#COVID19 China: Kipimo cha corona kupitia haja kubwa kina ufanisi zaidi

#COVID19 China: Kipimo cha corona kupitia haja kubwa kina ufanisi zaidi

Kakifaa kakigoma kutoka unatembea nako.
Ni bora nife kiume ila kamwe haitatokea et nainama kifaa kinapita kwa an.... aseeeeeee hapana kwakweli, washindwe na macorona yao.
 
82a01876-dcce-4316-a1af-1a3730f69960.jpg
 
watu wanaojifanya straight wana shida San, jambo lolote kinzani kuhusu matumizi ya mwili hata ktk faida bas LGBT inahusika lol,

Sasa kipimo cha COVID19 kuwa kwa utaratibu huo, LGBT inaingiaje? Ili hali WHO ni taasisi kubwa inayojisimamia yenyewe.

Punguza muhemko na chuki dhidi ya mlengo mwingne, deal na WHO sio kubwatuka hovyo ukijiona mjuvi kumbe unaonesha uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.
......
Huelewi kinachoendelea weye! Sina chuki na mashoga bali huzuni tu! Nakasirishwa na tabia zao za kutaka ku'romote' ushoga hata kwa watu wasio na mpango nao! Hicho tu! Badala ya kuwasaidia waache vitendo na mtazamo wao, wao wanapenyeza agenda hizo hata kwa watoto wadogo! Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza!
Nimeandika nachokifahamu ndugu sijakurupuka! Mashoga, ktk ku'promote' hiyo tabia wako ladhi kumwaga mahela kama yote aisee! Ndio maana nikasema " ukifuatilia chanzo cha fedha ya utafiti huo utakuta ni mashoga! Badala ya kukurupuka na kunizodoa ungeenda kufanya ufuatiliaji husika uone juu ya ukweli au uongo wa 'concern' yangu!
Logically, koo ndio mahali sahihi kuchukua sampuli...huko walikoelekea unaona ni agenda husika bila chenga!
 
China imeanza kutumia aina mpya ya kuchukua sampuli za kipimo Cha Corona kupitia sehemu ya haja kubwa.

Mamlaka zinasema aina hii ya kipimo ni ya kuaminika zaidi na haraka.

Kipimo hiki kinahusisha kuingizwa kwa kifaa maalumu chenye pamba kama sentimita 1 ama 2 katika njia ya haja kubwa kisha kutoa sampuli ambayo itatumika kuangalia uwepo wa virusi vya Corona.

Kwa mujibu wa televisheni ya taifa hilo CCTV inasema kuwa aina hii ya kipimo itatumika kwa visa vitakavyo hitaji uangalizi wa hali ya juu.

Watu ambao watapimwa na kipimo hiki ni pamoja na abiria watakaoingia Beijing na watu watakaokuwa wamewekwa karantini.

“Kipimo hiki kina ufanisi zaidi kuliko kile Cha puani na kwenye koo” Anasema Li Tongzeng afisa msaidizi katika kitengo Cha mfumo wa upumuaji katika hospitali ya You an.

Hatua hii inakuja kama maandalizi ya kupambana na Corona wakati wa sherehe za mwaka mpya wa China
Hicho kipimo tunawapeleka washirika wao kimaendeleo wanalumumba wafanyiwe kwanza wao,au naseme uwongo ndgu zangu
 
Hicho kipamba kinatiwa dawa ambayo ikiingia basi km mwanamme ndo tumekukosa.. km wakike atakuwa anagawa tigo tu
 
Back
Top Bottom