China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

Unaanzaje kukataa msaada?? Utakuwa unaakili?? Tumie basi ubongo wenu hata mara moja moja sio mbaya
Maana hiyo ni kuwa zile kauli za kuwa tunajenga kwa hela zetu wenyewe za ndani, hatuhitaji mikopo/misaada ya mabeberu, sisi ni dona kantre toka kwa mwenyekiti wako ilikuwa ni porojo?
 
Maana hiyo ni kuwa zile kauli za kuwa tunajenga kwa hela zetu wenyewe za ndani, hatuhitaji mikopo/misaada ya mabeberu, sisi ni dona kantre toka kwa mwenyekiti wako ilikuwa ni porojo?
Kwani uongo kuwa kuna miradi mingi sana inatekelezwa kwa pesa za ndani??
Au unajiulizisha tu?? "Kama unafaham jibu la 1+1=2, huna sababu ya kutumia karatasi nyingi ku prove, kwani utapoteza muda bure kwa ku do nothing."
 
Kwa hiyo hatujengi kwa pesa zetu za ndani tena?
Inaonekana tukiendelea kukomaa na ujenzi kwa gharama zetu it will take time to accomplish the projects. Kumbuka Mzee baba anataka hii miradi iishe before 2025 ili akiondoka tuimbe jina lake hadi kiyama.
 
Kwani uongo kuwa kuna miradi mingi sana inatekelezwa kwa pesa za ndani??
Au unajiulizisha tu?? "Kama unafaham jibu la 1+1=2,huna sababu ya kutumia karatasi nyingi ku prove,kwani utapoteza mda bure kwa ku do nothing "
kila siku mnatuaminisha kuwa SGR na Stieglers mnajenga kwa pesa zenu wenyewe, sasa iweje tena mnakuja kutuambia tumepewa mkopo? mnataka kutudanganya kama mlivyofanya kwa pesa za corona
 
Inaonekana tukiendelea kukomaa na ujenzi kwa gharama zetu it will take time to accomplish the projects.
Kumbuka Mzee baba anataka hii miradi iishe before 2025 ili akiondoka tuimbe jina lake hadi kiyama.
Magu pumzi ya fedha ya kutekeleza miradi mikubwa ilishakata kitambo sana kwa Wachina hata afanyeje angejipeleka mwenyewe ilikuwa ni suala la muda tu. Nyerere na jeuri yake alienda mwenyewe kuhusu Tazara na nchi ikakopa sembuse Magu rais asiye na ushawishi wa maana kwenye jumuia za kimataifa za fedha.
 
Wachina twende nao kwa umakini mkubwa sidhani kama wana dini hawa!
Bwashee mbona Wachina watu wazuri tu si ndio marafiki zenu wa kihistoria nyie CCM kwani mkipewa mkopo wa SGR na mkawapa bandari na migodi na mbuga na maziwa kuna shida gani bwashee?
 
Hawa Chinese sio wa kuwaamini sana kivile mikataba yao kiuchumi, jamaa hawaoni hasara kuondoka na mtungi wa oxygen wa mgonjwa wa ICU
 
Hawa Chinese sio wa kuwaamini sana kivile mikataba yao kiuchumi, jamaa hawaoni hasara kuondoka na mtungi wa oxygen wa mgonjwa wa ICU
Ni watu wazuri sana kwa serikali zinazojali maendeleo ya vitu.
 
Kati ya kitu Tanzania inapaswa ikikwepe kwa namna yoyote ile, ni msaada, mkopo au msaada toka China hii ya sasa...
 
kila siku mnatuaminisha kuwa SGR na Stieglers mnajenga kwa pesa zenu wenyewe, sasa iweje tena mnakuja kutuambia tumepewa mkopo? mnataka kutudanganya kama mlivyofanya kwa pesa za corona
Tuelewane kitu kimoja kwanza, China hajatupa mkopo. China ametoa msaada kwa mapenzi yake na sivinginevyo. Umenielewa mkuu??
 
Mchina mchina.. ataliacha hili taifa kwenye kilio. Mchina ni mtu mmoja wa hovyo sana. Akipata anachotaka unapoteza maana yote.. 😭😭😭😭.
Ilitokea kwenye taifa gani? coz sisi tanzania tumeanza ushirikiano na china tangu miaka ya 60, tumefaidika mengi toka kwao na bado tunafaidika, leta evidence.
 
ilitokea kwenye taifa gani? coz sisi tanzania tumeanza ushirikiano na china tangu miaka ya 60, tumefaidika mengi toka kwao na bado tunafaidika, lete evidence
Mie nimefanya kazi na Wachina nawajua. Siongelei kitu juu juu. Wala sipo hapa kubishana
 
Binafsi siwataki hata kuwasikia wanatuona kama wajinga vile yaani wametoka kwao huko wametuletea mashine za kamari mpaka vijijini, hivi huu ndio uwekezaji tunaouhitaji?
 
Mnazo hizo za ndani?
Muulize Rais wetu mpendwa ndo kila siku anadai miradi yote mikubwa kama SGR, Stiegler's Gorge, madege, CIA na midogo inagharimiwa na pesa zetu za ndani hata Uchafuzi wa mwaka huu umegharimiwa na fedha za ndani. Wachina kwa lugha hawakamatiki hata za kwetu wanajua!
 
Kwani si tunaambiwa tunajenga kwa fedha zetu wenyewe? I mean fedha za ndani? AU tumeshakwama tayari?

Huyu China ni janja janja,amewaumiza sana Zambia,Kenya,Siri Lanka kwa mikataba yenye mitego.
Magufuli nae alimshutukia kwenye mradi wa bandari ya Bagamoyo. Yawezekana sasa amekuja na ujanja mpya wa kupuliza huku anauma.Anafanya mtego ili mataifa mengine yaingie kichwa kichwa kudhani China kabadirika.
Njaa haina baunsa. Hela za ndani zimeisha.
 
Muulize Rais wetu mpendwa ndo kila siku anadai miradi yote mikubwa kama SGR, Stiegler's Gorge, madege, CIA na midogo inagharimiwa na pesa zetu za ndani hata Uchafuzi wa mwaka huu umegharimiwa na fedha za ndani. Wachina kwa lugha hawakamatiki hata za kwetu wanajua!
Hahahahahahah
 
Back
Top Bottom