Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani.
Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata.
Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea kampuni chache duniani inaanza kufika mwisho.
China imelazimisha dunia ya semiconductor kuingia era mpya.