Propaganda tupu. Silaha za kichina zitafanya nini? Urusi inahitaji FEDHA ili kuendeleza vita na wala sio Silaha. Urusi Ina Silaha nyingi Sana shida ipo kwenye mbinyo WA kiuchumi tu.Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine.
Taarifa:
- China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said.
Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already providing "non-lethal support" to Russia- and new information suggested Beijing could provide" lethal support".
This escalation would mean"serious consequences " for China, he warned.
Taarifa zaidi pitia BBC News/CBS NewsView attachment 2523878
SawaKama hilo litafanikiwa Itakuwa Jambo Zuri na Jema
West Wanashirikiana Kutwa Kumuangusha Mrusi ili Upuuzi wao wakuifanya Dunia wanavyo taka Uendelee
Sasa Zamu ya Wanao Shirikiana na Urusi nao wakasaidia kama Wanavyo fanya West.
Lazima Watambue Zama zao Zinakwisha kama Mbwai na Iwe Mbwai
China Ulichelewa saana
Kama Russia haina shida na silaha vipi kuhusu drone inazo pokea toka Iran ?Propaganda tupu. Silaha za kichina zitafanya nini? Urusi inahitaji FEDHA ili kuendeleza vita na wala sio Silaha. Urusi Ina Silaha nyingi Sana shida ipo kwenye mbinyo WA kiuchumi tu.
Ni Sawa tu,Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine.
Taarifa:
- China is considering giving Russia weapons and ammunition for the Ukraine war, US secretary of state Anthony Blinken has said.
Mr Blinken told CBS News that Chinese companies were already providing "non-lethal support" to Russia- and new information suggested Beijing could provide" lethal support".
This escalation would mean"serious consequences " for China, he warned.
Taarifa zaidi pitia BBC News/CBS News
View attachment 2523878
HAKIKA.Kama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
Safi sana .SMO iendeleeee.
Western wanahangaika sana ila saivi wanaishia kwenye "vikao vya ndani" na kutoa matamko tu🤣🤣Taarifa inasema kuwa China ina mpango wa kumpatia msaada wa kisilaha Russia dhidi ya Ukraine.