Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809
Hivi kuna mradi wowote wa kijamii unafadhiliwa na ChinaWachina twende nao kwa umakini mkubwa sidhani kama wana dini hawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna mradi wowote wa kijamii unafadhiliwa na ChinaWachina twende nao kwa umakini mkubwa sidhani kama wana dini hawa!
Zile zilikuwa kauli za mlevi wa mataputapu.Maana hiyo ni kuwa zile kauli za kuwa tunajenga kwa hela zetu wenyewe za ndani, hatuhitaji mikopo/misaada ya mabeberu, sisi ni dona kantre toka kwa mwenyekiti wako ilikuwa ni porojo?
Wachina twende nao kwa umakini mkubwa sidhani kama wana dini hawa!
Mie nimefanya kazi nawachina nawajua. Siongelei kitu juu juu. Wala sipo hapa kubishana
kwanini mlikuwa mnajitamba kuwa ninyi hamhitaji misaada/mikopo kwa kuwa mnauwezo wa kujitegemea? Kwanini msikatae huo msaada toka china kwa kuwa ninyi ni dona kantre?Tuelewane kitu kimoja kwanza;China hajatupa mkopo.China ametoa msaada kwa mapenzi yake na sivinginevyo.Umenielewa mkuu??
Hahahaha yani akili za wana ufipa zinawalakini.Yani mfano wewe hapo,una laki tani mfukoni ta kula bata.then katika pitapita mitaani unakutana na best ako,kama kawa story mbili tatu ,anazama mfukoni anakupa buku mbili,"aah best angu, chukua hii utanunua hata maji " eenhe utaikataa hiyo buku mbili kisa una laki tano ya kula bata??kwanini mlikuwa mnajitamba kuwa ninyi hamhitaji misaada/mikopo kwa kuwa mnauwezo wa kujitegemea? Kwanini msikatae huo msaada toka china kwa kuwa ninyi ni dona kantre?
Mzee mio sio mtu wa kufanya kazi kwenye kiwanda. Shika adabu yako. Nawajua wachina. Nazungumzia tabia yao, sijazungumzia uwezo wao wala madaraja yao. Mchina hajawahi kuwa na dhamira nzuri.Uliwahi kufanya na wachina kwenye kiwanda gani chenye hadhi?
Hizi propaganda zenu mnazo kalili kutoka kwenye vyombo vya habari vya mataifa ya magharibi kwa kuwasema vibaya Wachina - mpaka lini? Sisi watanzania tunapata wapi ujasiri wa kuwabeza beza wachina na wakati mwingine kuwa tuhumu kwamba ni wezi - Tanzania ilianza kushirikiana na China tangu miaka ya sitini, je, mnakumbuka ni viwanda vingapi vya hali ya juu walitujengea bara na visiwani vikaongeza ajira kwa vijana wengi, lakini nini kilikuja kutokea baada ya Wachina kukabidhi viwanda kwa Wakurugenzi Waswahili wavisimamie/endeshe - vilitushinda kuviendesha kwa ufanisi vikafa kifo cha mende!! Hapo hatujazungumzia msaada na ujenzi wa Wachina Vyuo vya kijeshi vya kisasa, airforce (ujenzi wa base, ndege za kivita na transport/cargo planes) Navy(ujenzi wa Naval base,battleships na nyambizi), kiwanda cha silaha, nani alijenga workshops za kuunda magari ya kijeshi (NYUMBU), je, mgodi wa makaa ya mawe huko Kiwira Mbeya hapo hatujazungumzia kuhusu ujenzi wa reli ya TAZARA - bottomline is: Tunapo washutumu Wachina tubakezi hakiba ya maneno kwa kukumbuka mema Wachina waliyo changia katika kujaribu to help Tanzania help herself, Wachina wachache wenye akili fyatu ukiongezea na propaganda chafu za mabeberu kuhusu Uchina zisitufanye Watanzania kuwashutumu Wachina wote whole sale.
Now lets go back to the main point, wewe unasema unajuwa vizuri ubaya wa Wachina, narudia kukuhoji uliwahi kufanya nao kazi kwenye kiwanda gani chenye hadhi? Kumbuka hapa hatuzungumzii Wachina walala hoi wanao ingia Nchini kuanzisha magereji mshenzi ya spana mkonononi au wanao tengeneza yeboyebo na bidhaa nyingine kwenye nyumba wanazo kodisha Temeke na Tabata, wauza ice cream, mawig na pazia, Queen wa ununuzi wa meno ya Tembo nk - kama uliwahi kuajiriwa na Wachina wabangaizaji kama hao ulitegemea nini?
KAMA NILISHAWAHI KUTAMBA KUWA SIHITAJI MSAADA KWA KUWA NAJIWEZA SITACHUKUA. KUCHUKUA HIYO PESA NI KUJIDHALILISHA MAANA TAYARI ULISHATANGAZA KUWA WEWE UNAJIMUDU KIMAISHA NA HUHITAJI MSAADA WOWOTE. TATIZO LENU WANACCM HUWA HAMNA MSIMAMO, LEO MAGUFULI AKISEMA MVUA NI NZURI MTASHANGILIA KESHO AKISEMA MVUA NI MBAYA MTASHANGILIA PIA. MKO KAMA POPOHahahaha yani akili za wana ufipa zinawalakini.Yani mfano wewe hapo,una laki tani mfukoni ta kula bata.then katika pitapita mitaani unakutana na best ako,kama kawa story mbili tatu ,anazama mfukoni anakupa buku mbili,"aah best angu, chukua hii utanunua hata maji " eenhe utaikataa hiyo buku mbili kisa una laki tano ya kula bata??
Aseme tu hana hela na si kutafuta visingizio.Za chini ya capeti wachina ndio wata jenga kipande cha SGR kuanzia mwanza to isaka na the rest phase watapewa wao ....imasemekana mkuu kachoshwa na utendaji kazi wa wa turuki
Ondoa hofu, wewe unaelewa bali wengi ndo hawaelewi kinachoendelea ndani ya TZ govt. Kwamba Magufuli alifuta mkataba na beberu la Kichina wa mradi wa bandari ya Bagamoyo na kwakuwa sasa pesa hamna anajipeleka tena kwa beberu huyo asaidiwe kumalizia miradi yake.Yakupasa kuwa na akili nyingi sana kuelewa kinachoendelea tz kwa sasa, au ni mimi tu nisiyeelewa?
Inasemekana kuna kampuni ya China imeomba tenda ya ujenzi na offer yao ni friendly kuliko ya Mturuki japo bado hawajatangaza mshindi.Aseme tu hana hela na si kutafuta visingizio.
Unajua maana ya Aghlabu?Maombi huenda yakakubalika au kutokubaliwa.
Aghalab yanaweza kuja na Masharti. Sharti kubwa laweza kuwa ni kuuza nyama ya punda na mbwa.
Nyara zote za pembe za Ndovu zipelekwe China, kwa vile wao wana kazi nazo.
etc....etc......etc
Na bichwa ni laana kwa taifaCHINA siyo mabeberu kwa mujibu wa MATAGA.
Na fedha toka china "NI ZETU ZA NDANI" kwa mujibu wa MATAGA.
Na "china Wanatupa fedha zetu bure" kwa mujibu wa MATAGA.
CHINA ,IN RETURN "HATUWAPI MAKAA YA MAWE, MIGODI WALA MALIASILI " ILI KUNUFAIKA NA MKOPO WENYE MASHARTI MAGUMU WALIOTUPA KUJENGA SGR na STIGLERS.
MAREKANI NA UINGEREZA hawajagoma kutupa fedha za ujenzi huo kwa mujibu wa MATAGA ila tumeamua kuchukua CHINI kwakuwa wao NDIO MARAFIKI WA KWELI.
Haijawa kutokea na haitakaa itokee Tanzania kupata raisi mzalendo kama
Mzee mio sio mtu wa kufanya kazi kwenye kiwanda. Shika adabu yako. Nawajua wachina. Nazungumzia tabia yao, sijazungumzia uwezo wao wala madaraja yao. Mchina hajawahi kuwa na dhamira nzuri.
Ila mbona miaka ya nyuma walikuwa washirika wazuri tu, mfano kwenye Reli ya Tazara (tunaweza tukaanzia kwa uzoefu huo wa TAZARA kuleta SGR) na pia kiwanda cha Urafiki na vitu vingine. Wakati mwingine hata sie huwa ni watu wa ovyo pia kwa kusainin mikataba bila kuangalia maslahi ya nchi kwa kuwa kama kuna vipengele haviendani vinatakiwa vijadiliwe. Sie tunajua ku-bargain ina apply kwenye fedha tu kwa kuomba punguzo kumbe hata kwenye contract pia kuondoa baadhi ya masharti)Mchina mchina.. ataliacha hili taifa kwenye kilio. Mchina ni mtu mmoja wa hovyo sana. Akipata anachotaka unapoteza maana yote.. 😭😭😭😭.