MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Ni lini Baraza LA Usalama LA umoja WA mataifa lilishawahi kuwa kitu kimoja? Balaza hilo Lina wanachama 5 WA kudumu:Madhara ni kwamba baraza la kudumu la usalama la Umoja wa Mataifa litagawanyika.
1.Marekani
2.China
3.Uingereza
4.Ufaransa
5.Urusi.
Balaza hilo limegawanyika sehemu 2 kimlengo na kula zao zinagawanyika hivyo. Urusi na Uchina wao Lao moja huku Marekani, Uingereza na Ufaransa Lao likiwa moja.