UsA ana muhofia sana, china, china ana lengo la kuwa world center of manufacturing, china ndio inaongoza kwa kuzalisha EVs(electrical vehicles) duniani, tena kwa gharama nafuu, sasa USA na Ulaya wanashindwa kushindana na bidhaa kutoka china, maana, za, china ni nafuu,
Zikiingia soko la ulaya, watu watakimbilia kununua za china, na, za, viwanda vya ulaya, Vita kuwa na wakati mgumu kupata mapato, na ajira zinakuwa mashakani!
Nikiona kenge wa ccm wanqjivunia lile gulio linqlojengwa pale ubungo, nasikitika sana, lile litakuwa soko la bidhaa kutoka china, mchina anakuja kuuza bidhaa zake pale! Hqkuna bidhaa kutoka TZ itauzwa pale, maana hazipo! Sie tutatoa huduma tu za vyoo,parking, ulinzi, hatuna hi tech goods za, kuuza pale,