China: Marufuku kwa walio chini ya Miaka 18 kushiriki Mambo ya Dini

Tanzania kabla ya hizo dini maeneo kibao hayakuwa na dini na bado walikuwa maskini wa kutupwa, top ten ya matajiri Tanzania kwa miaka yote wote wana dini zao na hutokuta wasio na dini wakiwa kwenye hiyo list. Halafu si kwamba china watoto hawashiriki mambo ya dini kabisaa wanashiriki sema ni kwenye ngazi ya familia na si kwa maana ya kushiriki kwenye mifumo rasmi ya serikali.
Matajiri na Wanasiasa wanazitumia dini kwa maslahi yao zaidi kuwanufaisha.
 
Tanzania kabla ya hizo dini maeneo kibao hayakuwa na dini na bado walikuwa maskini wa kutupwa, top ten ya matajiri Tanzania kwa miaka yote wote wana dini zao na hutokuta wasio na dini wakiwa kwenye hiyo list. Halafu si kwamba china watoto hawashiriki mambo ya dini kabisaa wanashiriki sema ni kwenye ngazi ya familia na si kwa maana ya kushiriki kwenye mifumo rasmi ya serikali.
Wako kwenye dini kwa sababu jamii inataka hivyo
 
uhondotv_1703134874_3262454245259666358_3065884603.jpg

Ipigwe marufuku pia kwa watoto kuingizwa kwenye siasa.
 
Tofautisha imani na dini

Udini ni scum kama unayosema ila imani si kitu cha urithi, ni safari ya kumtafuta Mungu na ukweli as an individual

Wengi huishia kwenye udini, hasa Islam ā˜Ŗļø ndio maana Jihad kwao ni sekunde mbili.
 
Back
Top Bottom