China kuendesha TAZARA kwa miaka 27, Uwekezaji wa dola bilioni 1.4 kuanza

Wafunge SGR kabisa angalau na sisi watu wa ifakara tuje Dar kuangalia mpira na kurudi ndani ya masaa tu
 
Sisi tunataka huduma bora hata wakichukua milele hao ni ndugu zetu
Umesema ukweli mtupu ndugu. Wapewe milele, sisi tukusanye kodi ila huduma iwepo.

Emirates na Qatar Air wanatamba dunia nzima lakini management ni wazungu. Hakuna muarabu ana muda na mambo magumu
 
Shida inaanzia kwenye katiba na utawala wa sheria. Kuruhusu ujomba ujomba kwenye kazi ndo matokeo yake hayo.

Weka sheria ngumu, mwanasiasa achague moja kubaki siasani au kufanya biashara. Vivyo hivyo na watumishi wa umma. Mtu anakwapua billions ananunua mabasi na malori halafu mnategemea asimamie maslahi ya serikali ambayo yataumiza biashara zake za usafirishaji?

Hii nchi tuna tatizo la kutafuta solutions za matatizo bila kushughulikia chanzo. Mtu unampa dhamana ya kuteua wasimamizi wa uchaguzi na kamisheni ya uchaguzi halafu unategemea uchaguzi uwe huru na wa haki? Yani tume iache kumpa uraisi mtu aliyeiteua na kuilipa mamilioni!
 
Serikali haina uwezo wa kufanya biashara imiliki tu miundombinu iwape watu wabinafsi walete tija.
Wabongo sisi tuna huruma kwa wazembe kwa sababu tumezoezwa kuishi kwa kutegemeana
 
Umesema ukweli mtupu ndugu. Wapewe milele, sisi tukusanye kodi ila huduma iwepo.

Emirates na Qatar Air wanatamba dunia nzima lakini management ni wazungu. Hakuna muarabu ana muda na mambo magumu
Lack of sense. Mbona hayati shujaa wa Africa aliweza kuendesha nchi na hata mashirika ya umma yakaanza kunyanyuka? Tumia ubongo we kenge
 
Lack of sense. Mbona hayati shujaa wa Africa aliweza kuendesha nchi na hata mashirika ya umma yakaanza kunyanyuka? Tumia ubongo we kenge
Yule mpumbavu ndiyo unamuita shujaa wa Africa? Africa ipi? Maana hata Sinza kuna Afrika Sana.

Eti mashirika ya umma yakaanza kunyanyuka !! My foot !! Ule utapeli wenu wa kupokea gawio toka TTCL, UDSM na MNH ?? Kwa kipi walichokuwa wanazalisha??
 
Duu sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…