China wafanya majaribio ya treni ya speed 1,000km/h

Speed kubwa sana hiyo lakini bado haita tosha itaongezwa tena kadiri muda unavyozidi songa
Scientist and engineer think of hyperdonic speed train, airplane,car nk. Watakaoishi miaka 100 ijayo watashuhudia vyote.
Elon musk anampango wa kuwa anafyatua rocket zilizobeba watu, hizi xitakuwa maalumu kwa usafirishaji.

Miaka 20 ijayo tunaweza kushuhudia maana tayari ana self landing rocket, zinahitajika modification chache tu, tuanze kufyatuliwa kwenye rocket. Wale waoga huu usafiri hauta wafaa.
 
Misri to SA kama masaa 7. Waaafrika wajiunge nchi zote ijengwe kutoka kaskazini hadi kusini halafu kuwe na dirvesion ya East Africa na West Africa. Nchi zitaendelea haraka sana.
Wazo zuri sana kama likizingatiwa kwa umakini na uwajibikaji wa hali ya juu ukawepo pamoja na usimamizi uliobora wa huo mradi ili uzae matunda bora
 
Kuna watu watasema mchina mwiz wa teknolojia

Fastest Train in the World – 357.2 MPH​

The current world speed record for a commercial train on steel wheels is held by the French TGV at 574.8 km/h (357.2 mph), achieved on 3 April 2007 on the new LGV
 
Weka video mkuu
 
Muda ni uchumi, lengo ni kupunguza masaa ya kusafirisha abiria na mizingo ili kuchochea zaidi ukuaji wa kasi wa uchumi pia maisha bora ni jambo la msingi
hakuna cha muda uchumi sijui nini binadamu tumejaa vurumai nyingi sasa hio speed kubwa hivo hao waliomo huko ndani si watatoka kila kiungo cha mwili kimehama eneo lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…