Kama ni mtoto wa china, mchina anasubiri nini sasa? anazingira zingira mwaka wa 3 sasa hajamgonga ata nziTaiwan ni mtoto wa China mfano wa Ukraine kwa Urusi! Taiwan inapewa kiburi na Washington lakini akianza kumwagiwa moto utaona marekani akibwekea mbali
Werevu hawaendi kwa mihemko kama wewe mkuu... Wewe kula magimbi nyamaza.Kama ni mtoto wa china, mchina anasubiri nini sasa? anazingira zingira mwaka wa 3 sasa hajamgonga ata nzi
Uongo mkuu,China haina uoga wowote ule dhidi ya USA.Wataishia kuzunguka tu China ni Taifa lenye hofu na woga wa hali ya juu kabisa linapokuja suala la kupambana na US kwenye vita., China wenyewe imezungukwa pia tayari nafkiri hii ndio sababu, jirani wa china kama Australia upande ule, South Korea, Japan na hao Taiwan wenyewe wote ni vibaraka wakuu wa US nadha na Philippines pia nakumbuka walisema iwapo US wataichapa china wao wako tayari ardhi ya itumike kuchapwa china
Taiwan ni mtoto wa US, ni kama vile mayahudi (Israel) wanapoingia kwenye vita humtegemea mume wao US kwa kila kitu ingawa Taiwan nao sio mbe sana kwenye technologia
Kwahiyo kama halikuwahi kutawaliwa halikuwahi kuitwa taifa!?Wewe ni kiazi sana .unless hujasoma history kabisa ili liitwe taufa lazima liangaliwe lini lilikitwa taifa lini liliachana na wakoloni, mpuuzi wewe
USSR
We ndio kiazi tena kitamuWewe ni kiazi sana .unless hujasoma history kabisa ili liitwe taufa lazima liangaliwe lini lilikitwa taifa lini liliachana na wakoloni, mpuuzi wewe
USSR
China imewahi kupigana na marekani muda mrefu sana tena kipindi hiyo China choka mbaya na marekani hakuweza kuitikisa China.Wataishia kuzunguka tu China ni Taifa lenye hofu na woga wa hali ya juu kabisa linapokuja suala la kupambana na US kwenye vita., China wenyewe imezungukwa pia tayari nafkiri hii ndio sababu, jirani wa china kama Australia upande ule, South Korea, Japan na hao Taiwan wenyewe wote ni vibaraka wakuu wa US nadha na Philippines pia nakumbuka walisema iwapo US wataichapa china wao wako tayari ardhi ya itumike kuchapwa china
Taiwan ni mtoto wa US, ni kama vile mayahudi (Israel) wanapoingia kwenye vita humtegemea mume wao US kwa kila kitu ingawa Taiwan nao sio mbe sana kwenye technologia
China iivamie Hong Kong ili iweje na wewe, ilihali jeshi la ulinzi la HK amri kuu inatoka BeijingKamwe China haiwezi kuivamia Taiwan wala Hong Kong
Taiwan ana washirika gani ?Makamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni.
Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo lake?
China atakubali aibishwa na Taiwan?
Je washirika wa Taiwan watamsaidia?
Subiri tuone japo sina hakika maana sio maneno mageni haya kwangu yamekuwa yakisemwa na viongozi wa jamhuri ya China karibu kila mwaka toka 1950sMakamu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Taiwan asema kuwa China iko karibu kuivamia, hii inatokana na mitikasi ya China kuizunguka Taiwan hivi karibuni.
Je Taiwan itaweza mzuia China asifanye jambo lake?
China atakubali aibishwa na Taiwan?
Je washirika wa Taiwan watamsaidia?
Usitamani vita. Umuhimu wa hilo eneo hasa kwa dunia ya tatu ni bora hivyo vita visitokeeWashirika wa Taiwan wapo hoi na vita vya Ukraine.... Pale Taiwan patakua pepesi sababu ni kisiwa, hivyo itawekwa marufuku ya meli yoyote kuja Taiwan au ndege kutua huku jicho la beidui likiwa linamulika chochote kinachojaribu kuingia Taiwan.
Hii mechi naitamani kwelikweli sababu naamini yataanza mazoezi ya kijeshi ya wafalme wawili wa mashariki yatakayoishia kukifunga hiki kisiwa
Mambo ya uchumi achia wachumi.Kamwe China haiwezi kuivamia Taiwan wala Hong Kong. Hivyp visiwa viwili vyenye utajiri halisia mkubwa kuliko wa China, vimejishikamanisha sana na mataifa ya Magharibi.
China haiwezi kukubali uchumi wake uvurugike. China inapambana sana na umaskini wa watu wake. China ndiyo Taifa pekee kubwa, lente watu wengi na GDP kubwa, lakini kiuhalisia bado ni maskini kwa sababu idafi kubwa ya watu wake wanaishi kwenye umaskini mkubwa:
China Gdp per capita $13,303
Taiwan GDP per capita $33,983
Hong Kong GDP per capita $54,107
Russia GDP per capita $14,341.
US GDP per capita $85,810
China bafo inapambana na umaskini. China ni KUBWA MASKINI. Ulishamwona mHong Kong, mMarekani, Mjerumani au mNorway Kariakoo akiuza kandambili kama walivyo wachina?
Mpaka sasa ni sehemu ya China Taiwan ni kisiwa ilipo Jamhuri ya ChinaTaiwan iliwahi kuwa sehemu ya China??
Muda wa Uingereza kuendelea kuitawala Hong-Kong ulikuwa umekwisha hakuna mauziano yoyote.Uingereza ndio waliiuza Hong Kong kwa China.
Taiwan iko more advanced kijeshi kuliko Ukraine. Wana ndege generation ya 5 kadhaa, HIMARS zipo, anti ships za kutosha na air defences. Mtanange utakuwa mzito sana hapo.Washirika wa Taiwan wapo hoi na vita vya Ukraine.... Pale Taiwan patakua pepesi sababu ni kisiwa, hivyo itawekwa marufuku ya meli yoyote kuja Taiwan au ndege kutua huku jicho la beidui likiwa linamulika chochote kinachojaribu kuingia Taiwan.
Hii mechi naitamani kwelikweli sababu naamini yataanza mazoezi ya kijeshi ya wafalme wawili wa mashariki yatakayoishia kukifunga hiki kisiwa
Ukraine nayo mlisema vivyo hivyo kikowapi?Taiwan (US,European Union)
Anavamiwa Na Nani?
Nancy Pelosi Alipita Kote Ikawa Sound, Aipige Tuone
Jeshi la Taiwan limejaa MSSTaiwan iko more advanced kijeshi kuliko Ukraine. Wana ndege generation ya 5 kadhaa, HIMARS zipo, anti ships za kutosha na air defences. Mtanange utakuwa mzito sana hapo.
Rudi kusoma tena kuhusu historia ya hiki kisiwaMpaka sasa ni sehemu ya China Taiwan ni kisiwa ilipo Jamhuri ya China
Nipe historia unayo ifahamu wewe.Rudi kusoma tena kuhusu historia ya hiki kisiwa