DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,598
Lini alisema ?China ni mwanachama mtiifu wa US muda tu. Hili tendo litakuwa limempasua mno Putin moyoni mwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini alisema ?China ni mwanachama mtiifu wa US muda tu. Hili tendo litakuwa limempasua mno Putin moyoni mwake.
Waafrika waliowengi hawana akili na maarifa hata kidogo msisingizie ukomunisti ?Tena sana, ni kama ukichaa. Sijui hayati aliwaza nini kufungamana na ukomunist, ndo maana taifa halina watu wenye akili hili
Kwa nini ?Ukomunist ni kazi kubwa
Hahaaa ila tuko very biased wakuuChina kaupita mtihan, walitaka aingie iwe sababu ya US kumpiga vikwazo na ashuke kiuchumi,
Big up China
Russia alijiingiza mtegoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa (US) si wataweka military base yao sasa au?China ni mandonga kwa Taiwan... Hatakaa akishambulie kile kisiwa nimeshasema hivyo mara nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
China haogopi vikwazo ....lengo la china la kwanza ni kuipata taiwani kama ilivyo na maendeleo yake na technology yake kubwa ya mambo mbalimbali ...na USA kesha jua kuwa kwa vyovyote taiwani lazima itarudi mikononi mwa china siku moja tu hivyo USA HATAKI UCHUMI WA TAIWANI NA TECHNOLOGY YAKE VIWE SEHEMU YA CHINA HIVYO ANATAKA CHINA IKICHUKUA TAIWANI ITUMIKE NJIA YA VITA KAMA UKRAINE ILI TSIWANI IGEUKE MAJIVU WAKATI CHINA KAICHUKUA .....MCHINA ANA TAMANI TAIWAN KAMA ILIVYO NA UTAJIRI WAKE SIYO MAJIVU NDIYO MAANA UNAMWONA MCHINA KUTOKUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUKWEPA LENGO LA MAREKANIChina kaupita mtihan, walitaka aingie iwe sababu ya US kumpiga vikwazo na ashuke kiuchumi,
Big up China
Russia alijiingiza mtegoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Waarabu ndo wawe wa kwanza wana deen ya munyazii munguKwa hiyo Ukomunisti unawafanya watu wasiwe na akili ?
N.b : watu wenye akili hapa duniani:- i,Watu wa mashariki ya Asia ya mbali[wachina,wakorea,wajapan,wavietnam, wasingapore n.k]
ii, Wazungu
iii, Wajameni
iv, Waarabu
V, Waafrika
Huyo ndo mtu tunayeambiwa anaweza kuleta mtiti na USA [emoji1787]Mikwara imeisha, wamesubiriwa wafanye kweli ila ndio kama hivyo USA alishaingia mkataba kuigusa Taiwan umeigusa USA. Sasa Wachina wanageuza baada kupiga bahari mabomu......
China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House Speaker Nancy Pelosi.
Pelosi was the most senior US official to visit Taiwan in 25 years, angering China, which sees Taiwan as part of its territory.
What did China say?
In a brief announcement about the completion of the drills, the Eastern Theater Command of the PLA said it "will keep an eye on the changes in the situation in the Taiwan Strait."
The PLA will also "continue to carry out training and preparation for combat, organize regular combat readiness patrols in the direction of the Taiwan Strait, and resolutely defend national sovereignty and territorial integrity."
Another policy statement issued in English by the Cabinet's Taiwan Affairs Office said Beijing was dedicated to achieve the "peaceful reunification" of Taiwan and China.
"But we will not renounce the use of force, and we reserve the option of taking all necessary measures. This is to guard against external interference and all separatist activities," it said.
MSN
www.msn.com
Sasa mikwara mbuzi na makelele kama ya mlevi ya nini alikuwa anabweka huku akijua hawezi kuingia vitani?Mchina kacheza sana, kaona vita ni hasara....kakaa pembeni, hii ndio inaitwa AKILI
Sasa akili ndo hii ya kupigana na bahari huku Taiwan wakinywa kahawa nakukucheka?Si kila Vita unatumia ubabe....sometime unatumia akili Tu!
Kwahiyo na wewe kwa akili yako China ataichukua Taiwan kwa njia soft?China haogopi vikwazo ....lengo la china la kwanza ni kuipata taiwani kama ilivyo na maendeleo yake na technology yake kubwa ya mambo mbalimbali ...na USA kesha jua kuwa kwa vyovyote taiwani lazima itarudi mikononi mwa china siku moja tu hivyo USA HATAKI UCHUMI WA TAIWANI NA TECHNOLOGY YAKE VIWE SEHEMU YA CHINA HIVYO ANATAKA CHINA IKICHUKUA TAIWANI ITUMIKE NJIA YA VITA KAMA UKRAINE ILI TSIWANI IGEUKE MAJIVU WAKATI CHINA KAICHUKUA .....MCHINA ANA TAMANI TAIWAN KAMA ILIVYO NA UTAJIRI WAKE SIYO MAJIVU NDIYO MAANA UNAMWONA MCHINA KUTOKUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUKWEPA LENGO LA MAREKANI
Mshana,wengi hawajui kuna makubaliano ya China na USA mwaka 1979, katika makubaliano hayo US iliondoa base yake (USTD) United States Taiwan Defense Command iliyokuwepo toka 1954,kuwa China haitaishambulia Taiwan.China ni mandonga kwa Taiwan... Hatakaa akishambulie kile kisiwa nimeshasema hivyo mara nyingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo Kadena Air base iliyoko Okinawa, na ukiacha Majeshi mengi yaliyopo hapo hapo Okinawa. Kumbuka pia Taiwan kuna wanajeshi wengi sio kama base wakitoa utaalamu kwa Majeshi ya Taiwan
Ipo Kadena Air base iliyoko Okinawa, na ukiacha Majeshi mengi yaliyopo hapo hapo Okinawa. Kumbuka pia Taiwan kuna wanajeshi wengi sio kama base wakitoa utaalamu kwa Majeshi ya Taiwan
Sidhani kama yapo mkuu, wengi hawaifahamu historia ya China na TaiwanKama yapi hayo ?
Bora russia afe na heshima yake, kuliko huyu mandonga, ipo siku atakuja kushikwa makalio kabisa na kukaa kimya kisa uchumi.China kaupita mtihan, walitaka aingie iwe sababu ya US kumpiga vikwazo na ashuke kiuchumi,
Big up China
Russia alijiingiza mtegoni[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahAWaarabu ndo wawe wa kwanza wana deen ya munyazii mungu