John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Mifumo gani?Hapa tunaongelea adhabu zilizo katika mifumo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mifumo gani?Hapa tunaongelea adhabu zilizo katika mifumo
Hawa jamaa uwaambii lolote kuhusu china Xi JinpingUrafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili.
Pia soma:
DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
China inasifika duniani kwa kupoka uhuru wa raia wake bila kujali uhuru na haki za binadamu. Mauaji ya waislam wa Rohingia na mateso ya wale wote wanaoipinga serikali yao ni jambo linalosabihisha unyama na sera za kimabavu za China dhidi ya raia wake.
Pia soma:
Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
China ndio ya kwanza duniani kwa UKIUKWAJI wa haki za binadamu duniani. Hao ndio marafiki wqkubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka kwenye utawala huo?
Ukitembea na mwizi.....
Hawa jamaa uwaambii lolote kuhusu china Xi Jinping
@ideo
China inasifika duniani kwa kupoka uhuru wa raia wake bila kujali uhuru na haki za binadamu. Mauaji ya waislam wa Rohingia
Iko MyanmarSiku gani haikuwa china
CCM ni kusanyiko la majitu madhalimCcm ni chama cha ajabu sana. Kila uchafu u apatikana huko.