Dunia kwa sasa sio marekani na ulaya magharibi tu.......tulieni mfunzwe adabu mliyokariri kwa sasa ni zilipendwa upepo umebadilika.....na china hatatafuta msaada atanunua silaha kama alivyonunua drone iran za kuwatandika,,, mrusi kwa sasa pesa anayo na anaenda kuitumia kwa washirika wenzake, ndo maana anakwambia kwa sasa ni zamu ya multipolar world ,mambo ya mbabe m1 yalishapita,,,wamagharibi kama wanataka mambo yao basi wajifanyie wao wenyewe zama za kulazimisha mambo yao kwa dunia nzima imeisha,,,,sasa hivi kama hutaki mambo ya wamagharibi option ipo ya upande wa pili, dunia sasa ni wewe tu