3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Huwa unapata dalili za kuumwa tu ila ujawah kuumwa.nimewahi kuumwa mkuu, ila nlipona kwa nyungu!. malimao na matunda + mazoezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona UKIMWI watu hawako serious?Tukishaambiwa hiki kirusi kinasambazwa kwa njia ya ngono/ tigo naona ndo tutakuwa serious
Nilikuwa nina mpago wa kwenda kusoma China nimeghairi....China imeanza kutumia aina mpya ya kuchukua sampuli za kipimo Cha Corona kupitia sehemu ya haja kubwa....
Vipi mrembo, ungekuwa ni wewe ungekubali tu bila hiyana? Majibu ni muhimu sana tafadhali.Hapa wanaume wengi watagoma lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We najua hata hushtuki au sio? [emoji3][emoji3]Hapa wanaume wengi watagoma lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama ikiwa hivyo basi wanawake wengi sana wataaibika maana wengi wanacheza kwenye topeIsije ikawa wanaotafutwa ni wale wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja. Ila naomba watakapo wagundua wapenzi wa jinsia moja wasiwadhuru.
Hata hivyo wanaanza na kidole ili kutanua njia pamba ikiingizwa isibaki kwenye kipenyoMwishowe waseme kuingiza kidole ndo kipimo kizuri cha corona.