China wamjibu Trump kwa vitendo yapiga marufuku usafirishaji wa gallium, germanium kwenda Marekani

China wamjibu Trump kwa vitendo yapiga marufuku usafirishaji wa gallium, germanium kwenda Marekani

Leverage kitu muhimu sana, sisi sijui tuna nini zaidi ya Mwamposa wetu.

Maana dhahabu wanazo, na madini adhimu wanayo sisi tunachimba dhahabu, almasi na Tanzanite, madini mengine sidhani kama hata tunayafahamu, au ndio yamo ndani ya makinikia tuasafirisha kila siku.
 
Marekani hapendi ushindani
Enheeee... hapendi ushindani, au kufikiwa, au kupitwa na Chna.

Wala kumsogelea kiuchumi hataki.

Sasa kwa nini wewe Mwafrka unadhani atakusaidia upande juu umsogelee, wewe una nini special zaidi ya Mchina ??? We naniiiiii ? We ni mke mdogo ambae ana mapenzi moto moto siku za mwanzo mpaka ufadhiliwe vitu ambavyo wenzio wananyimwa ?

Kama Marekani ana roho nzuri ya kusaidia saidia bure bure mataifa yapande juu, kwa nini anamkandamiza China aliyemsogelea sogelea kwa mbali ? Africans, think! Acha mentality tegemezi.
 
Back
Top Bottom