Kamwe China haiwezi kuivamia Taiwan wala Hong Kong. Hivyp visiwa viwili vyenye utajiri halisia mkubwa kuliko wa China, vimejishikamanisha sana na mataifa ya Magharibi.
China haiwezi kukubali uchumi wake uvurugike. China inapambana sana na umaskini wa watu wake. China ndiyo Taifa pekee kubwa, lente watu wengi na GDP kubwa, lakini kiuhalisia bado ni maskini kwa sababu idafi kubwa ya watu wake wanaishi kwenye umaskini mkubwa:
China Gdp per capita $13,303
Taiwan GDP per capita $33,983
Hong Kong GDP per capita $54,107
Russia GDP per capita $14,341.
US GDP per capita $85,810
China bafo inapambana na umaskini. China ni KUBWA MASKINI. Ulishamwona mHong Kong, mMarekani, Mjerumani au mNorway Kariakoo akiuza kandambili kama walivyo wachina?