China kazi anayo dhidi ya Mmarekani, Biden aweka vikwazo maradufu

Hivi USA bado ni super power? Free economy doesn't exist
 
Kipi kikuu economic growth au economic share
Nchi inapokuwa na share kubwa katika global economy growth ni indicator ya kuwa taifa hilo lina economic power

Tukirudi upande wa economic growth China imekuwa na ukuaji mkubwa wa uchumi kuliko Marekani

Marekani imeizidi China kwenye GDP Per Capita tu ila upande wa GDP Per Capita on Purchasing Power Parity China imeizidi Marekani

Na gap ya GDP per capita kati ya Marekani na China linaenda likipungua
 
Huyo china alipewa na Marekani status ya most favoured nation ambapo ilimruhusu kuuza bidhaa zake nyingi kwa kulipia ushuru kidogo tangu miaka ya mwishoni ya 1970 na ni factor mojawapo iliyomsaidia china kukua
Bidhaa gani China walikuwa wanauza Marekani miaka ya 1970?

Mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kuifungua China kiuchumi yalifanywa na Deng Xiaoping architect of modern China

Huyu ndiye aliyeweka msingi mzuri wa uchumi wa China kukua kwa kasi uliofatwa na akina Jiang Zemin, Hu Jintao na Xi Jinping

Misingi aliyoiweka na juhudi za maraisi waliofuata baada yake ndiyo ilifanya hata China kui-overtake Japan mwaka 2010 na kuwa taifa la pili duniani lenye uchumi mkubwa
 
Huku Tanganyika , viongozi wanapambana kuhakikisha hakuna kiongozi anayepewa sifa nyingi kuzidi Samia Hassan.

Sijui kwanini hili bara lina majitu ya hovyo hovyo duniani with zero focus.
Miongoni mwa hiyo MIJITU YA HOVYO na wewe umo maana uko hapa hapa barani Afrika!! Ili usiwe jitu; hamia bara jingine na usirudi tena hapa.
 
Us.a kwa sasa anajimaliza kwa sheria zake .hamna mtu atakayeweza kuwekwza marekani halafu azalisha bidhaa itakayoleta ushindani sokoni labda apate ruzuku

Wew ukiachana na technologies za android iPhone kitu gani baic unaweza kununua us
 
Goo
Us.a kwa sasa anajimaliza kwa sheria zake .hamna mtu atakayeweza kuwekwza marekani halafu azalisha bidhaa itakayoleta ushindani sokoni labda apate ruzuku



Wew ukiachana na technologies za android iPhone kitu gani baic unaweza kununua us
Google utaona Marekanii anaexport nini. Kukusaudia tu anaexoirt na kuongoza aina nyingi za vitu kuanzia silaha, petroli na mazao yake, liquified gas, mashine za kilimo, mazao ya shambani kqdhaa nk.

Pia hoja yako ya kwanza ni kuwa ukiwekeza ndani ya nchi hauathiriki na ushuru wa forodha unaowekwa na nchi husika dhidi ya im.portation.
 
Fuatlia kwa karibu wanavyosema huko dunian.mchina kakaa kimya hajasema chochot kile,sionkwqmba hajui ila usikute anajopanga nayeye atoe kitu,naona yupo na zianra ya putin leo,iizo Ev za byd aisee gar kali halafu bei rahis na ina quality
 
Miongoni mwa hiyo MIJITU YA HOVYO na wewe umo maana uko hapa hapa barani Afrika!! Ili usiwe jitu; hamia bara jingine na usirudi tena hapa.
Una uhakika gani mimi nipo kwenye bara la majitu ya hovyo ?
Na lini umeanza kazi ya utabiri unayoifanya bila vibali.
 
Hv umesoma kilichoandikwa au umekimbilia tu ku comments hili jukwaa sasa hv naona mpk wenye matatizo ya akili wanajiunga
Kwani huelewi nini?kinachomuuma ni kuona watu wanafanya mambo makubwa na mazuri Ila kwao wanafanya ujinga kwenye uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…