Inanikumbusha utotoni watoto walivyokuwa wakichonganishwa ili wapigane!! Kisa eti ni kuonesha tu nani zaidi!! Hizi lugha za uchonganishi hazina tija kwa dunia. Kumbuka tuna dunia moja tu!! Hakuna pa kukimbilia!! Kikinuka china na marekani Tz siyo mbali!! Athari za vita vya nyuklia ni za dunia nzima!! Wenye akili zao wanalijua hilo!!
Tuishukuru China kwa kujali mustakabali wa dunia zaidi kuliko mustakabali wa china peke yake!! Vinginevyo yule bibi angetangulizwa kwenda mahali ambapo keshakaribia sana kufika kwa vyovyote vile!! Ana miaka 82 unategemea kabakiza miaka mingapi? Aachwe tu amalizie siku zake!! Mungu atamhukumu mwenyewe kwa matendo yake ambayo almanusura yaitumbukize dunia kwenye janga!!