inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ndiyo maana nikasema fair groundFair ground bila kuangalia uhai wa viwanda vyako nafikiri hili ni jambo gumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana nikasema fair groundFair ground bila kuangalia uhai wa viwanda vyako nafikiri hili ni jambo gumu sana
Wachina wameanza kuwa watamu kwenye semiconductorNafikiri kwenye semiconductor marekani na washirika wake wafanya vizuri hapa na ndipo panapo mpa tabu China hasa kwenye critical technology ya utengenezaji wa semiconductor ila aki pakamata kazi kubwa watakuwa nayo washirika wake maana wame invest a lot of money
Wachina wamefungia Google, Facebook n.k but USA ameruhusu biashara kubwa za ChinaMarekani hawawezi ushindani huru, wanaweza fitina wanaroho mbaya Kama waswahili tu
Tumeanza Na pikipikiUmeongea ki rahisi sana, je ni nchi Gani Africa in import hizo bidhaa? Kuna nchi Africa inaagiza hata EVs? Hata Moja tu?
Soko sio watu. Soko ni uwezo wa kununua ndanu ya nchi. Hadi sasa Marekani ndio soko kubwa, kisha EU yenye watu milioni 500 hivi.Market size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.
Ni sahihi ila kwa jinsi walivyokua wanamiminika Beijing aisee sidhani kama watafuata anachofanya USA.Tusubiri tuone ila wazungu kwenye maslahi yao wapo serious sana in short hawana utani hata kidogo
Purchasing power parity ya China inalingana na USA.GDP-PPP per capita ya wamerekani ni kubwa mara 100 ya wachina na mara 1000 ya waafrika. Kwa hiyo mchina kukosa soka la US ni pigo kubwa kwa uchumi wa china.
Sasa China ndio anaongoza kwa government subsidies.Kuna tofauti ya soko huria na soko holela.
Free market economy ni ndani ya nchi ila unapotoka kushindana na wengine lazima ulinde maslahi ya nchi yako kwanza ndio maana miaka yote Marekani inatoa ruzuku za mabilioni kwa wakulima wake na kuwafanya kuwa na ushindani zaidi kuliko wakulima wengine duniani.
Unamaanisha nini?Marekani hafanyi vitu kwa pupa
GDP-PPP per capita ya wamerekani ni kubwa mara 100 ya wachina na mara 1000 ya waafrika. Kwa hiyo mchina kukosa soka la US ni pigo kubwa kwa uchumi wa china.
Toyota mwenyewe halifikirii soko la afrika kiivyo..soko la US ni uhakika, watu wananunua 0 km kule.Umeongea ki rahisi sana, je ni nchi Gani Africa in import hizo bidhaa? Kuna nchi Africa inaagiza hata EVs? Hata Moja tu?
Inaonekana SMIC imeanza kuuunda na kufanya mass production ya 5nmWachina wameanza kuwa watamu kwenye semiconductor
Makampuni ya Kichina kama SMEE na Naura wameanza kutengeneza DUV machines
HUAWEI na Tsinghua University nao they are working on EUV machines
DUV na EUV ni mashine muhimu sana kwenye semiconductor production
Matoleo ya simu mpya za HUAWEI yanatumia 7nm chip, hii inaonyesha kuwa kwa sasa China wameweza kutengeneza chip za 7nm na kufanya mass production
Kuna uwezekano mkubwa kuwa SMIC, HUAWEI, Naura, SiCarrier wameweza kutengeneza 5nm chip nafikiri kilichobaki ni kutangazwa official
Chip zilizotumika kwenye HUAWEI Pura 70 toleo la mwaka huu zinatumia 7nm chip (N+2) ambazo ambazo basically ufanyaji kazi wake yaani core functionality ni sawa na chip za 5nm
Kilichobaki kwa sasa ni kampuni za China kuanza rasmi mass production ya chip za 5nm
SMIC wamewekeza billions of money kwenye R&D kuanza kuunda 3nm au 2nm kufikia mwaka 2026/27 nazo waanze mass production
Marekani alifikiri chip ban anazofanya zitamwacha China kwenye chip za 28nm ila revolution wanazofanya China hawaamini macho yao
Duuh! Hatari wenda marekani wana hofu kubwa sana kuhusu kupinduliwa na wachina acha tuone namna sokombingo zitakavyoendaEVs za kutoka China
●Soko la Ulaya: 50.27%
●Developing countries: 48.76%
●Marekani: 0.97%
China inaongoza kwa export ya EVs duniani ila soko la Marekani halichangii hata 1% ya mauzo EVs za China
Ila ndio Wamarekani haohao wameongeza tariffs 😅😅😅
Ila hii ni vita dhidi ya western empire haya mafuriko ya mchina sidhani kama wao wataweza kuyakwepa.Ni sahihi ila kwa jinsi walivyokua wanamiminika Beijing aisee sidhani kama watafuata anachofanya USA.
Na bora wangekua viongozi wa mataifa madogo ila mataifa kama Italy,Germany,France,Belgium n.k ni makubwa.
Asante kwa elimu hiiWachina wameanza kuwa watamu kwenye semiconductor
Makampuni ya Kichina kama SMEE na Naura wameanza kutengeneza DUV machines
HUAWEI na Tsinghua University nao they are working on EUV machines
DUV na EUV ni mashine muhimu sana kwenye semiconductor production
Matoleo ya simu mpya za HUAWEI yanatumia 7nm chip, hii inaonyesha kuwa kwa sasa China wameweza kutengeneza chip za 7nm na kufanya mass production
Kuna uwezekano mkubwa kuwa SMIC, HUAWEI, Naura, SiCarrier wameweza kutengeneza 5nm chip nafikiri kilichobaki ni kutangazwa official
Chip zilizotumika kwenye HUAWEI Pura 70 toleo la mwaka huu zinatumia 7nm chip (N+2) ambazo ambazo basically ufanyaji kazi wake yaani core functionality ni sawa na chip za 5nm
Kilichobaki kwa sasa ni kampuni za China kuanza rasmi mass production ya chip za 5nm
SMIC wamewekeza billions of money kwenye R&D kuanza kuunda 3nm au 2nm kufikia mwaka 2026/27 nazo waanze mass production
Marekani alifikiri chip ban anazofanya zitamwacha China kwenye chip za 28nm ila revolution wanazofanya China hawaamini macho yao
Inasikitisha kweliSisi tunapokea mpaka chupi za mtumba na wadudu wake
Haya ya kwao ni ndoto kwa Africa ingawa machimbo ya madini yote yako kwetu
Wasindikizaji vipofu
Ni kweli sanctions zinakomaza akili kwa wale wanao jitambua ila kwa wengine hugeuka maumivu yenye laana kubwaSanctions on china zinawafanya wawe wabunifu na wainnovate zaidi, hizi zinawork kwetu tu si wao.
Mfano sanctions za huawei zimeifanya comeback ya huawei iwe tishio kwa iphones na mauzo yao yameshuka sana. Evs zao zimefanya tesla ishuke thamani. Wamarekani wawaze jambo lingine kama hadi social media ya wachina imewabamba wamarekani wenyewe ujue ngoma inogile
😂😂😂😂😂😂 hao watu million 300 hapo Marekani 50% yao wanaweza kuilisha Africa hadi Yesu ataporudi kupitia Donations mbali mbali😁😁😁 ila 50% ya waafrika wanaishi kwa misaada ya hao 300M mzee..Market size ya marekani ni ndogo sana 300m population, 1 8bn pple china 2bn pple Africa 1bn pple, kwahiyo hilo ni dogo sanaa aliwezi ku affect uchumi wake.
Tanzania tuchukue fursa hii,tumwaalike mchina atengenezee kwetu,kisha tuziuze marekani🤣Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.
Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.
View attachment 2990276
I just imposed a series of tariffs on goods made in China:
25% on steel and aluminum,
50% on semiconductors,
100% on EVs,
And 50% on solar panels.
China is determined to dominate these industries.
I'm determined to ensure America leads the world in them.
Trump naye amesema akipita atapiga ban kabisa EVs za China zinazo tengenezewa China na Mexico zisikanyange U.S
Ila China akitoboa hapa litakuwa pigo kubwa kwa U.S