T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Russia is weakNi sababu gani kuu zime pelekea hali hiyo kutokea ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia is weakNi sababu gani kuu zime pelekea hali hiyo kutokea ?
Weak......kijiji kingekua kinajikusanya kuchangiana silahaAnhaa sawa, wacha tuone yatayo jiri.
Kichekesho hikiMwanamume kawashika pabaya, ulaya yote haipumui ukijumlisha na kaka yao MANDONGA a. k. a USA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .unanikimbusha chemical ali wakati marekani anaingia BaghdadKama china anamsaidia Urusi ndio mwisho wa china. Trust me
Kama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
Na Putin alisha sema hajaomba msaada wowote csto au Brics na alliance zake zingine kwasababu anawamudu super power wa kwenye makaratasi USA na EU na wengine wote. Sasa akiomba alliance si imekula kwao lmfKuna taarifa kuwa trh 24 mwezi huu wa 2 Dunia inaenda kushuhudia maajabu ya vita kati ya Ukraine na Russia. It means vita rasmi inaanza trh hiyo, kwa sasa ni trela tu. Let's wait.
Ni Sawa tu,
Bado KK nayo itaipa Urusi silaha,Iran tayari.
Hii maana yake Kila mtu na maswahiba wake.
N ndivyo hata NATO wakiingiza majeshi kamili nao wachina watatia timu uwanjani,bila kumsahau kiduku na marafiki wengine.
Nakikubali sana Russia na nchi zoooote ambazo ni Anti west
Hakuna "super power" ya kujitegemea. USA ni "super power" kwa sababu ya NATO, bila NATO, USA sio mali kitu. Inachotumia USA ni vita ya vikwazo kugandamiza nchi nyingine. BRICS ikifanikiwa USA itakoma.Super Power kawa omba omba kama Ukraine
Tofauti ambayo pengine huijui ama umeisahau ni kuwa, Urusi ni mvamizi na Ukraine ni mhanga wa uvamizi wa Urusi.Kama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
Ungekuwa na akili ungejiuliza kwanza kwanini Russia ameivamia Ukraine? Je, Russia alikuwa na sababu zozote za msingi za kuivamia Ukraine? Na je alilalamika kutaka mazungumzo kabla ya kumvamia?Tofauti ambayo pengine huijui ama umeisahau ni kuwa, Urusi ni mvamizi na Ukraine ni mhanga wa uvamizi wa Urusi.
Washirika wakubwa wa Urusi wamekosa ujasiri wa kuiunga mkono Urusi waziwazi kutokana na fact hiyo moja ukiacha sababu nyingine za kimaslahi. Kuiunga mkono Urusi kwenye hii vita moja kwa moja ni kuunga mkono uvamizi kwa nchi nyingine yeyote ile duniani zikiwemo nchi za hao washirika wenyewe.
Ukraine na Nato watashinda? Warudishe kwanza ardhi ya donbase...Unachokisema sio kweli bado mbabe ni mmoja tu dunia hii na ataendelea kuwa yeye kwa musa mrefu sana,ndio maana hao wanao msapoti PUTIN hawawezi kujitokeza hadharani!!juzi china ameambiwa kuwa ana mpango wa kupeleka silaha urusi umemsikia alivyojitetea?na jana waziri wake wa mambo ya nje amekwenda urusi,.USA na kundi lake la NATO, ndio dunia.hiyo option haipo kwani mbambe wao (IRAN,CHINA,N.KOREA,VENEZUELA,SYRIA)ambaye ni urus wameshaona kumbe hamna kitu mle!!jamaa amechoka NATO ndio kwanza wameanza kupeleka silaha nzito!!Tuwe wakweli tu hivi putin kwenye vita hii kuna faida atakayo ipata?kwani uwezekano wa kushinda hakuna
Ni suala la muda tu! Je umeifuatilia leo hotuba ya putin?ki ukweli anatia huruma yaani hakutegemea hichi kilichotokea,na huko mbeleni muda c mrefu utamsikia CHINA,anataka awempatanishi ili vita iishe!!na ndicho kilichompeleka FM,wa china huko urusi juzi!!je NATO watakubali?!!Ukraine na Nato watashinda? Warudishe kwanza ardhi ya donbase...
Hakuna sababu zozote za msingi zilizotolewa na Urusi kwa dunia kuhusu huo uvamizi wake so far.Ungekuwa na akili ungejiuliza kwanza kwanini Russia ameivamia Ukraine? Je, Russia alikuwa na sababu zozote za msingi za kuivamia Ukraine? Na je alilalamika kutaka mazungumzo kabla ya kumvamia?
Na inabidi ujiulize maswali hayo ukiwa neutral minded
Kwa mimi kumvamia mtu sio tatizo kama zipo sababu za msingi za kumvamia
Lakini kuna report ilichapishwa na China kuilaumu Russia kuanzisha vita haraka kinyume na ilivyokuwa imeahidi. China walitarajia Urusi angeanza vita baada ya Beijing OlympicsNchi gani ulaya ina nguvu kijeshi na kiuchumi kuliko china?? China size yake ni marekani na Russia. China sio aliogopa kumpa Russia silaha kwa sababu ya vikwazo, muda wa kumpa Russia silaha ulikuwa bado na utakapofika hakuna nchi yoyote itakayoweza kumzuia. Jambo ambolo wengi wenu hamlifahamu ni kwamba china na Russia ni kitu kimoja. China ilikuwa inafahamu kila kitu kuhusu hii operation kabla hata haikuanza
Hakuna "super power" ya kujitegemea. USA ni "super power" kwa sababu ya NATO, bila NATO, USA sio mali kitu. Inachotumia USA ni vita ya vikwazo kugandamiza nchi nyingine. BRICS ikifanikiwa USA itakoma.
Kumbe Russia sio superpower kama tunavyoaminishana humu.Kama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
Kumbe Russia sio supapawaNi Sawa tu,
Bado KK nayo itaipa Urusi silaha,Iran tayari.
Hii maana yake Kila mtu na maswahiba wake.
N ndivyo hata NATO wakiingiza majeshi kamili nao wachina watatia timu uwanjani,bila kumsahau kiduku na marafiki wengine.