Sio woga ni hekima tena ya muda mrefu ,maana china ni taifa lina miaka zaidi ya elfu tatu.Wataishia kuzunguka tu China ni Taifa lenye hofu na woga wa hali ya juu kabisa linapokuja suala la kupambana na US kwenye vita., China wenyewe imezungukwa pia tayari nafkiri hii ndio sababu, jirani wa china kama Australia upande ule, South Korea, Japan na hao Taiwan wenyewe wote ni vibaraka wakuu wa US nadha na Philippines pia nakumbuka walisema iwapo US wataichapa china wao wako tayari ardhi ya itumike kuchapwa china
Wewe ni kiazi sana .unless hujasoma history kabisa ili liitwe taufa lazima liangaliwe lini lilikitwa taifa lini liliachana na wakoloni, mpuuzi weweSio woga ni hekima tena ya muda mrefu ,maana china ni taifa lina miaka zaidi ya elfu tatu.
Washirika wa Taiwan wapo hoi na vita vya Ukraine.... Pale Taiwan patakua pepesi sababu ni kisiwa, hivyo itawekwa marufuku ya meli yoyote kuja Taiwan au ndege kutua huku jicho la beidui likiwa linamulika chochote kinachojaribu kuingia Taiwan.Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni.
Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo lake?
China atakubali aibishwa na Taiwan?
Je washirika wa Taiwan watamsaidia?
Ni wakati sasa China kuidhiilishia Dunia na Marekani kuwa nae ni Super power Country linapokuja suala la kutoa kipigo zidi ya vibaraka wa US aise.Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni.
Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo lake?
China atakubali aibishwa na Taiwan?
Je washirika wa Taiwan watamsaidia?
Taiwan ni mtoto wa China mfano wa Ukraine kwa Urusi! Taiwan inapewa kiburi na Washington lakini akianza kumwagiwa moto utaona marekani akibwekea mbaliWataishia kuzunguka tu China ni Taifa lenye hofu na woga wa hali ya juu kabisa linapokuja suala la kupambana na US kwenye vita., China wenyewe imezungukwa pia tayari nafkiri hii ndio sababu, jirani wa china kama Australia upande ule, South Korea, Japan na hao Taiwan wenyewe wote ni vibaraka wakuu wa US nadha na Philippines pia nakumbuka walisema iwapo US wataichapa china wao wako tayari ardhi ya itumike kuchapwa china
Taiwan ni mtoto wa US, ni kama vile mayahudi (Israel) wanapoingia kwenye vita humtegemea mume wao US kwa kila kitu ingawa Taiwan nao sio mbe sana kwenye technologia
Taiwan ni mtoto wa China mfano wa Ukraine kwa Urusi! Taiwan inapewa kiburi na Washington lakini akianza kumwagiwa moto utaona marekani akibwekea mbali
Wee jamaa upo nyuma sana,.. Hong Kong ilishatwaliwa kijanja na china tena walipitisha sheria ya usalama wakadakwa watu kibao. Hong Kong NATO walipiga kelele sana wakawa wanasapoti maandamano china ikayatuliza kibabe na kuwadaka wahusika.Kamwe China haiwezi kuivamia Taiwan wala Hong Kong. Hivyp visiwa viwili vyenye utajiri halisia mkubwa kuliko wa China, vimejishikamanisha sana na mataifa ya Magharibi.
China haiwezi kukubali uchumi wake uvurugike. China inapambana sana na umaskini wa watu wake. China ndiyo Taifa pekee kubwa, lente watu wengi na GDP kubwa, lakini kiuhalisia bado ni maskini kwa sababu idafi kubwa ya watu wake wanaishi kwenye umaskini mkubwa:
China Gdp per capita $13,303
Taiwan GDP per capita $33,983
Hong Kong GDP per capita $54,107
Russia GDP per capita $14,341.
US GDP per capita $85,810
China bafo inapambana na umaskini. China ni KUBWA MASKINI. Ulishamwona mHong Kong, mMarekani, Mjerumani au mNorway Kariakoo akiuza kandambili kama walivyo wachina?
Taiwan iliwahi kuwa sehemu ya China??Sio woga ni hekima tena ya muda mrefu ,maana china ni taifa lina miaka zaidi ya elfu tatu.
Uingereza ndio waliiuza Hong Kong kwa China.Wee jamaa upo nyuma sana,.. Hong Kong ilishatwaliwa kijanja na china tena walipitisha sheria ya usalama wakadakwa watu kibao. Hong Kong NATO walipiga kelele sana wakawa wanasapoti maandamano china ikayatuliza kibabe na kuwadaka wahusika.
Taiwan ndio inafanyiwa mazoezi taratibu kaa kwa kutulia
Kamwe China haiwezi kuivamia Taiwan wala Hong Kong
China, India.. yalikua mataifa kabla mkoloni hajaendaWewe ni kiazi sana .unless hujasoma history kabisa ili liitwe taufa lazima liangaliwe lini lilikitwa taifa lini liliachana na wakoloni, mpuuzi wewe
USSR
Hong Kong na Taiwan ni sehemu zisizoweza kutenganishwa na ChinaUingereza ndio waliiuza Hong Kong kwa China.
China Gdp per capita $13,303
Taiwan GDP per capita $33,983
Hong Kong GDP per capita $54,107
Russia GDP per capita $14,341.
US GDP per capita $85,810
Hujajibu swali nililouliza.Hong Kong na Taiwan ni sehemu zisizoweza kutenganishwa na China
Kamwe China haiwezi kuivamia Taiwan wala Hong Kong
Hong Kong ni jimbo la ChinaHujajibu swali nililouliza.
Mkuu hizo ni porojo, hakuna mpango wa aina hiyo, hata kama hiyo ni kweli sioni Taifa lolote linalo weza kujiingiza kichwa kichwa kwenda kumusaidia Taiwan dhidi ya Uchina.Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni.
Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo lake?
China atakubali aibishwa na Taiwan?
Je washirika wa Taiwan watamsaidia?