Tunapoongelea uwekezaji wa ndani sio lazima tu awe bosi mmoja vipi kama kukawa na partnership ya makampuni kadhaa? Mbn nchi nyingine wameweza tatizo letu wabongo ujuaji mwingi lakin usio na tija sawa?Nitajie muwekezaji wa ndani mwenye mtaji wa kuweza kukarabati hiyo railway line? Kuifanya irudi kwenye ubora wake kunahutaji USD 1.0 Billion sawa na Tsh 2.7 Trillion!! Nani ana hela hiyo?
Kuendesha TAZARA siyo sawa na kuendesha mabasi ya Kimbinyiko. Acheni mizaha
Sure kuna bond ambazo watu haya lefu moja wanauwezo wa kupata hiyo trolioni 3..Tunapoongelea uwekezaji wa ndani sio lazima tu awe bosi mmoja vipi kama kukawa na partnership ya makampuni kadhaa? Mbn nchi nyingine wameweza tatizo letu wabongo ujuaji mwingi lakin usio na tija sawa?
TRC hawa hawa wanaondesha reli ya kati na kaskazini, hawa walioshindwa hata kununua mabehewa mapya na vichwa vipya? labda kama kuna TRC ingine, ila hii hapanaKwani TRC nani anaendesha?
Nakumbuka jinsi lile jengo la abiria la TAZARA lilipokamilika lilivyobadilisha kabisa taswira ya jiji la Dar es salaam. Eneo lile liling'aa utadhani uko China. Lilisifiwa kuwa jengo la abiria la mfano Afrika Mashariki.... Kilichofuata hakieleweki hadi leo. TAZARA imekuwa mali ya wapigaji yaani wafanyakazi wa ngazi zote kazi ni moja tu Chukua Chako Mapema.
Hakuna watu watalia kama wafanyabiashara wa malori.kila siku wanaambiwa hii fursa wao wanakomaa na malori ya kutoka kwao..kifupi paka kapewa kulinda samakai.
Nitajie muwekezaji wa ndani mwenye mtaji wa kuweza kukarabati hiyo railway line? Kuifanya irudi kwenye ubora wake kunahutaji USD 1.0 Billion sawa na Tsh 2.7 Trillion!! Nani ana hela hiyo?
Kuendesha TAZARA siyo sawa na kuendesha mabasi ya Kimbinyiko. Acheni mizaha
Sisi kazi yetu kuua mashirika. Kuwapa Wachina ndiyo suluhisho, sisi wazawa HATUWEZI.
💀 mungu tu atulinde the next 5 years mambo yatakuwa magumu sana
Bora waendeshe wao
Wabongo kazi yao ni kuvuna wasipopanda
Kiwango cha kujali vitu na uwajibikaji kwetu sisi kipo chini sana.
"Mwendokasi" ya juzijuzi tu, inayofanya kazi baadhi ya maeneo tu hapo Dar nayo inaonekana itarudi kwa mwekezaji. Unabaki unajiuliza "uhuru" tulioupigania ilikuwa ni kwa ajili ya nini hasa!
Haya niunganishie matajiri 5 wazawa wanaoweza ku-raise hiyo Tsh 2.5 Trillion halafu na kubeba risk ya railway managementTunapoongelea uwekezaji wa ndani sio lazima tu awe bosi mmoja vipi kama kukawa na partnership ya makampuni kadhaa? Mbn nchi nyingine wameweza tatizo letu wabongo ujuaji mwingi lakin usio na tija sawa?
Naunga mkono hoja"Black people are good for nothing apart from indulging in sex, dancing and having so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Kwahiyo unadhani CCM ikialika wawekezaji wazawa kwny hiyo railway Metl,Motisun,Asas,Bakhresa watashindwa?Haya niunganishie matajiri 5 wazawa wanaoweza ku-raise hiyo Tsh 2.5 Trillion halafu na kubeba risk ya railway management
Mungu atunusuru, hivi sisi tutaweza kipi ili nasi tukaishangaze dunia?Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) imetangaza kuwa Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) itachukua usimamizi na uendeshaji wa reli hiyo kwa kipindi cha miaka 27.
Makubaliano haya, yenye thamani ya Dola bilioni 1.4 yatatoa fursa ya kurekebisha miundombinu ya reli na kuboresha ufanisi wake.
Mkurugenzi Mtendaji wa TAZARA, Mhandisi Bruno Ching'andu amesema sehemu ya uwekezaji utajumuisha ukarabati wa reli, pamoja na ununuzi wa vichwa vipya na mabehewa. Hatua hii inatarajiwa kuboresha usalama na kupanua uwezo wa usafirishaji wa abiria na mizigo.
Mkataba huu wa miaka 30 utalenga kutoa huduma bora zaidi na kudumisha operesheni za TAZARA. Serikali za Tanzania na Zambia zinatarajia kuwa mradi huu utaongeza biashara na kuimarisha usafiri kati ya nchi hizi mbili.
Kampuni ya CCECC itasimamia uendeshaji wa reli hiyo kwa miaka 27 ijayo, huku TAZARA ikifanya kazi kwa karibu kuhakikisha utekelezaji mzuri wa mradi huu.
Chanzo: Habari Leo
Wanaweka USD 1.4 bln kuiupgradeHii sasa ina miaka 50.....unaionaje??.....hatuna akili .....hatuna uwezo ...wajinga au shida nini ?? Umasikini wa fikra ?? Miaka 30 wakitupa itakuwa nusu kufa kama tutaendelea ujinga huuu miaka 200 mwendo huo.....
😂😂Nitajie muwekezaji wa ndani mwenye mtaji wa kuweza kukarabati hiyo railway line? Kuifanya irudi kwenye ubora wake kunahutaji USD 1.0 Billion sawa na Tsh 2.7 Trillion!! Nani ana hela hiyo?
Kuendesha TAZARA siyo sawa na kuendesha mabasi ya Kim
Mambo mengine yafanyie uchunguzi kwanza.Inashangaza sana kwa jinsi tunavyoshindwa kuendesha mambo yetu hata yale madogo madogo na kulazimika kuwapa wale waliojenga miundombinu hivyo miaka 60 iliyopita watusaidie!
Kwa hiyo METL unamuona ana hela? Kama anazo mbona Simba inalialia tu ? Wala haijawahi kuvuka robo fainali ya CAF?Kwahiyo unadhani CCM ikialika wawekezaji wazawa kwny hiyo railway Metl,Motisun,Asas,Bakhresa watashindwa?