Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mfumo ni ule ule tu kama CCM. Hakunaga haki kwenye vita vya maslahi ya kiuchumi.Kumbe free market iliyokuwa championed na US zilikuwa sanaa tu kwa kuwa yeye ndo alikuwa mzalishaji mkubwa ili a control soko la bidhaa na huduma kwa maslahi yake! Leo macho madogo kapindua meza US anapigania protectionism😀😀. Kwa kweli kama kuna mtu bado anawaamini wamarekani na sera zao basi anastahili kupimwa akili. Mzungu kawa exposed time hii
Mnataka tume huru ya uchaguzi huru na wa haki jina la tume limeeditiwa 😂