China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

Hapana bei ya mafuta na gas ni Russia pekee ndie muamuzi katika kuwauzia nchi rafiki.
Nani kasema kapangiwa bei world market akataka au hiyo asitake auze hiyo karudi kunywa mafuta yake, watu yao yanawaendea
 
Hawa China toka vita imeanza walisema watampa msaada Urusi lakini ikashindwa walipoona vikwazo vyaja wakaona bora yaishe
Unaandika uhongo.

Hakuna siku ambayo Chinese walisema wanapeleka lethal weapons Russia. Msimamo wa Chinese siku zote ni Negotiations .

Na hata hii habari tunayojadili hapa ni matamshi ya Blinken na wala sio taarifa rasmi tokea China.
 
Russia hela watatoa na mafuta wamepangiwa bei putin hana hali sasa ni shida tu alichaguwa vita asiyoijua matokeo yake sasa anajuta
Mafuta wamejipangia wenyewe wa magharibi na wafanyabiashara wao.....mrusi anaendelea kuuza mafuta kwa bei zake na tena soko lake limekua sana hasa china na india.......ndo maana kwa sasa ana jeuri ya kuagiza silaha nje badala ya kuzalisha mwenyewe ndani, pesa anapata na anaenda kuchukua silaha kwa wale ambao anawauzia mafuta kwa bei ya chini, kwahio upande mmoja unafanya production upande mmoja unanunua vita inaendelea,,,,,shida kwa nato gharama za uzalishaji zimeshakua kubwa ulaya nzima nafuu ipo marekani tu vita ikiendelea stock zao kuzirudishia itakua ngumu ndo maana mjerumani alikua anajikuna kichwa kwenye vifaru,,,kuzalisha silaha zinazotoka ulaya kwa rate ya kuendana na vita ukraine kwa sasa ni ngumu, tena wakihamia kwenye hizi silaha modern shida itakua kubwa zaidi gharama za uzalishaji zinaenda kua chini india na china sababu wanauziwa mafuta na gesi kwa bei ndogo sana kulinganisha masoko mengine, mrusi anajua anachofanya.........................na ujinga mwingine india na china wananunua mafuta bei chee urusi halafu na wao wanakuja tena kuwauzia ulaya kwa gharama kubwa anaeumia anajulikana ila bado anajikaza
Screenshot_20230220-202934_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20230220-202917_Samsung Internet.jpg
 
Mafuta wamejipangia wenyewe wa magharibi na wafanyabiashara wao.....mrusi anaendelea kuuza mafuta kwa bei zake na tena soko lake limekua sana hasa china na india.......ndo maana kwa sasa ana jeuri ya kuagiza silaha nje badala ya kuzalisha mwenyewe ndani, pesa anapata na anaenda kuchukua silaha kwa wale ambao anawauzia mafuta kwa bei ya chini, kwahio upande mmoja unafanya production upande mmoja unanunua vita inaendelea,,,,,shida kwa nato gharama za uzalishaji zimeshakua kubwa ulaya nzima nafuu ipo marekani tu vita ikiendelea stock zao kuzirudishia itakua ngumu ndo maana mjerumani alikua anajikuna kichwa kwenye vifaru,,,kuzalisha silaha zinazotoka ulaya kwa rate ya kuendana na vita ukraine kwa sasa ni ngumu, tena wakihamia kwenye hizi silaha modern shida itakua kubwa zaidi gharama za uzalishaji zinaenda kua chini india na china sababu wanauziwa mafuta na gesi kwa bei ndogo sana kulinganisha masoko mengine, mrusi anajua anachofanya.........................na ujinga mwingine india na china wananunua mafuta bei chee urusi halafu na wao wanakuja tena kuwauzia ulaya kwa gharama kubwa anaeumia anajulikana ila bado anajikazaView attachment 2524334View attachment 2524336
Weye una homa sana Russia akivuna 47% kutoka ulaya pekee sasa ni 0%., unadhani nchi 2 India na China wataziba pengo la ulaya, ivi umesikia raia wa Russia wametokomea kusikojulikana kutafuta maisha? mpaka bunge la urusi juzi wamepitisha sheria raia atakayekimbia urusi atapigwa double taxation atalipa kodi mara 2, lakini hawasikii wala hawaoni wimbi ni kubwa wanatimkia nchi za ulaya dubay na Turky, Urusi alilazimisha aachiwe angalau auze mafuta kwenye soko la dunia akapangiwa bei ya hasara kuonyeshwa kwamba wewe huna namna, putin akaikataa bei akanuna akasema atakunywa mwenyewe mafuta, saivi ndo kama unavyoskia anatafuta msaada wa silaha china na Iran wamepiga kambi Cremea wanatoa mafunzo ya kutengeneza drone kwa wanajeshi wa urusi., yaan Urusi ni debe tupu
 
Hakuna nchi rafiki ambazo zitaweza kuziba pengo la soko la Ulaya Urusi alilokuwa nalo sasa anakopesha India labda na china kwa hasara zaidi, tutegemee anguko kubwa zaidi la urusi kiuchumi
Ushahidi ?
 
Mafuta wamejipangia wenyewe wa magharibi na wafanyabiashara wao.....mrusi anaendelea kuuza mafuta kwa bei zake na tena soko lake limekua sana hasa china na india.......ndo maana kwa sasa ana jeuri ya kuagiza silaha nje badala ya kuzalisha mwenyewe ndani, pesa anapata na anaenda kuchukua silaha kwa wale ambao anawauzia mafuta kwa bei ya chini, kwahio upande mmoja unafanya production upande mmoja unanunua vita inaendelea,,,,,shida kwa nato gharama za uzalishaji zimeshakua kubwa ulaya nzima nafuu ipo marekani tu vita ikiendelea stock zao kuzirudishia itakua ngumu ndo maana mjerumani alikua anajikuna kichwa kwenye vifaru,,,kuzalisha silaha zinazotoka ulaya kwa rate ya kuendana na vita ukraine kwa sasa ni ngumu, tena wakihamia kwenye hizi silaha modern shida itakua kubwa zaidi gharama za uzalishaji zinaenda kua chini india na china sababu wanauziwa mafuta na gesi kwa bei ndogo sana kulinganisha masoko mengine, mrusi anajua anachofanya.........................na ujinga mwingine india na china wananunua mafuta bei chee urusi halafu na wao wanakuja tena kuwauzia ulaya kwa gharama kubwa anaeumia anajulikana ila bado anajikazaView attachment 2524334View attachment 2524336
Umejitahidi kuli fafanua hili swala mkuu.
 
Super Power kawa omba omba kama Ukraine
Na bado wanazidi kimkalia kisogoni,leo biden anasema tutakuwa na wewe muda wote wa vita hii !!Sasa putin ana karibia kukata pumzi NATO ndio kwanza wanaanza kutoa vitu vizito!!China ameshang'aka hawezi msaidia silahq kwani EU,wemueleza wazi kuwa akifanya hivyp ajiandae kupata vikwazo.Ila tukisema ukweli Putin atakuwa anajilaumu sana kuanzisha hii vita kwani hakuna anachokipata/atakachopata.
Na wiki hii vikwazo vingine tena vinakuja
 
Tuliza mzuka mkuu China alitaka kujaribu kabla akashindwa, kumbuka mshirika wa Urusi nchi 2 au 3 hivi wakati NATO ni zaidi ya mataifa 30 yenye nguvu duniani, China hawawezi ata kujamba, Taiwan tu imewatoa kamasi hadi sasa wanapita tu hukoo pembeni pembeni
Nchi gani ulaya ina nguvu kijeshi na kiuchumi kuliko china?? China size yake ni marekani na Russia. China sio aliogopa kumpa Russia silaha kwa sababu ya vikwazo, muda wa kumpa Russia silaha ulikuwa bado na utakapofika hakuna nchi yoyote itakayoweza kumzuia. Jambo ambolo wengi wenu hamlifahamu ni kwamba china na Russia ni kitu kimoja. China ilikuwa inafahamu kila kitu kuhusu hii operation kabla hata haikuanza
 
Back
Top Bottom