Mafuta wamejipangia wenyewe wa magharibi na wafanyabiashara wao.....mrusi anaendelea kuuza mafuta kwa bei zake na tena soko lake limekua sana hasa china na india.......ndo maana kwa sasa ana jeuri ya kuagiza silaha nje badala ya kuzalisha mwenyewe ndani, pesa anapata na anaenda kuchukua silaha kwa wale ambao anawauzia mafuta kwa bei ya chini, kwahio upande mmoja unafanya production upande mmoja unanunua vita inaendelea,,,,,shida kwa nato gharama za uzalishaji zimeshakua kubwa ulaya nzima nafuu ipo marekani tu vita ikiendelea stock zao kuzirudishia itakua ngumu ndo maana mjerumani alikua anajikuna kichwa kwenye vifaru,,,kuzalisha silaha zinazotoka ulaya kwa rate ya kuendana na vita ukraine kwa sasa ni ngumu, tena wakihamia kwenye hizi silaha modern shida itakua kubwa zaidi gharama za uzalishaji zinaenda kua chini india na china sababu wanauziwa mafuta na gesi kwa bei ndogo sana kulinganisha masoko mengine, mrusi anajua anachofanya.........................na ujinga mwingine india na china wananunua mafuta bei chee urusi halafu na wao wanakuja tena kuwauzia ulaya kwa gharama kubwa anaeumia anajulikana ila bado anajikaza
View attachment 2524334View attachment 2524336