Magema Jr
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,299
- 1,197
Ahsante sana mkuu kwa ujumbe uliotukuka.Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. Pesa za China ni za ndani. Za nje ni za mabeberu.
Karibu China. Karibu Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana mkuu kwa ujumbe uliotukuka.Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. Pesa za China ni za ndani. Za nje ni za mabeberu.
Karibu China. Karibu Tanzania
kwahiyo siku hizi rafiki yetu wa kweli China mnamwita beberu hapo ufipa?Huyu Beberu Mchina mnakazi naye siyo
Maendeleo hayana chamaTafadhali wana ufipa habari hii haiwahusu kabsa. Mnaruhisiwa kuchangia habari za EU huko, hizi za rafki yetu China, msizikodolee Macho.[emoji16]
hahahaha, yap atueleze mataga ndo nini by the way. 😂😂Mataga ni viumbe gani hao?
Ulipanga kumsomesha mwanao kwa fedha zako, akajitokeza msamaria akasema atamsomesha mwanao ili mradi umkatie kakipande kadogo ka shamba ajenge kajumba, utakataa?Kwa hiyo hatujengi kwa pesa zetu za ndani tena?
Hizo ni propaganda za Mmarekani, afterall wewe unataka ujengewe mradi wa trilioni 6 bure? Hao Sri Lanka walikufa au hiyo bandari wachina walibeba kupeleka Peking? Hiyo bandari ya Kenya imetaifishwa lini?Sawa
Hapa ni pick your poison!
Either way,wote ni oppressors....
Utasikia eti wale mabeberu tumeachana nao,as if China inatoa hela bure, tena China ni lethal haisamehi madeni na inataifisha hiyo miradi kama Bandari za Mombasa na Sri Lanka
Machadema hawaelewagi hizi logic...Ulipanga kumsomesha mwanao kwa fedha zako, akajitokeza msamaria akasema atamsomesha mwanao ili mradi umkatie kakipande kadogo ka shamba ajenge kajumba, utakataa?
Tangu lini Mchina wa leo akawa msamaria mwema, au unadhani tuko enzi za Mao nini?😀😀😀Ulipanga kumsomesha mwanao kwa fedha zako, akajitokeza msamaria akasema atamsomesha mwanao ili mradi umkatie kakipande kadogo ka shamba ajenge kajumba, utakataa?
Kabisa ! Yaani ikibidi ni mwendo wa hela za bandia kwa cheni feki! Hilo JPM yuko makini sana!!! Wachina wajipange, hakuna cha kuvishana mikenge hapa.Wachina twende nao kwa umakini mkubwa sidhani kama wana dini hawa!
Huyu China ni janja janja, amewaumiza sana Zambia, Kenya, Sri Lanka kwa mikataba yenye mitego. Magufuli nae alimshutukia kwenye mradi wa bandari ya Bagamoyo. Yawezekana sasa amekuja na ujanja mpya wa kupuliza huku anauma. Anafanya mtego ili mataifa mengine yaingie kichwa kichwa kudhani China kabadilika.WACHINA! Wawekezaji? Waulize wazambia - airport wamechukua wanakusanya mapato wao yaani ni mali yao hadi walipe senti ya mwisho!! Waulize Kenya! Mombasa-
Nairobi standard gauge railway wamechukua wanakusanya mapato wao. Hadi wauza chai ni wachina!! Mchina hana dini wala demokrasia! Tegemeeni ukoloni mkorofi na wa kishenzi kuliko wazungu!
ANGALIZO JINGINE UTOFAUTI WA HABARIBora umetoa hilo angalizo, ifahamike muda mfupi kabla ya Kikwete kumaliza muda wake madarakani, aliingia mikataba 16 ya siri na serikali ya China, walichopatana wanajua wenyewe.
Nikiangalia kiwango cha pesa cha miradi miwili ya SGR & SG, inahitaji si chini ya 10t kukamilika. Sioni ni wapi Magu anapata hela hizo ndani ya 5yrs, kwa vyovyote vile atajilipua kwenye fedha za wachina, maana anasimimiwa na bunge kibogoyo. Yajayo yatafurahisha.
Communique: an official announcement or statement, especially one made to the media
Hizi ni fedha zetu za ndani za kutoka kwa marafiki zetu Wachina!Kwani si tunaambiwa tunajenga kwa fedha zetu wenyewe? I mean fedha za ndani? AU tumeshakwama tayari?