China: Marufuku kwa walio chini ya Miaka 18 kushiriki Mambo ya Dini

Matajiri na Wanasiasa wanazitumia dini kwa maslahi yao zaidi kuwanufaisha.
 
Wako kwenye dini kwa sababu jamii inataka hivyo
 
Tofautisha imani na dini

Udini ni scum kama unayosema ila imani si kitu cha urithi, ni safari ya kumtafuta Mungu na ukweli as an individual

Wengi huishia kwenye udini, hasa Islam ☪️ ndio maana Jihad kwao ni sekunde mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…