China yahimitisha zoezi la kushambulia bahari, wanajeshi kurudi makambini

China yahimitisha zoezi la kushambulia bahari, wanajeshi kurudi makambini

Tena sana, ni kama ukichaa. Sijui hayati aliwaza nini kufungamana na ukomunist, ndo maana taifa halina watu wenye akili hili
Waafrika waliowengi hawana akili na maarifa hata kidogo msisingizie ukomunisti ?
 
China kaupita mtihan, walitaka aingie iwe sababu ya US kumpiga vikwazo na ashuke kiuchumi,
Big up China

Russia alijiingiza mtegoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa ila tuko very biased wakuu

Marekani akipiga kwa vikwazo ni sahihi

Ila Russia akipiga kwa vikwazo vyake (gas + nafaka) makelele dunia nzima

Why this wakuu???
 
China kaupita mtihan, walitaka aingie iwe sababu ya US kumpiga vikwazo na ashuke kiuchumi,
Big up China

Russia alijiingiza mtegoni[emoji23][emoji23][emoji23]
China haogopi vikwazo ....lengo la china la kwanza ni kuipata taiwani kama ilivyo na maendeleo yake na technology yake kubwa ya mambo mbalimbali ...na USA kesha jua kuwa kwa vyovyote taiwani lazima itarudi mikononi mwa china siku moja tu hivyo USA HATAKI UCHUMI WA TAIWANI NA TECHNOLOGY YAKE VIWE SEHEMU YA CHINA HIVYO ANATAKA CHINA IKICHUKUA TAIWANI ITUMIKE NJIA YA VITA KAMA UKRAINE ILI TSIWANI IGEUKE MAJIVU WAKATI CHINA KAICHUKUA .....MCHINA ANA TAMANI TAIWAN KAMA ILIVYO NA UTAJIRI WAKE SIYO MAJIVU NDIYO MAANA UNAMWONA MCHINA KUTOKUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUKWEPA LENGO LA MAREKANI
 
Kwa hiyo Ukomunisti unawafanya watu wasiwe na akili ?

N.b : watu wenye akili hapa duniani:- i,Watu wa mashariki ya Asia ya mbali[wachina,wakorea,wajapan,wavietnam, wasingapore n.k]
ii, Wazungu
iii, Wajameni
iv, Waarabu
V, Waafrika
Waarabu ndo wawe wa kwanza wana deen ya munyazii mungu
 
Mikwara imeisha, wamesubiriwa wafanye kweli ila ndio kama hivyo USA alishaingia mkataba kuigusa Taiwan umeigusa USA. Sasa Wachina wanageuza baada kupiga bahari mabomu......

China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House Speaker Nancy Pelosi.

Pelosi was the most senior US official to visit Taiwan in 25 years, angering China, which sees Taiwan as part of its territory.

What did China say?

In a brief announcement about the completion of the drills, the Eastern Theater Command of the PLA said it "will keep an eye on the changes in the situation in the Taiwan Strait."

The PLA will also "continue to carry out training and preparation for combat, organize regular combat readiness patrols in the direction of the Taiwan Strait, and resolutely defend national sovereignty and territorial integrity."
Another policy statement issued in English by the Cabinet's Taiwan Affairs Office said Beijing was dedicated to achieve the "peaceful reunification" of Taiwan and China.

"But we will not renounce the use of force, and we reserve the option of taking all necessary measures. This is to guard against external interference and all separatist activities," it said.

Huyo ndo mtu tunayeambiwa anaweza kuleta mtiti na USA [emoji1787]
 
China haogopi vikwazo ....lengo la china la kwanza ni kuipata taiwani kama ilivyo na maendeleo yake na technology yake kubwa ya mambo mbalimbali ...na USA kesha jua kuwa kwa vyovyote taiwani lazima itarudi mikononi mwa china siku moja tu hivyo USA HATAKI UCHUMI WA TAIWANI NA TECHNOLOGY YAKE VIWE SEHEMU YA CHINA HIVYO ANATAKA CHINA IKICHUKUA TAIWANI ITUMIKE NJIA YA VITA KAMA UKRAINE ILI TSIWANI IGEUKE MAJIVU WAKATI CHINA KAICHUKUA .....MCHINA ANA TAMANI TAIWAN KAMA ILIVYO NA UTAJIRI WAKE SIYO MAJIVU NDIYO MAANA UNAMWONA MCHINA KUTOKUTUMIA NGUVU ZA KIJESHI KUKWEPA LENGO LA MAREKANI
Kwahiyo na wewe kwa akili yako China ataichukua Taiwan kwa njia soft?

China hatoichukia Taiwan iwe kwa njia ya amani ama vita huo ndo ukweli na China anaumia mno akifikiria kwamba hana namna ya kuichukua Taiwan.
 
China ni mandonga kwa Taiwan... Hatakaa akishambulie kile kisiwa nimeshasema hivyo mara nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana,wengi hawajui kuna makubaliano ya China na USA mwaka 1979, katika makubaliano hayo US iliondoa base yake (USTD) United States Taiwan Defense Command iliyokuwepo toka 1954,kuwa China haitaishambulia Taiwan.
Marekani ina Military base kubwa kama Kadena na iliyoko Okinawa ambayo ni kui monitor China kama kuna choko choko na Taiwan.
Na ndio maana policy ya China toka awali ilikuwa ni Peacefully Unification juu ya Taiwan.
Huku kujaribu kutunisha misuli kwa China sasa hivi kunatokana na wao kujiona sasa wana ubavu wa kijeshi, na China inajua wazi kuivamia Taiwan itakuwa inavunja makubaliano ya 1979.
 
Ipo Kadena Air base iliyoko Okinawa, na ukiacha Majeshi mengi yaliyopo hapo hapo Okinawa. Kumbuka pia Taiwan kuna wanajeshi wengi sio kama base wakitoa utaalamu kwa Majeshi ya Taiwan

Tsai confirms U.S. troop presence, expresses faith in Biden defense vow​

10/28/2021 03:33 PM

Taipei, Oct. 28 (CNA) President Tsai Ing-wen (蔡英文) confirmed for the first time the presence of U.S. military personnel in Taiwan, during an interview with CNN released Thursday.
 
Kama yapi hayo ?
Sidhani kama yapo mkuu, wengi hawaifahamu historia ya China na Taiwan
Ila nakuuliza Bwana Deng, wewe uliamini kweli kwa ziara ya Pelosi Taiwan, China ingelianzisha vita kweli?
Kuna mambo mengine ambayo China inajua kuhusu uhusiano wa Taiwan na US, hili la Pelosi naliona no dogo kwa kuanzisha vita.
 
China kaupita mtihan, walitaka aingie iwe sababu ya US kumpiga vikwazo na ashuke kiuchumi,
Big up China

Russia alijiingiza mtegoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora russia afe na heshima yake, kuliko huyu mandonga, ipo siku atakuja kushikwa makalio kabisa na kukaa kimya kisa uchumi.

Ajue kabisa marekani ni kama kifo, akikutaka hakosi sababu, wapi ZTE, wapi HUAWEI, Huu ni mfano mdogo kwao.
Marekani hana rafiki wwa kudumu wala adui wa kudumu, yeye muhimu ni maslahi yake tu.

Putin kajivika mabomu, halafu. Kamkumbatia mtu, nachomoa pinn tufe wote
 
Wabongo tuna ushabiki mpaka kwenye vitu visivyotuhusu.
"US VS THEM" mentality kila sehemu.
Ushabiki wa kitoto namna hii unatufanya tushindwe kujadili hali ya mambo kama ilivyo.
Inapaswa uifahamu China kwanza, kisha utaelewa jinsi gani inafanya kazi, Matumizi ya nguvu kwanza sio tabia ya China, tofauti na Marekani (Na washirika wake wa Ulaya Magharibi) ambao wao Ubeberu na matumizi ya nguvu kwa masilahi yao ndio kitu kikuu (imperialism).
China wangekuwa na mindest ya US, Africa tungetawaliwa na Wachina kwanza kabla ya wazungu. Mchina anafanya biashara tangu karne ya 13, kipindi ambacho hata karatasi bado hazijafika Ulaya.
Hio reaction ya China kuivamia Taiwan baada ya ujio wa Nancy Pelosi, ndio kItu ambacho Strategists wa US walichokitaka
Lengo wapate justification ya kupambana na China vita ya kiuchumi, ikumbukwe kuwa Mataifa yoyote yenye silaha za Nyukilia, kamwe haziwezi kuingia vitani, hii ni kwa sababu ya MAD Doctrine ( Uhakika kuwa vita yoyote kati yao, itayarudisha matifa yao na dunia nzima zama za mawe)
So namna pekee ya kupambana ni through proxy war (Mfano Russia na Marekani over ukraine) na vita ya kiuchumi kama US na washirika wake hivi karibuni walivyofanya kwa Russia na Russia alivyoitikia kwa ku cut gas supply na kuwa karibu zaidi na BRICS members haswa China.
Kama ilivyokua British Empire kabla yake Marekani inadondoka, uchumi wa marekani umening'inia juu ya kamba nyembamba sana ya "Petro dollar system" inayo mpa upendeleo marekani wa ku print pesa out of nothing na kuendelea ku fund jeshi lake, so nchi pekee inayotishia Petro dollar system ni adui yake kama China
China anaifahamu hii trick, so kafanya kile unachotegemea kwa mwenye busara kufanya.
Badala ya kuivamia Taiwan kama USA alivyotaka, (Proxy war nyingine kati ya USA na China uwanja ukiwa Taiwan) China badala yake kawaonyesha Wamarekani kuwa in case of taiwan hawatokua na uwezo wa kuchangisha pesa ya kutuma silaha kama walivyofanya kwa Ukraine, cause unlike Russia sisi tunauwezo wa kukizunguka kisiwa kizima ndani ya siku chache tu.
So huwezi kutoa au kuingiza kitu bila kuivaa PLA.
So kama USA wapo tayari kurudi karne ya 7 kisa Taiwan, that's ok.
 
Back
Top Bottom