China wamezindua 6th Gen Jet Figher inaitwa Baidi: Ina uwezo wa kuoperate kwenye air na Space!

F-35 ina variants tatu zote zimetoka kwa pamoja. Kila variant ina kazi yake nyingine ya Airforce, nyingine ya Navy na nyingine ya Marines.

Su-57 haiwezi kuwa hivyo sababu Urusi kwanza aircraft carrier yake ile inayotoa moshi kama mashine ya kusaga bado haijakamilika ukarabati tangu 2017. Na Urusi haina stealth carrier based fighter kama ilivyo F-35B na F-35C. Urusi ina Su-33 kama variant ya Su-30 kwenye carrier.

Mig-31 ya Warusi ina tani 46 kama kifaru na husemi, unakuja kuisema F-35 yenye tani 26
tani 46 ni maxmum takeoff weight..

Halafu hapa tuzingumzie ndege zenye kufanya roles zinazofanana, mig 31 ni interceptor ndio maana ina kasi kuliko hata F22, lakini zina role tofauti...

Russia wanatoa vyuma haswa, ni vile US ni mnoko na mnafiki ambae hataki wenzie wafanye biashara, ndio mmana kuna nchi alianza kuzikoromea kutaka kununu S400...

Su 57 ni mashine haswa...
 
Ndio maana nikakwambia kwamba ubora wa ndege haupimwi kwa kuuzwa au kununuliwa sana kama ulivyosema kwa f 35 zile ndege za mchongo
Leo hata China atoe ndege superior kuliko ndege zote alizonazo US za kijeshi, wataanza kuwaambia nchi washirika kuanzia Canada, UK, Australia n.k kwamba wasinunue...

Kwani issue ya 5G ilikuwaje... Hivi hivi... Kuuzwa kwa F35 sio kwamba ni bora ni kwa sababu ni suala la kisiasa zaidi kuliko ubora wa bidhaa.
 
Wewe ndiye umeingiza masuala ya lockheed martin...

Wachina na hii project yao ya 6th gen fighter, na kama wamesema itakwenda kwenye space jua ndivyo itakakavyokua , hao jamaa hawana uswahili wa kipuuzi, kaa ushuhudie ndege ya kisasa F35 inakuwa phased out wakati imetoka juzi tu...

Chinese waliwapita hata kwenye 5G, zikaanza kamati ikiongoza US, Qualcomm ilikuwa imepitwa kwa tech ya 5G...

Kama wamesema watatoa hio 6th gen fighter jet ndivyo itakuwa.

Mchina simkubali kwenye baadhi ya vitu, lakini kwa tech na speed wanayoionyesha wanatisha...

Hapo lockheed kapigwa dole la kati, atulie tu mje muangalie ndege inakwenda kwenye space...
Wachina wamesema hiyo ndege itaenda kwenye space. Ni maneno yaliyosemwa kwa waandishi wa habari waliolitazama mockup la ndege. Mock up hilo au tuseme mfano/mdoli wa chuma wa ndege ambayo sio lazima ije kuwa hivyo ndio kwanza hata kazi haijaanza first flight hamna wala taxiing hamna. Wakimaliza maonyesho wataleta mkokoteni walisukume walirudishe ndani.

Wakati huo, Marekani imeishazindua 6th generation stealth bomber B-21 Raider ambayo imekuwa kwenye uundaji tangu 2011. Wakati bado China haina 5th generation bomber kama B-2 Spirit iliyoundwa na Marekani na ikatumika tangu 1987.

China imelipa deni la F-22 kwa J-20, ni miaka 30 hivi baadae. Ikalipa deni la F-35 kwa J-35 mwaka huu miaka zaidi ya 10 na bado J-35 sio operational inapigiwa picha kwanza iko kwenye testing hata kutengeneza za matumizi bado, kwahiyo gap itakuwa zaidi ya 15yrs.
China inatakiwa ilipe deni la B-2, itoke ije B-21, itoke iwaze NGAD kisha iwaze hii 6th gen fighter. Wakati wanatangaza hii yao mwaka huu NGAD imetangazwa mwaka 2014.

Yani Wachina mpaka leo strategic bomber yao ni Xian H-6K ndege imetolewa kwa kukopi Tupolev Tu-16 ya Mrusi iliyoundwa Nyerere akivaa kaptula analala kwa kina Abdul Sykes ndio mnavimbisha kichwa kwenye masuala ya zana za kivita angani?
 
tani 46 ni maxmum takeoff weight..

Halafu hapa tuzingumzie ndege zenye kufanya roles zinazofanana, mig 31 ni interceptor ndio maana ina kasi kuliko hata F22, lakini zina role tofauti...

Russia wanatoa vyuma haswa, ni vile US ni mnoko na mnafiki ambae hataki wenzie wafanye biashara, ndio mmana kuna nchi alianza kuzikoromea kutaka kununu S400...

Su 57 ni mashine haswa...
Hata tani 27 za F-35 ni MTOW.

Okay basi tulinganishe ndege zinazofanana. Kama unacheka tani 27 za F-35 ni nyingi, vipi tani 35 za Su-57? 😂

Russia wanatoa vyuma kweli na sio ndege haswa. Ndio maana Su-57 haina injini yake mpaka leo. Kiufupi ni hivi, bado Su-57 haijakamilika development hata missile systems zake bado.
 
Ndio maana nikakwambia kwamba ubora wa ndege haupimwi kwa kuuzwa au kununuliwa sana kama ulivyosema kwa f 35 zile ndege za mchongo
Yani nitengeneze magari niuze idadi gari 1,000 tena yana bei kubwa kuliko ya kwako uliyotengeneza ila hujauza hata gari moja kisha useme nisitangaze ubora kwa kuangalia mauzo. Kama yako ni bora kwanini usiuze na yapo showroom na bei ni chini?

Ni vigezo gani unatumia kusema F-35 sio bora wakati haijawahi shindwa tender hata moja. Na imechaguliwa na nchi tofauti kama 8+
 
Wachina wamesema hiyo ndege itaenda kwenye space. Ni maneno yaliyosemwa kwa waandishi wa habari waliolitazama mockup la ndege. Mock up hilo au tuseme mfano/mdoli wa chuma wa ndege ambayo sio lazima ije kuwa hivyo ndio kwanza hata kazi haijaanza first flight hamna wala taxiing hamna. Wakimaliza maonyesho wataleta mkokoteni walisukume walirudishe ndani.

Wakati huo, Marekani imeishazindua 6th generation stealth bomber B-21 Raider ambayo imekuwa kwenye uundaji tangu 2011. Wakati bado China haina 5th generation bomber kama B-2 Spirit iliyoundwa na Marekani na ikatumika tangu 1987.

China imelipa deni la F-22 kwa J-20, ni miaka 30 hivi baadae. Ikalipa deni la F-35 kwa J-35 mwaka huu miaka zaidi ya 10 na bado J-35 sio operational inapigiwa picha kwanza iko kwenye testing hata kutengeneza za matumizi bado, kwahiyo gap itakuwa zaidi ya 15yrs.
China inatakiwa ilipe deni la B-2, itoke ije B-21, itoke iwaze NGAD kisha iwaze hii 6th gen fighter. Wakati wanatangaza hii yao mwaka huu NGAD imetangazwa mwaka 2014.

Yani Wachina mpaka leo strategic bomber yao ni Xian H-6K ndege imetolewa kwa kukopi Tupolev Tu-16 ya Mrusi iliyoundwa Nyerere akivaa kaptula analala kwa kina Abdul Sykes ndio mnavimbisha kichwa kwenye masuala ya zana za kivita angani?
Nchi za Ulaya, haziwezi kununua ndege za China za kijeshi, China sio kwamba wanashindwa kutengeneza ndege nyingi na kuziuza, lakini ni kamati inayofanywa na US, China kutoa hio J35 ni kuonyesha uwezo wanao kufanya hivyo na si kibiashara...

Narudia tena walitoa transmitters za 5G wakapigwa marufuku...
 
Yani nitengeneze magari niuze idadi gari 1,000 tena yana bei kubwa kuliko ya kwako uliyotengeneza ila hujauza hata gari moja kisha useme nisitangaze ubora kwa kuangalia mauzo. Kama yako ni bora kwanini usiuze na yapo showroom na bei ni chini?

Ni vigezo gani unatumia kusema F-35 sio bora wakati haijawahi shindwa tender hata moja. Na imechaguliwa na nchi tofauti kama 8+
Ishu kubwa ni kwamba wenye uwezo wakununua ndege za Urusi hawaruhusiwi kununua ndege za mrusi na wanaotaka kununua vikwazo viiingi kama turkey
 
Huwa nashanga watu wanaoipa sifa nyingi F-35 ambayo single engine setup

F-35 ni single engine na J-35 twin engine with stealth tech

I go for J-35 any day

J-35 inaenda kuwa a cheaper alternative to the F-35
Hii j-35 ambayo juzi kwenye show ilikuwa inamwaga moshi kama garimoshi? 🤣🤣🤣
Angalieni vya kutetea
 
Ishu kubwa ni kwamba wenye uwezo wakununua ndege za Urusi hawaruhusiwi kununua ndege za mrusi na wanaotaka kununua vikwazo viiingi kama turkey
US ni wakali ku hype bidhaa zao, bidhaa inakuwa hyped hadi unahisi itakuwa na u special flani, njoo uweke kwenye ufanyaji kazi ndipo utacheka...

Iron dome ilikuwa hyped yako wapi? Inapigwa kila siku na migambo wa hezbollah... Vifaru vya abrams huko Ukraine vinapigwa kama makopo, ila ungesikia abrams zinavyo kuwa zinazungumziwa, ungesema ni kifaru kutoka sayari nyingine.

Merkava nayo walisema story hizo hizo kwenye mapambano inapigwa na roketi za kienyeji za hamas zinatengengenezwa sebuleni...

Sukhoi uwanja wa mapambano utashangaa inachofanya...
 
Hizo sukhoi zinazotunguliwa hapo ukraine kama njiwa? 🤣
Umeiona S-57? 🤣
View: https://x.com/clashreport/status/1853403110657409363?t=bYZ8Oj0jUGqY8QP6GmgN1w&s=19
 
Nchi za Ulaya, haziwezi kununua ndege za China za kijeshi, China sio kwamba wanashindwa kutengeneza ndege nyingi na kuziuza, lakini ni kamati inayofanywa na US, China kutoa hio J35 ni kuonyesha uwezo wanao kufanya hivyo na si kibiashara...

Narudia tena walitoa transmitters za 5G wakapigwa marufuku...
China hana ndege ya kuuza Ulaya. Flankers zote hawezi uza Mrusi hatokubali, pia J-20 haiuzwi pale inabaki J-10 sasa mzungu gani anunue J-10 aache F-16.

Na ndege zinanunuliwa kulingana na compatibility. NATO based weapon systems, AA missiles, IFF, electronics, secure communication exchange kama Link 16 vyote vya NATO haviendani na ndege za Kichina. Kununua ndege za China ni kuanza upya sasa kujenga mifumo ya ulinzi inayoendana na ya Kichina la sivyo silaha zao zitakuwa hazina kazi. Mwishowe watatumia gharama kubwa kubadili mifumo na haina tija. Huwezi enda hospitali ina vifaa tiba vya CT Scan na MRI vya Hitachi au Philips wewe ukaleta Siemens hapo ukategemea kila kitu kitakuwa integrated burebure tu. Lazima uumie
 
Helmet ya F 35 inauzwa dola 400K, 2 billions Tzshs.

F35 wanaipigia sana kelele watoe hata mbili ziingie kuisadia Ukraine..

F35 ni tolea limebuma, hakuna cha stealth wala electronics warfare... Wajinga ndio waliwao.. mbona hawauzi hizo F22 raptor?
Ila western military huwa inapigiwa propaganda na vyombo vyao balaa halafu wanaenda kuwauzia waaarabu kwa billion of dollar ..ila kwenye battle ndo tunaona uhalisia ..tumesikia patriot mara thaad ..hivi vitu havina huo ubora tunaoaminishwa na CNN na fox ...tuliambiwa isreli space is inapenetratable ..tumeona Iran juzi kapiga target kutoka 2000km
 
Back
Top Bottom