Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biden yupo Ukraine. Ampige bomu tuone kweli yupo vizuri.Mwanamume kawashika pabaya, ulaya yote haipumui ukijumlisha na kaka yao MANDONGA a. k. a USA
Kiswahili sio lugha yangu, ninajaribu jaribu tu. Ujajibu swali, una umri gani?Hata ukivijua, havitakusaidia. Kama kuandika tu unachanganya herufi kubwa na ndogo. Ulishindwa kutumia maneno ya rangi au kubold maneno?
Biden yupo Ukraine huku Russia akiomba msaada wa kijeshi kwa China na North Korea.Itanisadia sana kujua naongea na nani?
Pole sana.Kiswahili sio lugha yangu, ninajaribu jaribu tu. Ujajibu swali, una umri gani?
🤣🤣🤣Elimu yako pleaseBiden yupo Ukraine huku Russia akiomba msaada wa kijeshi kwa China na North Korea.
Russia kwa aibu aliyopata na kushindwa akaona aite operesheni ya kijeshi kuficha aibu.
USA habari nyingine. Ampige bomu Biden si yupo Ukraine na Russia anaipiga Ukraine?
🔥💥😈😈😈😈😈😈🤣🤣🤣Elimu yako please
Kuongea rahisi sanaKama china anamsaidia Urusi ndio mwisho wa china. Trust me
JF imevamiwa na vitoto vingi, vinachukuwa stories za vijiweni na kuja kulopoka hukuBiden yupo Ukraine huku Russia akiomba msaada wa kijeshi kwa China na North Korea.
Russia kwa aibu aliyopata na kushindwa akaona aite operesheni ya kijeshi kuficha aibu.
USA habari nyingine. Ampige bomu Biden si yupo Ukraine na Russia anaipiga Ukraine?
Kama china anamsaidia Urusi ndio mwisho wa china. Trust me
Unaweza kukuta iyo bei juu wanayouziwa ulaya russia ana kijiperceeeee chakeMafuta wamejipangia wenyewe wa magharibi na wafanyabiashara wao.....mrusi anaendelea kuuza mafuta kwa bei zake na tena soko lake limekua sana hasa china na india.......ndo maana kwa sasa ana jeuri ya kuagiza silaha nje badala ya kuzalisha mwenyewe ndani, pesa anapata na anaenda kuchukua silaha kwa wale ambao anawauzia mafuta kwa bei ya chini, kwahio upande mmoja unafanya production upande mmoja unanunua vita inaendelea,,,,,shida kwa nato gharama za uzalishaji zimeshakua kubwa ulaya nzima nafuu ipo marekani tu vita ikiendelea stock zao kuzirudishia itakua ngumu ndo maana mjerumani alikua anajikuna kichwa kwenye vifaru,,,kuzalisha silaha zinazotoka ulaya kwa rate ya kuendana na vita ukraine kwa sasa ni ngumu, tena wakihamia kwenye hizi silaha modern shida itakua kubwa zaidi gharama za uzalishaji zinaenda kua chini india na china sababu wanauziwa mafuta na gesi kwa bei ndogo sana kulinganisha masoko mengine, mrusi anajua anachofanya.........................na ujinga mwingine india na china wananunua mafuta bei chee urusi halafu na wao wanakuja tena kuwauzia ulaya kwa gharama kubwa anaeumia anajulikana ila bado anajikazaView attachment 2524334View attachment 2524336
Pole sana. Inaonekana ulikimbia shule hata kuandika hujui.JF imevamiwa na vitoto vingi, vinachukuwa stories za vijiweni na kuja kulopoka huku
Hizo ni ndoto za mchana!Tunapoelekea PUT INView attachment 2525346
Sio kweli kuwa China hawajawahi kumkubali Russia licha ya kuwa wana migogoro ya hapa na pale.China hajawahi kumkubali mrusi. China wana akili zao nyingi sana. Walishawasoma warusi kama hamnazo. Toka enzi za vita baridi. Wanaenda nao kimtindomtindo