Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Akina nvidia, amd na micron hawawez pata tumbo joto, hawategemei mauzo ya memory chip wako kwa leveo waliyopo sasa ni beyond thatHivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani.
Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata.
Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea kampuni chache duniani inaanza kufika mwisho.
China imelazimisha dunia ya semiconductor kuingia era mpya.
Huenda machine za GPU zikapoa beiz hasa tunao train model za AI tuanze fanyia hata kwenye local, badala ya kulipia hela kwenye resource za watu ambao siku vichaa vikiwapenda umeisha ila pia hakuna privacy ukisha train kwenye miundombinu ya watuGaming GPU ni kifupi cha Graphics Processing Unit
Inatengenezwa mahsusi kwa michezo ya video (gaming). Bila GPU yenye nguvu, game nzito haziwezi kwenda smoothly. Hii ndiyo chip inayochora:
graphics, shadows, reflections, textures, animations, FPS kwenye game. Pia hutumika kwenye AI na data centres
Kampuni zilizokuwa zinaongoza kwenye gaming GPU kwa miaka mingi ni za Marekani Nvidia na AMD
China wanaanza kuingia kwenye hii market kupitia kampuni kama Moore Threads, Biren Technology na Innosilicon.
China kuingia kwenye memory market na GPU kunaongeza ushindani, kushusha bei na kuvunja dominance ya kampuni za zamani.
Yani mtu upo vigwaza, huna hata kibanda cha matunda lakn unachambua biashara za wachina eti zitakosa sokoAkina nvidia, amd na micron hawawez pata tumbo joto, hawategemei mauzo ya memory chip wako kwa leveo waliyopo sasa ni beyond that
Hapo wa kupata pressha ni samsung na baadhi ya kampuni ambazo ndio muuzaj mkubwa wa hiyo kitu.
Kwako unatakaje mana China kashatufukia kwenye nyanja nyingi!!Mtu yeyote anayeshobokea China huwa namuona ni Mpumbavu na asiye na akili
Tatizo kubwa la Wachina ni ubora wa vitu vyao.
Mfano, wanatengeneza simu, computer, na vifaa vingi vya electronics, lakini ubora wake ni tia maji. Tecno zao kwa mfano ni duni kwa Samsung, iPhone, nk
China builds U.S bombsChina imejikita katika uvumbuzi,na biashara duniani, US na ussr wamejikita katika vita, anguko lao limekaribia.
Sahihi, haya ni matokeo ya sera ya "Made in China 2025" (MIC 25) iliyoanzishwa 2015 na Xi Jinping
Wachache watakakuelewaSafi sana, RAM zitashuka bei sasa
Tofautisha kati ya copy and paste na innovationKuhusu biashara ni kweli, ila uvumbuzi siyo kweli, wachina ni wazee wa "copy and paste".
Wachache watakuelewa na ndio maana comment yako wengi wameiruka bila kuchangiaKwa apps nzito nzito bora mchina amekuja especially ukiwa unafanya 3d rendering ukiwa unatumia reality capture kama kamashine kako ni core i 5 unakaskia kanavovuma
Watawala waliojikita kwenye ufisadi, wizi wa rasilimali za nchi, utekaji, mauaji, migogoro na uhasama dhidi ya wananchi wao hawawezi kumudu mambo ya maana ya maendeleoKama kucopy ni rahisi hivyo kwa nini Tanzania mnashindwa wapi ku-copu and paste?
Ukianza kufuatilia comments za CEOs wengi wa kampuni kubwa za Marekani na Ulaya wanaiadmire sana ChinaView attachment 3593905
Unamjua tim cook?
Umesema vyema nchi nyingi zinazoendelea duniani zinahitaji kujifunza kutoka ChinaWatawala waliojikita kwenye ufisadi, wizi wa rasilimali za nchi, utekaji, mauaji, migogoro na uhasama dhidi ya wananchi wao hawawezi kumudu mambo ya maana ya maendeleo
Ni kweli. Kwa mim nilitumia reality capture kutengeneza 3d image. Sasa ile prog una upload jpeg si chini ya 20000ukitaka ile hologram iwe real 3d bila kupoteza ile reality yake sasa mchina alete mashine mapafu ya mbwa zpge mzigo chips hizoWachache watakuelewa na ndio maana comment yako wengi wameiruka bila kuchangia
Hii kitu aliyofanya Mchina italeta unafuu sana hasa kwa wale wanaocheza na kubadilisha mfano wa kitu cha 3D kuwa picha au video inayoweza kuonekana kama halisi
Kuna jamaa yangu architect anasema sasa upele umemfika mkunaji
Sikuzote China inapoanza production ya bidhaa huwa inachukuliwa poa lakini kadiri siku zinavyosonga mass production ya hiyo bidhaa inazidi kuteka soko, mifano ni mingi EVs, EV batteries, rare earth, solar, ship building n.kAkina nvidia, amd na micron hawawez pata tumbo joto, hawategemei mauzo ya memory chip wako kwa leveo waliyopo sasa ni beyond that
Hapo wa kupata pressha ni samsung na baadhi ya kampuni ambazo ndio muuzaj mkubwa wa hiyo kitu.
Kweli kabisa, kadri GPU zinavyozidi kushuka bei na kuwa powerful, local AI training/inference itakuwa option bora zaidiHuenda machine za GPU zikapoa beiz hasa tunao train model za AI tuanze fanyia hata kwenye local, badala ya kulipia hela kwenye resource za watu ambao siku vichaa vikiwapenda umeisha ila pia hakuna privacy ukisha train kwenye miundombinu ya watu
Yeah na atutajie mifano ya bidhaa za China zilizokosa sokoYani mtu upo vigwaza, huna hata kibanda cha matunda lakn unachambua biashara za wachina eti zitakosa soko
Ukilewa hatukuachi, tunakumwagia maji!, uzinduke!Kwanini umeumia hivi?
Ni wivu tu unakusumbua ewe black mamba wa chekereni 😄
Inatoa hata motisha hata kwa watafiti wa medium class kuwekeza, kwenye AI bei zikiwa zimepoa. Sasa hivi kuwa server za AI hata la chini kabisa ni kisanga kizito, kwa mtu wa kawaida hawezi afford tunajikuta tunajazana huko pa kulipia dollar bukuu kadhaa kwa mwezi na inategemea unafanya nini na bado unakuta project haikulipi 😁Kweli kabisa, kadri GPU zinavyozidi kushuka bei na kuwa powerful, local AI training/inference itakuwa option bora zaidi
Privacy ipo mikononi mwako, hakuna vendor lock-in, na cost za muda mrefu zinapungua sana