#COVID19 China: Kipimo cha corona kupitia haja kubwa kina ufanisi zaidi

#COVID19 China: Kipimo cha corona kupitia haja kubwa kina ufanisi zaidi

Mbona huko nyuma wanapaonea sana..tezi dume, Corona na Maralia watakuja kusema pia kipimo kipite huko!
 
Mzuka wanajamvi!

Ukistaajabu Wengi wanaogopa kupimwa kupitia puani. Sasa hivi China wataanza kupima Corona kupitia nyuma 'choo'. Ni kijiti kinasimikwa na kuzungushwa mara kadhaa na kunyofoa kimba.

Halafu ni daktari ama mpimaji anayepaswa kukupima siyo unafanya kivyako na kuleta 'choo'.

Wanadai ndio njia inayotoa majibu sahihi kabisa ya upimaji.

My take:
Nimejitahidi sana kutumia tafsida.

 
Daah sasa tunafirishwa kwanguvu walahi mabeberu hawana maana.
Wachina nao ni mabeberu? Sio ndugu zetu wa damu wametujengea hadi reli ya Tazara. Utakuta washatuma msaada wa vipimo tayari.
 
Ukifuatilia sana utakuta huo utafiti unagharamiwa na mashoga! Route of infection inajulikana ni pua na mdomo, au macho! Sasa mkun.d..ni wanatafuta nini! Wanataka kwa kisingizio cha kuchukua sampuli wawe wanaweka vitu kwenye njia ya haja kubwa itakayosababisha miwasho ili watu wepende kukunwa huko!

Mijitu mingine mipuuzi kweli kweli! Mwisho wa siku kuongeza mashoga kwa kisingizio cha kuchukua sampuli! Sampuli waziache kooni afu wajifanye wanatafuta kwenye mkund.! Upuuzi kabisa!
 
Inabidi tuendelee kuunga mkono msimamo wa JPM kuwa hakuna corona hapa kwetu maana hao wachina huwa tunawaita ndugu sijui rafiki zetu kwa hiyo ni rahisi kutupa hivyo vifaa kule maabara ya taifa halafu iwe kizaazaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Vipi mrembo, ungekuwa ni wewe ungekubali tu bila hiyana? Majibu ni muhimu sana tafadhali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani hao wa huko China sio wanaume? Bado homa haijashka penyewe, mbna muhusika ataenda mwenyewe na kuchojoa nguo bila hata kuambiwa.
 
Back
Top Bottom