China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

Safi sana .
China moja peke yake inaweza kuwakalisha ulaya wote.
Halafu Mzee mzima Russia anakula sahani moja na Marekani.
Sioni mahali Marekani atatokea.
Bado vichwa ngumu akina Korea Kaskazini na Iran wakifanya Yao.
Huku Urusi akiwatuliza maswahiba wake wa east akina Tajikisatan, Beralus, na wenzao.

The Collective Security Treaty Organization (CSTO) is an intergovernmental military alliance in Eurasia consisting of six post-Soviet states: Armenia, Belarus, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Russia, and Tajikistan.
Hatari sana
 
Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine.
Taarifa:
- China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said.

Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already providing "non-lethal support" to Russia- and new information suggested Beijing could provide" lethal support".

This escalation would mean"serious consequences " for China, he warned.

Taarifa zaidi pitia BBC News/CBS News

View attachment 2523878
Hawa China toka vita imeanza walisema watampa msaada Urusi lakini ikashindwa walipoona vikwazo vyaja wakaona bora yaishe
 
Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine.
Taarifa:
- China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said.

Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already providing "non-lethal support" to Russia- and new information suggested Beijing could provide" lethal support".

This escalation would mean"serious consequences " for China, he warned.

Taarifa zaidi pitia BBC News/CBS News

View attachment 2523878
Duh!..hii Vita inazidi kuchukua hatua mpya.
Kama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
Urusi anaihitaji sana China wakati huu hasa kupata nafuu ya vikwazo na silaha ikibidi.

japo kwenye silaha huenda isiwe rahisi, China bado wanahitaji soko lao huko Ulaya na Marekani kuliko la huko Urusi.
 
Kama hilo litafanikiwa Itakuwa Jambo Zuri na Jema
West Wanashirikiana Kutwa Kumuangusha Mrusi ili Upuuzi wao wakuifanya Dunia wanavyo taka Uendelee
Sasa Zamu ya Wanao Shirikiana na Urusi nao wakasaidia kama Wanavyo fanya West.
Lazima Watambue Zama zao Zinakwisha kama Mbwai na Iwe Mbwai
China Ulichelewa saana
Kama china anamsaidia Urusi ndio mwisho wa china. Trust me
 
Kama hilo litafanikiwa Itakuwa Jambo Zuri na Jema
West Wanashirikiana Kutwa Kumuangusha Mrusi ili Upuuzi wao wakuifanya Dunia wanavyo taka Uendelee
Sasa Zamu ya Wanao Shirikiana na Urusi nao wakasaidia kama Wanavyo fanya West
Lazima Watambue Zama zao Zinakwisha kama Mbwai na Iwe Mbwai
China Ulichelewa saana
Tuliza mzuka mkuu China alitaka kujaribu kabla akashindwa, kumbuka mshirika wa Urusi nchi 2 au 3 hivi wakati NATO ni zaidi ya mataifa 30 yenye nguvu duniani, China hawawezi ata kujamba, Taiwan tu imewatoa kamasi hadi sasa wanapita tu hukoo pembeni pembeni
 
japo kwenye silaha huenda isiwe rahisi, China bado wanahitaji soko lao huko Ulaya na Marekani kuliko la huko Urusi.
Hapana China masoko yote anaya taka Russia na West.

Kwa sababu west ana nufaika na bidhaa zake za viwandani na uuzaji wa mafuta na gas huku Russia aki nufahika na bei ya discount ya mafuta na gas.
 
Tuliza mzuka mkuu China alitaka kujaribu kabla akashindwa, kumbuka mshirika wa Urusi nchi 2 au 3 hivi wakati NATO ni zaidi ya mataifa 30 yenye nguvu duniani, China hawawezi ata kujamba, Taiwan tu imewatoa kamasi hadi sasa wanapita tu hukoo pembeni pembeni
Una ufahamu mgogoro wa PRC na ROC kiundani ?
 
Hapana China masoko yote anaya taka Russia na West.

Kwa sababu west ana nufaika na bidhaa zake za viwandani na uuzaji wa mafuta na gas huku Russia aki nufahika na bei ya discount ya mafuta na gas.
Hapana China masoko yote anaya taka Russia na West.

Kwa sababu west ana nufaika na bidhaa zake za viwandani na uuzaji wa mafuta na gas huku Russia aki nufahika na bei ya discount ya mafuta na gas.
Hayo mafuta na gas hayapo Urusi pekee, hata Africa na Uarabuni yapo ya kutosha.

Ila soko kubwa kwake ni ulaya na Marekani
 
Mafuta na gesi kwa sasa Russia anauza kwa nchi rafiki kwa punguzo kubwa la bei hivyo China ambae ni nchi rafiki kwa Russia hawezi kuacha kununua, uki zingatia ukaribu zaidi kati ya China na Russia tofauti na Africa na Middle East.
 
Back
Top Bottom