China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

ASIWAJU

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
1,938
Reaction score
1,632
Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine.
Taarifa:
- China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said.

Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already providing "non-lethal support" to Russia- and new information suggested Beijing could provide" lethal support".

This escalation would mean"serious consequences " for China, he warned.

Taarifa zaidi pitia BBC News/CBS News

Screenshot_20230220-101719.jpg
 
Maswali:
1. Je, ni yapi matokeo ya uamuzi huu anao tegemea kufanya China ?

2. Je, zipi ni athari za misaada hii ya kisilaha wanayo toa haya mataifa makubwa kwa Russia na kwa Ukraine katika muelekeo wa vita ?

3. Je, tutegemee kuona vita hii ikichukua muda mrefu zaidi au muda mfupi kutoka sasa kutokana na misaada hii ya mataifa makubwa kwenda kwa Russia na Ukraine ?

4. Je, kuna nafasi yoyote ya matumizi ya mazungumzo ya amani katika kutamatisha mgogoro huu ?

5. Je, ipi ni hatima ya Ukraine na Russia kwa sasa na baada ya mgogoro huu kuisha ?
 
Kama hilo litafanikiwa Itakuwa Jambo Zuri na Jema
West Wanashirikiana Kutwa Kumuangusha Mrusi ili Upuuzi wao wakuifanya Dunia wanavyo taka Uendelee
Sasa Zamu ya Wanao Shirikiana na Urusi nao wakasaidia kama Wanavyo fanya West.
Lazima Watambue Zama zao Zinakwisha kama Mbwai na Iwe Mbwai
China Ulichelewa saana
 
Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine.
Taarifa:
- China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said.

Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already providing "non-lethal support" to Russia- and new information suggested Beijing could provide" lethal support".

This escalation would mean"serious consequences " for China, he warned.

Taarifa zaidi pitia BBC News/CBS NewsView attachment 2523878
Propaganda tupu. Silaha za kichina zitafanya nini? Urusi inahitaji FEDHA ili kuendeleza vita na wala sio Silaha. Urusi Ina Silaha nyingi Sana shida ipo kwenye mbinyo WA kiuchumi tu.
 
Kama hilo litafanikiwa Itakuwa Jambo Zuri na Jema
West Wanashirikiana Kutwa Kumuangusha Mrusi ili Upuuzi wao wakuifanya Dunia wanavyo taka Uendelee
Sasa Zamu ya Wanao Shirikiana na Urusi nao wakasaidia kama Wanavyo fanya West.
Lazima Watambue Zama zao Zinakwisha kama Mbwai na Iwe Mbwai
China Ulichelewa saana
Sawa
 
Propaganda tupu. Silaha za kichina zitafanya nini? Urusi inahitaji FEDHA ili kuendeleza vita na wala sio Silaha. Urusi Ina Silaha nyingi Sana shida ipo kwenye mbinyo WA kiuchumi tu.
Kama Russia haina shida na silaha vipi kuhusu drone inazo pokea toka Iran ?

Ushirikiano wa kiuchumi pia ume zungumziwa katika taarifa hiyo.
 
Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine.
Taarifa:
- China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said.

Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already providing "non-lethal support" to Russia- and new information suggested Beijing could provide" lethal support".

This escalation would mean"serious consequences " for China, he warned.

Taarifa zaidi pitia BBC News/CBS News

View attachment 2523878
Ni Sawa tu,
Bado KK nayo itaipa Urusi silaha,Iran tayari.
Hii maana yake Kila mtu na maswahiba wake.
N ndivyo hata NATO wakiingiza majeshi kamili nao wachina watatia timu uwanjani,bila kumsahau kiduku na marafiki wengine.
 
SMO iendeleeee.
Safi sana .
China moja peke yake inaweza kuwakalisha ulaya wote.
Halafu Mzee mzima Russia anakula sahani moja na Marekani.
Sioni mahali Marekani atatokea.
Bado vichwa ngumu akina Korea Kaskazini na Iran wakifanya Yao.
Huku Urusi akiwatuliza maswahiba wake wa east akina Tajikisatan, Beralus, na wenzao.

The Collective Security Treaty Organization (CSTO) is an intergovernmental military alliance in Eurasia consisting of six post-Soviet states: Armenia, Belarus, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Russia, and Tajikistan.
 
Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine.
Taarifa:
- China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said.

Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already providing "non-lethal support" to Russia- and new information suggested Beijing could provide" lethal support".

This escalation would mean"serious consequences " for China, he warned.

Taarifa zaidi pitia BBC News/CBS News

View attachment 2523878
Western wanahangaika sana ila saivi wanaishia kwenye "vikao vya ndani" na kutoa matamko tu🤣🤣
 
Back
Top Bottom