua tu
Wameona chip war wamefeli sasa wamehamia kwenye high tariffs on Chinese industrial goods
Marekani ilipofikia imefeli ku-compete na China na dunia imejionea, sio kwenye tech wala industrial manufacturing
Biden na Trump wanapokezana viti vya uraisi lakini wote wamekaa kwa mwamba Xi Jinping
Hawawezi wakishusha hawatapata faidaKazi ipo soko limevamiwa.
Inabidi washushe bei bidhaa zao je, mabepari wa kizungu watakubali hii kweli ?
Unaangalia idadi ya watu au purchasing power yao!?.. Africa watu wanaishi chini ya Dola moja unalinganisha na USAMarket size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.