China vs U.S, utengenezaji wa meli za kibiashara: Kwa mwaka, China inaunda meli zaidi ya 1,700 huku Marekani ikiunda meli 5 tu.

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Ship building ni moja ya sekta muhimu sana kwa uchumi wa nchi na usalama wa taifa.
  • Wakati Marekani kwa wastani inazalisha meli 5 kwa mwaka China inazalisha meli 5 kwa siku!​
  • Kwa sasa China inazalisha meli mara 340 hivi zaidi ya Marekani​
  • Shipyards za China kwa ujumla zinazalisha zaidi ya 23 millions tons, wakati za Marekani zinalizalisha chini ya 100,000 tons​
  • 95% ya shipping container unazoziona baharini ni China made​
  • Katika soko la dunia China inashikilia nafasi ya kwanza kwa zaidi ya 50% katika global ship building huku Marekani ikiwa nafasi ya 19 kwa 0.1%​

  • Mwaka 2024, China ilikuwa na oda za meli 1,794 kubwa za kibiashara, Korea Kusini ilikuwa na 734, Japan ilikuwa na 587 uliza Marekani ilikuwa na ngapi? Ilikuwa na 5 tu!​
  • Mwaka 2024 China ilikuwa na zaidi ya meli 5,000 za kibiashara baharini, wakati U.S flagged merchant fleet zilikuwa 177 pekee.​
  • Mwaka 2024 shipyard moja tu ya China iliunda meli nyingi za kibiashara kwa tani kuliko shipyards zote zilizo Marekani zikiunganishwa tangu WWII.​

20250313_005614.png

Kwa sasa China ina uwezo mkubwa zaidi wa kutengeneza meli kuliko taifa lolote duniani, hata kuliko nchi 5 zilizo chini yake zikiunganishwa.
  • Makampuni ya kutengeneza meli, ikiwa ni pamoja na makampuni yaliyo katika nchi nyingi washirika wa Marekani kama Denmark, Ufaransa, Greece, Japan, Singapore na South Korea hununua 75% ya critical components za kutengeneza meli kutoka China.​

Katika shipyards zilizo China serikali ya China imefanya kitu kinachoitwa Military-Civil Fusion (MCF) strategy.
  • Yaani imeunganisha uzalishaji wa kibiashara na kijeshi katika shipyards na kuipa PLA Navy (China Navy) miundombinu ya kutengeneza meli vita. Hii imefanya PLA Navy kuwa ya kisasa na kupunguza gharama.​

Baada ya mambo kuwa magumu kwa Marekani imeanza kujaribu kuingia ubia na South Korea na Japan ili wapate tech transfer kunyanyua US ship building industry.
  • Kwa mfano Hanwa Ocean kampuni ya South Korea imenunua shipyard katika jimbo la Philadelphia kwa USD 100 mln. Na imeingia mkataba na U.S Navy kutumia hiyo shipyard kwa ajili ya maintenance and repair ya meli vita zilizozeeka za Marekani.

    Hata iwe kwa msaada kutoka kwa makampuni ya Asia kama S.K na Japan inaweza kuchukua miaka mingi sana Marekani ili kuziba pengo na China katika ship building industry.​

Inashangaza kuwa Trump anapendekeza kupanua ship building industry ya Marekani eti ishindane na China huku ameongeza tariffs kwa imported steel na aluminium zinazotumika kutengeneza meli hizo.

Ili kutimiza ndoto yake, labda aifanye South Korea na Japan kuwa majimbo ya 52 na 53 ya Marekani.

China has become global powerhouse in ship building industry.

Rising Dragon fading Eagle.
 
Washauri wa Trumpet wa kiuchumi na kibiashara wamempa pendekezo kuwa Marekani iongeze fees hadi USD 1 million kwa meli yoyote iliyotengenezwa China au iliyotengenezwa kwa kutumia vifaa au components za China ikitia nanga bandari za Marekani.

Pia ikiwa kampuni yoyote ya shipping ina meli zilizotengenezwa China kwenye fleet yake itatakiwa ilipe hiyo fees ikitia dock kwenye bandari za Marekani hata kama meli zao zilizotengenezwa China hazitatumika kwenda Marekani

Wanadhani kwa kufanya hivyo wataua soko la meli za China ili kampuni za shipping zianze kuorder meli zao zitengenezwe na kampuni za S.K na Japan au za Marekani wakishajipata kwenye ship building

Inasemekana China nao wana mpango kuwa ikiwa Marekani itafanya hivyo basi serikali ya China nayo itatoza fees kufikia USD 1 million kwa ndege ya Boeing au kampuni yoyote yenye ndege za Boeing kwenye fleet yake itakayotua kwenye viwanja vya ndege vya China Mainland au Hong Kong na Macau.
“If war is what the US wants, be it a tariff war, a trade war or any other type of war, we're ready to fight till the end.”
– China’s Embassy in the United States

The game is brutal but still fair
 
Ship building ni moja ya sekta muhimu sana kwa uchumi wa nchi na usalama wa taifa.
  • Wakati Marekani kwa wastani inazalisha meli 5 kwa mwaka China inazalisha meli 5 kwa siku!​
  • Kwa sasa China inazalisha meli mara 340 hivi zaidi ya Marekani​
  • Shipyards za China kwa ujumla zinazalisha zaidi ya 23 millions tons, wakati za Marekani zinalizalisha chini ya 100,000 tons​
  • 95% ya shipping container unazoziona baharini ni China made​
  • Katika soko la dunia China inashikilia nafasi ya kwanza kwa zaidi ya 50% katika global ship building huku Marekani ikiwa nafasi ya 19 kwa 0.1%​

  • Mwaka 2024, China ilikuwa na oda za meli 1,794 kubwa za kibiashara, Korea Kusini ilikuwa na 734, Japan ilikuwa na 587 uliza Marekani ilikuwa na ngapi? Ilikuwa na 5 tu!​
  • Mwaka 2024 China ilikuwa na zaidi ya meli 5,000 za kibiashara baharini, wakati U.S flagged merchant fleet zilikuwa 177 pekee.​
  • Mwaka 2024 shipyard moja tu ya China iliunda meli nyingi za kibiashara kwa tani kuliko shipyards zote zilizo Marekani zikiunganishwa.​

View attachment 3268498
Kwa sasa China ina uwezo mkubwa zaidi wa kutengeneza meli kuliko taifa lolote duniani, hata kuliko nchi 5 zilizo chini yake zikiunganishwa.
  • Makampuni ya kutengeneza meli, ikiwa ni pamoja na makampuni yaliyo katika nchi nyingi washirika wa Marekani kama Denmark, Ufaransa, Greece, Japan, Singapore na South Korea hununua 75% ya critical components za kutengeneza meli kutoka China.​

Katika shipyards zilizo China serikali ya China imefanya kitu kinachoitwa Military-Civil Fusion (MCF) strategy.
  • Yaani imeunganisha uzalishaji wa kibiashara na kijeshi katika shipyards na kuipa PLA Navy (China Navy) miundombinu ya kutengeneza meli vita. Hii imefanya PLA Navy kuwa ya kisasa na kupunguza gharama.​

Baada ya mambo kuwa magumu kwa Marekani imeanza kujaribu kuingia ubia na South Korea na Japan ili wapate tech transfer kunyanyua US ship building industry.
  • Kwa mfano Hanwa Ocean kampuni ya South Korea imenunua shipyard katika jimbo la Philadelphia kwa USD 100 mln. Na imeingia mkataba na U.S Navy kutumia hiyo shipyard kwa ajili ya maintenance and repair ya meli vita zilizozeeka za Marekani.

    Hata iwe kwa msaada kutoka kwa makampuni ya Asia kama S.K na Japan inaweza kuchukua miaka mingi sana Marekani ili kuziba pengo na China katika ship building industry.​

Inashangaza kuwa Trump anapendekeza kupanua ship building industry ya Marekani eti ishindane na China huku ameongeza tariffs kwa chuma na aluminium inayotumika kutengeneza meli hizo.

Ili kutimiza ndoto yake, labda aifanye South Korea na Japan kuwa majimbo ya 52 na 53 ya Marekani.

China has become global powerhouse in ship building industry.

Rising dragon fading Eagle.
Tanzania tumepelwka MV Magogoni Mombasanikakarabatiwe, aibu GANI hii?
 
Pamoja na kuwasifia kote huko............walinunua meli kubwa kutoka ukrain kwa kudanganya kuwa wanataka kuifanya hotel ya baharini kumbe lengo kuifanya iwe meli kubwa ya kijeshi kama zile za marekani ..... si wanateknolojia wale mbona kutengeneza meli kubwa za kupaki ndege wamenunua kwa ukrein?? Hapa jibu ni moja wanateknolijia lakini ya kujenga mitumbwi na viboti sio kama yale ma uss Abraham au ile midude ya nyuklia inayo kaa baharini mpaka mwaka au miaka bila kuongeza mafuta. ...baada ya kununua ile meli ya Ukraine kwa udanganyifu kupitia mfanyabiara wa hotel ndio na wao china wakawa na meli ya kivita ya kwanza duniani maana walikuwa wanamiliki mitumbwi na maboti ya kuvulia samaki....... wakati marekani hiyo teknolojia ipo kwa zaidi ya miaka 100 nyuma........bro wewe endelea na wachina mimi niko calfornia ambayo uchumi wake unaweza kuunganisha Hong Kong na Beijing kwa mara moja ndio waifikie hata baada ya kuungua sehemu........marekani kwa teknolojia ni baba wa dunia maana mpaka leo china hana hata ndege za kibishara ambazo anatengenezea watu .......ila western wanauza global miaka nenda rudi hawana mshindani ........labda urusi kidogo ila wanasema za urusi ni kama gari basi Fiat au Isuzu maana haziko comfortable.....viva us viva mwa tirump
 
Usisahau ubora, wachina wame-base kwenye quantity
Unajua kuwa meli hununui kama gari? Huwa shipping companies wanaweka order kwa manufacturers.

Unataka kusema hizi shipping companies hapa zenye utajiri wa billions of dollars wana risk biashara zao kwa kuorder low quality ships kutoka China? Hakuna kampuni hapo inakosa China made ships kwenye fleet yake
●MAERSK (Denmark)
●MSC (Swirtzeland)
●CMA CGM (France)
COSCO (China)
HAPAG-LLOYD (Germany)
●ONE (Japan)
●EVERGREEN (Taiwan)
●ZIM (Israel)

Shipyards za China zinapata order nyingi kwa sababu ya quality, kuwa on time kukamilisha kuunda meli. Hakuna kampuni zinazofikia China kwa kuunda faster meli duniani ndio maana shipping companies wanapenda kwenda China

Pia application of cutting edge tech na reasonable price
 
Binafsi naona China wapo vizuri kwenye technology na Engineering kuliko taifa lolote hata US. Ukiangalia wao ndo wa kwanza kutengeneza hypersonic bombs, wametengeneza maglev trains ( treni zinazoelea) na pia wametengeneza treni zinazopita katikati ya majengo bila kuisahau Deepseek AI inayoongoza sasa hivi.

Nakubali China wanatengeneza fake items ila kwenye vitu serious kama meli wapo vizuri ndo maana wanapokea order nyingi.
 
US haiwezi shindana na China kwenye manufacturing ya chochote kile.
Inaishinda China kwa standard of living, better life, democracy
Dah mpka hapa nimesuzika roho yangu kweli jf ni kisima mtoa mada umeitendea haki umekuja na data sio blah blah na wachangiaji wanamwaga nondo ahsanteni jamani naomba kama hujui kitu usilete habari zako za kuota umeshiba pita soma chukua maarufa
 
Pamoja na kuwasifia kote huko............walinunua meli kubwa kutoka ukrain kwa kudanganya kuwa wanataka kuifanya hotel ya baharini kumbe lengo kuifanya iwe meli kubwa ya kijeshi kama zile za marekani ..... si wanateknolojia wale mbona kutengeneza meli kubwa za kupaki ndege wamenunua kwa ukrein?? Hapa jibu ni moja wanateknolijia lakini ya kujenga mitumbwi na viboti sio kama yale ma uss Abraham au ile midude ya nyuklia inayo kaa baharini mpaka mwaka au miaka bila kuongeza mafuta. ...baada ya kununua ile meli ya Ukraine kwa udanganyifu kupitia mfanyabiara wa hotel ndio na wao china wakawa na meli ya kivita ya kwanza duniani maana walikuwa wanamiliki mitumbwi na maboti ya kuvulia samaki....... wakati marekani hiyo teknolojia ipo kwa zaidi ya miaka 100 nyuma........bro wewe endelea na wachina mimi niko calfornia ambayo uchumi wake unaweza kuunganisha Hong Kong na Beijing kwa mara moja ndio waifikie hata baada ya kuungua sehemu........marekani kwa teknolojia ni baba wa dunia maana mpaka leo china hana hata ndege za kibishara ambazo anatengenezea watu .......ila western wanauza global miaka nenda rudi hawana mshindani ........labda urusi kidogo ila wanasema za urusi ni kama gari basi Fiat au Isuzu maana haziko comfortable.....viva us viva mwa tirump
Kina ww ndio tuliosema kama hujui kitu usilete habari za kwenye kitchen party mnaboa huna data unapayuka Ukraine hzo meli na former USSR Ukraine hajawahipo tengeneza meli wakt wa mungano viwanda viliwekezwa Ukraine sasa ww mtu yupo space huko anashindwaje kujenga machma hata song or Marine pale kigamboni anaweza usilete mada zankusutana tunataka data/ reliable sources wala hatulinganishi eti Trump mtu ana mwez madarakani against China isiyotawaliwa na mkoloni
 
Unajua kuwa meli hununui kama gari? Huwa shipping companies wanaweka order kwa manufacturers.

Unataka kusema hizi shipping companies hapa zenye utajiri wa billions of dollars wana risk biashara zao kwa kuorder low quality ships kutoka China? Hakuna kampuni hapo inakosa China made ships kwenye fleet yake
●MAERSK (Denmark)
●MSC (Swirtzeland)
●CMA CGM (France)
COSCO (China)
HAPAG-LLOYD (Germany)
●ONE (Japan)
●EVERGREEN (Taiwan)

Shipyards za China zinapata order nyingi kwa sababu ya quality, kuwa on time kukamilisha kuunda meli. Hakuna kampuni zinazofikia China kwa kuunda faster meli duniani ndio maana shipping companies wanapenda kwenda China

Pia application of cutting edge tech na easonable price
Wambie hao vibwengo wao wakinunua kiatu made in China vikakatika a week wanaona China iko hvo China yupo moro quality kuliko yyte halafu anasaidiwa na affordable price
 
Ship building ni moja ya sekta muhimu sana kwa uchumi wa nchi na usalama wa taifa.
  • Wakati Marekani kwa wastani inazalisha meli 5 kwa mwaka China inazalisha meli 5 kwa siku!​
  • Kwa sasa China inazalisha meli mara 340 hivi zaidi ya Marekani​
  • Shipyards za China kwa ujumla zinazalisha zaidi ya 23 millions tons, wakati za Marekani zinalizalisha chini ya 100,000 tons​
  • 95% ya shipping container unazoziona baharini ni China made​
  • Katika soko la dunia China inashikilia nafasi ya kwanza kwa zaidi ya 50% katika global ship building huku Marekani ikiwa nafasi ya 19 kwa 0.1%​

  • Mwaka 2024, China ilikuwa na oda za meli 1,794 kubwa za kibiashara, Korea Kusini ilikuwa na 734, Japan ilikuwa na 587 uliza Marekani ilikuwa na ngapi? Ilikuwa na 5 tu!​
  • Mwaka 2024 China ilikuwa na zaidi ya meli 5,000 za kibiashara baharini, wakati U.S flagged merchant fleet zilikuwa 177 pekee.​
  • Mwaka 2024 shipyard moja tu ya China iliunda meli nyingi za kibiashara kwa tani kuliko shipyards zote zilizo Marekani zikiunganishwa.​

View attachment 3268498
Kwa sasa China ina uwezo mkubwa zaidi wa kutengeneza meli kuliko taifa lolote duniani, hata kuliko nchi 5 zilizo chini yake zikiunganishwa.
  • Makampuni ya kutengeneza meli, ikiwa ni pamoja na makampuni yaliyo katika nchi nyingi washirika wa Marekani kama Denmark, Ufaransa, Greece, Japan, Singapore na South Korea hununua 75% ya critical components za kutengeneza meli kutoka China.​

Katika shipyards zilizo China serikali ya China imefanya kitu kinachoitwa Military-Civil Fusion (MCF) strategy.
  • Yaani imeunganisha uzalishaji wa kibiashara na kijeshi katika shipyards na kuipa PLA Navy (China Navy) miundombinu ya kutengeneza meli vita. Hii imefanya PLA Navy kuwa ya kisasa na kupunguza gharama.​

Baada ya mambo kuwa magumu kwa Marekani imeanza kujaribu kuingia ubia na South Korea na Japan ili wapate tech transfer kunyanyua US ship building industry.
  • Kwa mfano Hanwa Ocean kampuni ya South Korea imenunua shipyard katika jimbo la Philadelphia kwa USD 100 mln. Na imeingia mkataba na U.S Navy kutumia hiyo shipyard kwa ajili ya maintenance and repair ya meli vita zilizozeeka za Marekani.

    Hata iwe kwa msaada kutoka kwa makampuni ya Asia kama S.K na Japan inaweza kuchukua miaka mingi sana Marekani ili kuziba pengo na China katika ship building industry.​

Inashangaza kuwa Trump anapendekeza kupanua ship building industry ya Marekani eti ishindane na China huku ameongeza tariffs kwa chuma na aluminium inayotumika kutengeneza meli hizo.

Ili kutimiza ndoto yake, labda aifanye South Korea na Japan kuwa majimbo ya 52 na 53 ya Marekani.

China has become global powerhouse in ship building industry.

Rising dragon fading Eagle.
Ila llinapokuja suala la durability na reliability mchina yuko chini sana
 
Pamoja na kuwasifia kote huko............walinunua meli kubwa kutoka ukrain kwa kudanganya kuwa wanataka kuifanya hotel ya baharini kumbe lengo kuifanya iwe meli kubwa ya kijeshi kama zile za marekani
Unazungumzia meli iliyonunuliwa na kufanywa Liaoning carrier.

Hili ni jambo la kawaida katika ship building industry, Naval na marine.

Unashangaa hilo wakati carrier kubwa ya Marekani Gerard R. Ford inategemea zaidi ya semiconductors 6,500 zilizotengenezwa China kufanya kazi.

U.S Navy ni wanunuzi wazuri wa critical components za meli zao kutoka China

Hiyo meli ilitengenezwa lakini haikuwa imekamilika China waliinunua ikapelekwa Dalian Shipyard China, wakaikarabati na kuifanya carrier

Na China wanazo carriers ambazo ni China made kama Shandong (type 002) na Fujian (type 003) ambazo ni kubwa na za kisasa kuliko Liaoning (type 001)
 
Upatikanaji wa Maligafi inaweza kuwa ndio tatizo la US.
Kwa haya nayo yasikia kuhusu congo na US wataingia mkataba na kuimalisha ulinzi.
China ajiandae kisaikolojia swala la maligafi atapigiwa huko huko ushuru
 
Ila llinapokuja suala la durability na reliability mchina yuko chini sana
Macron alienda China mwaka 2023 akaingia mkataba na Dalian shipyard ya China kuitengenezea kampuni ya Ufaransa CMA CGM meli za LNG zenye thamani ya US$ 4 BLN

Meli za LNG ni mojawapo ya meli zinazotaka manufacturer awe ana sophisticated tech. Unafikiri raisi wa Ufaransa Macron alikurupuka?

Qatar wakaipa kandarasi kampuni hiyohiyo ya China kutengeneza meli kubwa duniani ya kubeba LNG yenye thamani ya $ 5.4 billion

Don't undervalue China kwenye ship building industry.

Wazungu na Waarabu hawakurupuki kuweka billions of dollars kwa Chinese ship manufacturers wakati wanajua kuna S.K na Japan
 
Macron alienda China mwaka 2023 akaingia mkataba na Dalian shipyard ya China kuitengenezea kampuni ya Ufaransa CMA CGM kutengenezewa meli za LNG zenye thamani ya US$ 4 BLN

Meli za LNG ni mojawapo ya meli zinazotaka manufacturer awe ana sophisticated tech. Unafikiri raisi wa Ufaransa Macron alikurupuka?

Qatar wakaipa kandarasi kampuni hiyohiyo ya China kutengeneza meli kubwa duniani ya kubeba LNG yenye thamani ya $ 5.4 billion

Dont underestimate China kwenye ship building industry.

Wazungu na Warabu hawakurupuki kuweka billions of dollars kwa Chinese ship manufacturers wakati wanajua kuna S.K na Japan
Ishu ni gharama tu, wafanyakazi China wanalipwa kidogo na kufanya gharama za uzalishaji kuwa chini sana.
 
Upatikanaji wa Maligafi inaweza kuwa ndio tatizo la US.
Kwa haya nayo yasikia kuhusu congo na US wataingia mkataba na kuimalisha ulinzi.
China ajiandae kisaikolojia swala la maligafi atapigiwa huko huko ushuru
Tatizo la Marekani sio malighafi tu ni suala zima la supply chain na skilled personnel kwenye ship building na ndio maana inakimbilia kufanya joint venture na S.K na Japan kupata technical knowhow ya hiyo industry

Marekani itahitaji miongo kadhaa mbele ili kufufua ship building yake. Sio suala la overnight process na hapo itategemea sera za maraisi watakaokuja baaada ya Trump

Kuwekeza kwenye utengenezaji wa meli kunataka miundombinu ya hali ya juu na technology

Nani alikwambia China inahitaji madini ya Congo kwa ajili ya ship building industry?
 
Back
Top Bottom