China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

China kuisaidia Tanzania ujenzi wa SGR na mradi wa umeme Mto Rufiji

Acha woga kamanda, tumetoka nao mbali hawa jamaa. Hawa sio kama wale wanaohamasisha ushoga.
Hata wale wanaohamsisha ushoga jana tu serikali imekubali misaada yao na kuna hela za covid nazo serikali imechukua pia na itaendelea kuchukua nyingi tu kwani Chagu kwa nini serikali haitaki tena kujenga kwa hela za ndani kwani kujitegemea hakupo tena?
 
China inazidi kutumia diplomasia ya uchumi kwa faida yake kujikita Afrika. Ipo siku itatumia "ubeberu" kufanikisha matakwa yake. Nchi lazima iwe makini na mahusiano yake na mataifa makubwa mabeberu yenye uwezo mkubwa kutubana kidiplomasia, kimikopo, kimisaada na kijeshi. Hapa chini meli ya Jeshi la Majini la China ikiwasili ktk bandari ya Dar es Salaam kwa ziara ya 'kirafiki'

18 Aug 2017
A Chinese naval fleet arrived on Wednesday at Dar es Salaam port for a four-day friendly visit to Tanzania.
 
China's Navy Is Rising Fast Can It Catch the US Navy in Lethality and Size - China Navy power 2020 - The coming decade of development will significantly reduce, but not eliminate, the gap between China's navy — already the second most powerful maritime force on the planet — and the U.S. Navy by 2030. All fitted out, China's second-ever aircraft carrier — and the first built entirely in China— is set to sail for sea trials.

The construction of the aircraft carrier represents a significant milestone in China's steady rise as a major naval power. And barring any hiccups, Beijing will continue its ascent in the following decade to the degree that it challenges the United States for naval supremacy – at least in East Asia.

From a Coastal Defense Force to a World Power The might of the Chinese navy today is far beyond what it was just 30 years ago. As recently as the 1990s, it was effectively a coastal defense force with little ability to challenge its U.S. counterpart. But quick as the Chinese navy's rise since then has been, its tremendous progress stems from evolution rather than revolution, as Beijing has carefully and incrementally introduced new designs and equipment into the navy before proceeding to intensified shipbuilding.

At the turn of the millennium, Beijing began producing new indigenous vessels, but many of the initial designs, such as the Type 051C destroyer, depended heavily on Russian and other foreign technology for their main armaments. At the same time, China continued to purchase Russian warships, such as Sovremenny-class destroyers and Kilo-class submarines, as a hedge against the potential failure of their new designs. Over the course of the century's first decade, China restricted itself to constructing small batches of each warship type; only after engaging in comprehensive testing for each type did the country slowly transition to improved designs.

This decade of cautious experimentation gave the country’s navy the confidence to settle on reliable models for high-rate production. Chinese shipyards rapidly rolled out the Type 054A frigate, the Type 039A submarine, the Type 052D destroyer and the Type 056 corvette, making the four classes of vessel the mainstay of the naval inventory.

Such production, however, did not necessarily increase the size of the fleet but replaced aging and obsolete vessels that had remained in the naval inventory since the 20th century.

As naval authorities complete this modernization drive over the next two years, China is poised to significantly expand its strength and capabilities. The pace of China's naval exercises and training regimen is already unprecedented, and the tempo is only likely to continue.

The elimination of obsolete warships will provide China with an opportunity to improve not just the quality of its vessels, but also their quantity. If the country maintains its current rate of production, it could add approximately three destroyers each year from 2020 to 2030.

But an increase in the number of modern destroyers, frigates, corvettes and diesel-electric submarines only constitutes one aspect of the navy’s growing strength.

Over the next 10 years, China will construct next-generation nuclear submarines that emit far less sound, build new types of aircraft carriers equipped with catapult launch systems and expand its amphibious fleet with the introduction of Type 075-class amphibious assault ships. Supplementing the addition of this hardware will be a continued focus on the country's logistics fleet, which is key to conducting blue-water operations — sustained, long-range maritime operations over oceans and deep waters — and securing logistics bases around the globe.

Closing the Gap The coming decade of development will significantly reduce, but not eliminate, the gap between China's navy — already the second most powerful maritime force on the planet — and the U.S. Navy by 2030.

But even as China comes closer to rivaling the United States in global maritime strength, the two countries will continue to excel in different facets. Because the United States is largely secure and unchallenged in its home waters, it will retain its traditional focus on constructing a blue-water force.

Accordingly, Washington has long emphasized aircraft carriers, large surface combatants and a sizable fleet replenishment force that can project influence and force around the globe. China will strive to develop these same blue-water capabilities with similar vessels, but it will focus on exercising power closer to home in the South China and East China seas.

Source : military tv
 
hata wale wanaohamsisha ushoga jana tu serikali imekubali misaada yao na kuna hela za covid nazo serikali imechukua pia na itaendelea kuchukua nyingi tu kwani Chagu kwa nini serikali haitaki tena kujenga kwa hela za ndani kwani kujitegemea hakupo tena?
Unamaanisha nini kuwa serikali haitaki kujenga kwa pesa za ndani?
 
Kwa hiyo hatujengi kwa pesa zetu za ndani tena?
Ndio maana yake, miradi mingi fedha ni za mikopo kutoka taasisi za fedha za kimataifa.
Pia ni kutoka kwa nchi za ughaibuni/hao viongozi wetu kila uchao wanawaita mabeberu.
 
China imesema itaangalia namna ya kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge railway) na bwawa la kuzalisha megawati 2,115 za umeme katika mto Rufiji (Bwawa la Mwl. Nyerere).

Hayo yamesemwa na Rais wa China, Xi Jinping alipompigia simu Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ambapo viongozi hao wamezungumzia kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano hususani katika masuala ya uchumi.

Katika mazungumzo hayo yaliyodumu kwa muda wa saa moja, Rais Xi Jinping amempongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa tena na kwamba anaiona Tanzania kuwa nchi itakayoongoza kwa ukuaji wa uchumi barani Afrika.

Kwa upande wake Rais Magufuli amemhakikishia Rais Xi Jinping kuwa Tanzania itaendeleza na kukuza zaidi uhusiano wake na China uliodumu kwa takribani miaka 55 baada ya kuasisiwa na Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Hayati Mwenyekiti Mao Zedong, na kwamba Tanzania itaendelea kuiunga mkono China katika masuala mbalimbali ya kimataifa.

Rais Magufuli ameiomba China kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji wa miradi mikubwa kwa kutoa mikopo nafuu na ameitaja baadhi ya miradi hiyo kuwa ni wa kuzalisha megawati 358 za umeme katika mto Ruhudji, Megawati 222 za umeme katika mto Rumakali na ujenzi wa barabara visiwani Zanzibar.

Halikadhalika, Dkt. Magufuli ameiomba China kufungua zaidi masoko ya bidhaa mbalimbali kutoka Tanzania hususani mazao mbalimbali ya kilimo.

Rais Xi Jinping ameahidi kufanyia kazi maombi yaliyotolewa na Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa miradi ya kuzalisha umeme ya Ruhudji na Rumakali, ujenzi wa reli, Bwawa la Nyerere na ununuzi wa mazao ya Tanzania.
Si tunajenga kwa hela za ndani? Sasa hayo ya China kutaka kusaidia yanakujaje?

Na hivi kweli Magu anaweza kuzungumza na Xi kwenye simu kwa Saa nzima? Xi hana kazi hadi apoteze muda wake kuongea na Mtu asiyeijua China, asiyejua dunia inaelekea Magharibi ama Mashariki?
 
China imesema itaangalia namna ya kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge railway) na bwawa la kuzalisha megawati 2,115 za umeme katika mto Rufiji (Bwawa la Mwl. Nyerere).

Hayo yamesemwa na Rais wa China, Xi Jinping alipompigia simu Rais wa Tanzania, Dkt. Magufuli ambapo viongozi hao wamezungumzia kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano hususani katika masuala ya uchumi.

Katika mazungumzo hayo yaliyodumu kwa muda wa saa moja, Rais Xi Jinping amempongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa tena na kwamba anaiona Tanzania kuwa nchi itakayoongoza kwa ukuaji wa uchumi barani Afrika.

Kwa upande wake Rais Magufuli amemhakikishia Rais Xi Jinping kuwa Tanzania itaendeleza na kukuza zaidi uhusiano wake na China uliodumu kwa takribani miaka 55 baada ya kuasisiwa na Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Hayati Mwenyekiti Mao Zedong, na kwamba Tanzania itaendelea kuiunga mkono China katika masuala mbalimbali ya kimataifa.

Rais Magufuli ameiomba China kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji wa miradi mikubwa kwa kutoa mikopo nafuu na ameitaja baadhi ya miradi hiyo kuwa ni wa kuzalisha megawati 358 za umeme katika mto Ruhudji, Megawati 222 za umeme katika mto Rumakali na ujenzi wa barabara visiwani Zanzibar.

Halikadhalika, Dkt. Magufuli ameiomba China kufungua zaidi masoko ya bidhaa mbalimbali kutoka Tanzania hususani mazao mbalimbali ya kilimo.

Rais Xi Jinping ameahidi kufanyia kazi maombi yaliyotolewa na Rais Magufuli ikiwemo ujenzi wa miradi ya kuzalisha umeme ya Ruhudji na Rumakali, ujenzi wa reli, Bwawa la Nyerere na ununuzi wa mazao ya Tanzania.
Maelezo yako kwenye para ya kwanza ya bandiko lako SIYO SAHIHI, NI KAMA YA KIZUSHI HIVI. Rais wa China hakusema hayo wala Rais Magufuli hakuomba msaada kwa ajili ya miradi hiyo; bali ameomba washirikiane kwenye miradi kama ilivyo kwenye ibara yako ya mwisho. Tuandike yaliyosemwa, vinginevyo ni UONGO NA UZUSHI wenye NIA OVU.
 
pesa za mashoga serikali yako mbona haikatai halafu mbona kwa wachina serikali iya ccm narudi tena wakati Magu alishawakataa kujenga reli vipi pumzi imekata?
Acha uzushi, lini Tanzania ilishawakataa Wachina?
 
Tafadhali wana ufipa habari hii haiwahusu kabsa. Mnaruhisiwa kuchangia habari za EU huko, hizi za rafki yetu China, msizikodolee Macho.😁
Msaada wako kutupa jibu la swali hili ili tusijisumbue kwenye huu uzi, "Je hatujengi tena hii miradi kwa pesa zetu za ndani bila kutegemea mikopo/misaada?"
 
Msaada wako kutupa jibu la swali hili ili tusijisumbue kwenye huu uzi, "Je hatujengi tena hii miradi kwa pesa zetu za ndani bila kutegemea mikopo/misaada?"
Unaanzaje kukataa msaada?? Utakuwa unaakili?? Tumie basi ubongo wenu hata mara moja moja sio mbaya
 
Back
Top Bottom